mimi

  1. Mwandani wangu hajivunii kua na mimi, ni kama anaona sio type yake

    Ni mengi yanapita kwenye huu uhusiano, najitahidi kufanya kazi kwa bidii kuimprove standard lakini mwandani wangu ni kama kwake ni tofauti. Mara nyingi kwenye mikusanyiko ya umma ni kama anaona aibu kua mimi ni mume wake, simply kwa sababu naonekana wa kawaida. Tukiwa ndani hakuna shida ila...
  2. Aliniambia hana hisia na mimi ila sasa hivi hachoki kupiga simu

    Wakuu kwema? Nilikua na muhusiano na mwanamke mmoja hivi.. ikatokea siku tuligombana akanitamkia maneno kadhaa ambayo yalichoma moyo wangu sana. "sina hisia na wewe" ".sijawahi kukupenda" "Nina bwana angu nampenda" "Siku uliyonitongoza sio kwamba nilikua Sina mtu na mpaka Sasa hivi Niko naye"...
  3. B

    Mimi ni nani?

    Habari JF members.. Nina issue huwa inanisumbua akili kidogo kuhusu Mimi mwenyewe. Mimi Huwa nina uwezo wa kuhisi kifo kwa mtu nikimuangalia. Yaani kuna hali fulan inaniambia huyu mtu hana muda mrefu atakufa na hii hali huwa inatokea mara chache sana. Kitu kingine, ni ndoto zangu Huwa naota...
  4. Niskilizeni mimi, wachezaji hawa yanga waachwe/wabaki

    Wakuu binafsi nimeskia sana swala la mashabiki kudai wachezaji wetu baadhi waachwe na wengine wabaki . Ni sawa .. Lakini shida tunasahau sana na kukurupuka sana bila kukumbuka na kufuatilia kwa umakini . Well wafuatao yanga tunapaswa kuwaacha ..! 1. Skudu Makudubela Huyu ni mfanyakazi hewa na...
  5. Man beaten into comma for stabbing lover downtown Kampala

    Security operatives evacuate an injured man, only identified as Robert Oyot, after he was attacked by a mob for allegedly stabbing his lover at Mini Price shopping centre, downtown Kampala on April 18, 2024. The woman was the first to be evacuated by a military patrol truck to hospital with a...
  6. Kama Adam, Farao na Samsoni maanguko yao yalitokana na kumuamini mwanamke. Mimi na wewe ni nani?

    Ni mama zetu sawa, wake zetu pia, huwa tunaenjoy sana mtupapo utelezi ila ni hatari sana hawa viumbe. Ukiachana na sisi wajamba kunani maanguko ya watu wengi maarufu, matajiri, wasanii wakubwa, wanamichezo pale waangukapo basi asilimia 90 wanawake ndio chanzo. Kuna wamba wameenda mbali zaidi...
  7. Tarehe 12.5.2024 Yanga atatangazwa Bingwa Msimuu huu na Mimi Tarehe hio itakua siku ya Birthday Yangu.

    Hatimae ndoto ambayo niliyokua naiota Miaka Mingi inaenda kutimizwa..Nimekua nikiomba sana Siku ninayosherekea siku yangu ya kuzaliwa Mtu wa soka,Mtu ambae nimezaliwa Kutoka kwa mama Mnyarwanda Mpenda Football ambae Ndoto yake kubwa ilikua siku moja anione nachezea Manchester United ila sema tu...
  8. R

    Usingizi umekata nasubiri uteuzi na utenguzi; Je, mimi ni waziri gani?

    Nipo zangu nimegoma kulala nasubiri uteuzi na utenguzi. Mimi nawakiliisha Mawazri wengi waliokata tamaa na waliopoteza focus kwa sababu awajui mteuaji anaambiwa nini na nani. Nitaendelea kulala mchana na kukesha usiku hadi mkeka wa mawaziri utoke. Endapo utatoka na jina langu likawepo si...
  9. Mwanamke kama huna bikra na hujaolewa wewe ni chombo cha starehe. Acha kuulizauliza eehh una mpango gani na Mimi au unataka kunichezea?

    Bahati mbaya binti mwingine ana watoto wawili baba tofauti anauliza una mpango gani na Mimi. Mwingine chuchu zimeshaanguka anakuambia sitaki unichezee. Wewe mwenyewe ndiyo umeyachezea maisha yako sisi tunafanya mwendelezo tu. Ungekataa kufanya tendo la ndoa kwa sharti mpaka uolewe kuna kijana...
  10. Mimi ni Mhandisi wa Mawasiliano NASA, uliza swali lolote utajibiwa

    Habari wakuu Leo nipo free uliza swali lolote la mawasiliano... nina uzoefu wa miaka mitano katika mawasiliano hapa NASA. shukrani
  11. Unasikiaga wanasema hakuna aijuaye kesho, si kweli. Nioneshe hivi vitu vitatu na mimi nitakuonesha kesho yako

    1. Nioneshe vitu unafuatilia mara nyingi mitandaoni au page unazo-follow (Insta, Facebook, WhasApp, TikTok n.k.) 2. Nioneshe marafiki zako angalau watano tu. 3. Nioneshe ratiba yako ndani masaa 24 ya siku
  12. Nachukia wanaopenda kuuliza suala la dini sababu siamini katika dini bali uwepo wa Mungu. Je, nipo sahihi?

    Kiukweli kwa Tanzania ukimwambia mtu huna dini unaonekana mtu wa ajabu sana. Ila kwangu nimekuwa nikijilazimisha sana na kuishi maisha ya kinafki sana ili tu nionekane nina dini ila kadri muda unavyokwenda najiona kabisa sina mihemko na hizi dini jamani iwe Christian au Islamic au buddha sijui...
  13. Mimi lawama zote nazielekeza kwa team ya azam fc wametimiza lengo lao la kuikomesha yanga

    Figisu kwa team ya young African zilianza kwenye match dhidi ya azam ile match tulioangalia wote tutakubaliana hapa kuwa azam alipania kuwaumiza wachezaji nyota wa young African kwa makusudi ili kuwakomoa kutokana na mgogoro uliokuwa umeibuka baina ya team hizo mbili na kupelekea yanga kupata...
  14. Kwa hakika Yanga Imeonewa kwa ukubwa sana japo mimi ni Simba ila ukweli usemwe kuwa lile ni goli

    Kama umetazama Mpira utagundua Lile lilikuwa ni Goli safi walilofunga yanga lakini Refa Na VAR ya kizushi imekataa. Naibu waziri wa michezo kasema Mhe Hamisi Mwinjuma au Mwanafalsafa kasema kuwa hilo watalifanyia kazi. Sasa Nakukaribisha na wewe Uangalia Kweli hili sio goli?
  15. Kwa kiwango cha Omar pa Jobe na Fred Michael, hata mimi enzi zangu nakiwasha ndondoni hawakunifikia, ila bahati iko kwao

    Habari wadau, nawatazamaga hawa jamaa wawili strikers wa simba sc, hata siwaelewi, kipindi hiki tunakuwaje na viongozi wa kubahatisha kwa upande wa uteuzi wa wachezaji!!! Unawezaje kutuaminisha fred na jobe na proffessional players ilhali kiwango chao ni zero? Hapana, hapa tumepigwa na kitu...
  16. Huyu jamaa kuwauliza wakristu na waislamu swali ambalo Mimi nimeshindwa kulijibu

    Naomba mnisaidie kujibu hoja hii tafadhali.
  17. Kupitia mimi nimejifunza kitu kikubwa sana kuhusu hili jambo. Usioe mwanamke mwenye mtoto

    Kwanza kabisa namshukuru mh rais wetu. Anaupiga mwingi kinyama. Katika pita pita maishani nimezalisha wanake wa 4. Katika hao watatu hawa kila muda nikijisikia kutaka kulamba naomba napangiwa siku naenda nalamba. Na wote hao wameshaolewa tena. Wawili katika hao watatu wakinipangia ratiba...
  18. G

    Mimi G4N naomba kuteuliwa kuwa mwenezi. Nikiteuliwa tu, wanaccm wote wenye miaka 55+ nawafuta uanachama

    Sababu zangu ni hizi:- 1. Wamefikisha umri wa kustaafu, hivyo wakalee wajukuu zao. 2. Wanaziba nafasi za vijana. 3. Wao ndiyo wamelifikisha taifa hapa lilipo Sasa wanagombea ili iwe Nini tena? Naitwa G4N naomba kuteuliwa kuwa katibu mwenezi. Endapo nitateulowa nitafanya yafuatayo.:- 1...
  19. A

    Mimi ni fundi simu nipo kanda ya ziwa

    SAMAHANI MIMI NI FUNDI SIMU NAHITAJI CONNECTION YA KAZI KANDA YA ZIWA MWENYE CONNECTION
  20. M

    Veronika wakunifanyia haya Mimi?

    Huyu ni Binti wa 2001 tu hapo. Aliolewa aktelekezwa na jamaa akiwa bado mdogo na watoto wawili. Mimi nikajitosa kuwa nae kimahusiano. Nilijinyima nikahakikisha watoto nalea kama wakwangu wakati huo yulewa pili alikua na mwaka mmoja tu. Nimehenya kupambania familia isiteteleke. Nimejibana Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…