mimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dodoma: Kila mwezi wanafunzi wa kike 16 wanapata mimba Dodoma

    Hii idadi siyo ndogo kuna haja ya jamii kuamshwa ili kutambua mchango wa elimu kwa Mtoto wa kike kwa kuangalia mrejesho wa elimu kwa mtu binafsi na kwa jamii yake "private rate of return and socia returns".. Elimu pia ina faida msambazo kwa jamii "spill over benefits".Kuna haja elimu ya...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri:Baada ya mwanaume kunipa mimba ananikwepa sana, eti niitoe

    Ndugu zangu poleni na majukumu, Kwa kifupi nimekuwa na Mwanaume kama Boyfriend, tumependana sana, Baada ya kuhisi nina mimba yake kaanza chenga, anasema au tuitoe, Sijawahi kutoa Mimba na sifikirii kitu kama hicho maishani mwangu, Mwili wangu siyo Sehemu ya kufanya mauaji. Naomba ushauri wenu
  3. JamiiForums Tanzania Kagera: Muuguzi mbaroni kwa tuhuma za kuua mwanafunzi wakati akimtoa mimba

    Jeshi la Polisi mkoani Kagera, linamshikilia Dezber Kahwa (49), mkazi wa Kijiji cha Kibengwe, Bukoba Vijijini, kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Alinda Leverian (14), mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Kilima, kwa kumtoa mimba kienyeji. Kamanda wa Polisi mkoani Kagera...
  4. JamiiForums Tanzania Kama Kutoa mimba ni kosa nchini Tanzania basi Wema Sepetu akamatwe

    Wema Sepetu ametangaza mwenyewe mitaani na mitandaoni kwamba aliwahi kutoa mimba mbili za Marehemu Kanumba, kwamba " alivinyongelea " mbali vitoto vya Kanumba (bado haijafahamika sababu ya kufanya unyama huo) Bali kinachofahamika ni kwamba Nchini Tanzania ni kosa kisheria kutoa mimba , na yuko...
  5. JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Wanaotetea watoto wanaopata mimba shuleni wana akili za kuvaa nguo tu

    Leo Paul Makonda ameporomosha maneno mazito kwa wanaowatetea wanaopata mimba mashuleni kwa kusema kuwa akili zao zinawatosha kuvaa nguo tu. Pamoja na hayo pia amesema watu hao ni wajinga na wapumbavu.
  6. JamiiForums Tanzania Je, mabinti wa shule walaumiwe kwa kushika mimba?

    Habare comrades Nimepanga kujibu swali nililouliza kwenye kichwa cha habari mwisho wa maandishi yangu kwenye huu uzi. Kwanza niweke bayana mabinti ntakaowazungumzia ni wale walio balehe wakiwa shule msingi au secondary. Kutokana na habari nyingi zilizopo juu ya umuhimu wa elimu na hasara kubwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kitendo cha "jinamizi mimba za watoto wa shule" kushika kasi kinatufunza kuwa, viongozi tusiongee kila jambo hadharani

    Wanafunzi wa kike wakishapata mimba walikuwa wanakabiliwa sana na mazingira magumu ya kurudi shule tangia enzi za Kikwete. Na katika kipindi chote hicho hakukuwa na tatizo. Shida ni maneno ya kejeli yaliyotolewa na viongozi wa awamu ya tano juu ya jambo hili. Maneno ambayo hayapaswi kamwe...
  8. JamiiForums Tanzania Napenda sana mtoto, lakini najua mtoto si wangu. Ila mdada analeta ghasia. Nifanyeje? Nipo Marekani kwa sasa. Naomba ushauri

    Wadau Yamenikuta. Sitaki kuandika story ndefu sana. Lakini huyu mdada nilikutana naye nilivyokuja Tanzania na alinifanyia vituko ambavyo kwa kweli siwezi kuviandika hapa. Tokea nimwache amekuwa ni ghasia kweli. Nilishapima mimba naye na nikamkuta ameficha mkojo kwenye nguo ya ndani sababu...
  9. JamiiForums Tanzania Ngono ilitaka kukatisha maisha yangu

    Wadau kheri ya mwaka mpya 2020! Nimeamua nijipinde mgongo kuandika ujumbe huu maana naona kizazi cha vijana wabichi kinaangamia huenda kwa kujua au kutojua. Mimi ni kijana niliyelelewa kwenye maadili ya kumcha Mungu na wazazi. Niliyaishi maisha hayo yakuwa na hofu ya Mungu hadi kufikia umri wa...
  10. JamiiForums Tanzania Kaanzisha mahusiano mengine akiwa na mimba

    Wakuu habari ya asubuhi. Moja kwa moja niende kwenye mada, huyu mwanamke nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miezi kadhaa, kuna wakati alishika ujauzito, tukakubaliana kulea mimba hiyo, basi tukalea mpaka ilipofika miezi mitatu ndio balaa likaanza, yeye kutaka tuachane. Kuna siku alikuja...
  11. JamiiForums Tanzania Kuwa mkweli, wewe huwa unatumia condom?

    Wakuu, Nijielekeze moja kwa moja kwenye mada tuambiene ukweli. Hivi wewe huwa unatumia condom? Kama ndio ni kwanini na kama sio ni kwanini? Mimi situmii kwa kuwa huwa zinaniwasha, halafu nikitumia huwa naona kama nimeibiwa pesa zangu yaani naona kama nimefanya condom na sio mwanamke. Wewe...
  12. JamiiForums Tanzania Njia gani sahihi za kuzuia mimba mara baada tu ya kujamiana?

    Je, imetokea kwa bahati mbaya umetegeka na mwanafunzi na ukamwaga ndani? Au umemwagia dada ambae unahisi huwezi kuzaa nae au hauko tayari, vivyo hivyo kwa mwanamke umetembea na mwanaume usingependa uzae nae au hauko tayari kuzaa nae. Embu tusubiri wataalamu watupe majibu, mwenyewe sijui.
  13. JamiiForums Tanzania Je, Dawa za Minyoo zinatoa mimba?

    Wandugu wapendwa, Poleni sana na kazi za ujenzi wa taifa na kujitafutia mkate wa kila siku. Ninaishi na girl friend wangu ambaye siku ni mfanyakazi wa kampuni moja ya bima hapa DSM. Wiki iliyopita aliniambia kuwa amepata ujauzito na anahisi una umri wa mwezi mmoja. binafsi nilifurahishwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…