milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Matrekta tuliyoahidiwa yameshuka kutoka milioni 10 hadi elfu 10. CCM mnatuchanganya

    Ikumbukwe Agosti 31, 2025 Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliahidi mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo kwa kuhakikisha serikali inanunua matrekta milioni 10 pamoja na zana nyingine za kisasa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo...
  2. JamiiForums Tanzania CCM haina wanachama milioni 13

    Hizi heka heka za CCM kupambana kujaza watu kwenye mikutano yao, ni ishara kuwa siyo kweli CCM ina wanachama milioni 13. Kila mkutano ungehudhuriwa na watu elfu kumi tu, nchi nzima CCM ingehitaji watu milioni Moja tu kwa mikoa yote ya Tanganyika. Lakini hii ya kusomba watu kwa maroli ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Shida ni Facts au nini? Kama Rais Samia alisema uchumi wetu ni zaidi ya USA, CCM wakaitikia ndiyoo..! Akisema gesi ya Cuba ni milioni watabisha?

    Polepole ndiye wa kuaminiwa kwa sasa kuliko kiongozi yeyote wa CCM na au mwanachama na mkereketwa yeyote kote nchini Kama tu Rais wetu alisema mbele ya wana CCM na Watanzania wote kwamba, uchumi wetu kwa sasa ni mzuri kuwashinda hata wamagharibi na Wamarekani watashindanaje na hoja za polepole...
  4. JamiiForums Tanzania Marekani imetoa zawadi ya dola milioni 15 kumkamata Waziri wa Ulinzi wa Venezuela Vladimir Padrino Lopez.!!!

    ‼Marekani imetoa zawadi ya dola milioni 15 kwa atakayetoa taarifa zitakazowezesha kukamatwa kwa Waziri wa Ulinzi wa Venezuela Vladimir Padrino Lopez. You
  5. JamiiForums Tanzania Baada Ya Muda Kupita Nimeelewa Mo Alikuwa Anatoa Ujumbe Upi Na Kwa Nani , Na Alimaanisha nini...

    Kuna clip Mo alikuwa anahojiwa akasema alishanunua Bugatti Chiron halafu akauza pasipo kuliendesha wala hata hakuliwasha hilo gari. Mo anasema aliona hawezi ku afford gari linauzwa bei mbaya kiasi kile 4.5 Million Euros nadhani tax excluded.. Pesa aliyouza faida yake akanunua mashine za...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia aahidi kununua matrekta milioni 10 akiingia madarakani kwa awamu ya pili

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo kwa kuhakikisha serikali inanunua matrekta milioni 10 pamoja na zana nyingine za kisasa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo. Akizungumza leo, Agosti...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yanga waanza kupendelewa na kulindwa huku simba wakikaziwa nati, Je ndio kazi ya zile milioni 100 ?

    1. Yanga imeruhusiwa kuwa timu pekee kuutumia uwanja wa Mkapa na mechi zao ni saa moja jioni watu wakiwa wametoka kwenye shughuli zao, Simba wataendelea kutumia uwanja wa KMC mechi za saa kumi. 2. Yanga wanaanzia nyumbani, Simba ugenini. 3. Derby ya kwanza inapigwa kwa Mkapa mwezi wa 12...
  8. JamiiForums Tanzania Bandari yahudumia tani milioni 32 kutoka tani milioni 18

    BANDARI YAHUDUMIA TANI MILIONI 32 KUTOKA TANI MILIONI 18 Kufuatia maboresho, Bandari ya Dar es Salaam imehudumia tani milioni 32 kutoka milioni 18 mwaka 2021. Hayo yameelezwa Agosti 26, 2025 wakati wa kikao cha wadau wa Kamati ya Maboresho ya Bandari, kilichoendeshwa na Katibu Mkuu wa Wizara...
  9. JamiiForums Tanzania Deus Kibamba: Mbunge akimaliza miaka mitano Bungeni anapewa kiinua mgongo Sh Milioni 380+

    Msikilize Deus Kibamba ambaye ni Mchambuzi wa Mambo ya Siasa na Mhadhiri wa Chuo cha Diplomasia na Mkurugenzi Mtendaji Kituo Cha Taarifa Kwa Umma akifafanua kuhusu faida za Mbunge anazopata ndani ya Miaka mitano. Ndio maana Watu wanapambana kwa nguvu zote kuupata Ubunge kama mambo yenyewe ni...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri wa simu nzuri kwa bajeti ya shilingi milioni moja

    Salaam Wakuu, Naombeni mapendekezo ya simu the best kwa bajeti isiyozidi tsh milioni moja [1,000,000]. Nilikuwa natumia samsung a52 5g kwa bahati mbaya kioo kimeenda. Vigezo navyozingatia ni storage (8+256) and above ,powerful chip, camera nzuri,kioo,fast charge capacity muonekano.Nimekuwa...
  11. JamiiForums Tanzania DED Nyasa akagua miradi ya Sekta ya Afya na Elimu yenye thamani ya Sh Milioni 582,017,569

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, Khalid A.Khalif ameendelea na utaratibu wake wa kawaida wa kuwatembelea wakandarasi kwenye Kandarasi za Miradi ya Maendeleo inayoendelea kutekelezwa ikiwa ni sehemu ya kuhimiza ukamilishwaji kwa wakati na ubora unaoendana na thamani ya fedha...
  12. JamiiForums Tanzania Alphard ilotoka bandarini inauzwa milioni 22

    Piga 0713 039 875 (Tuko Kibaha maili moja)
  13. Y

    JamiiForums Tanzania RC Mwanamvua Hoza Mrindoko: Kipindi cha Rais Samia Katavi tunazalisha maziwa Lita milioni 23 kutoka Lita milioni 19 za 2021

    Sekta Kipengele / Mradi Kiasi / Idadi Mafanikio / Maelezo Mifugo Milipuko ya magonjwa ya wanyama 72% (2021) → 15% (2025) Kupungua kwa milipuko ya magonjwa Mifugo Viwanda vya vyakula vya mifugo Viwanda 2 Kuweka mazingira wezeshi ya uchakataji na kuanzisha viwanda vya maziwa (MSS...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yanga hata wakisema Ile milioni 100 ilitoka GSM,kosa lao ni kujihusisha na siasa

    Hata wangetoa laki 5 kama alivyofanya Chief Godlove,kosa liko palepale Kosa la yanga au Hersi Said sio amount waliyotoa,bali ni Hersi Saidi kiongozi wa Yanga kutamka kauli inayohusisha club na mambo ya siasa. Namnukuu, ""Sisi yanga tunachangia ...."' Hiyo kauli ndio inamfanya aonekane...
  15. JamiiForums Tanzania Biashara unazoweza kuanzisha ukiwa na milioni moja ( Tsh 1,000,000)

    Hamjambo! Leo sitakuwa na maneno mengi. Ukiwa na milioni Moja hizi ni biashara unazoweza kuzifanya; 1. Fundi Nguo! Chukua sherehani tatu za 250,000/= inayobakia tafuta Frem ya elfu 50. Nunua vifaa kisha anza kupiga kazi. Cherehani zingine mbili tafuta mafundi, piga kazi. 2. Saluni ya kiume...
  16. JamiiForums Tanzania Naona tayari Laana ya wana Yanga SC kwa Timu yao Kuichangia CCM Milioni 100 imeshaanza Kulipa huko Kigali Rwanda

    Jifanyeni tu mpaka sasa bado hamna Matokeo wakati mapema tu tayari Kipa Mjibinuaji Onyesha Boksa keshawekwa 1...!
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Klabu ya Yanga imechagia milion 100 CCM gala dinner 2025

    Klabu ya Yanga imechagia milioni 100 CCM gala dinner 2025 katika harambee ya kuchangia bilion 100 kuchangia Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wawakilishi, Wabunge na Urais.
  18. JamiiForums Tanzania Turky Group of Companies (Vigor) Yachangia Tsh. Milioni 600 Harambee CCM Gala Dinner 2025

    TURKY GROUP YACHANGIA TSH. MILIONI 600 HARAMBEE CCM GALA DINNER 2025 Turky Group of Companies (VIGOR) imechangia jumla ya Shilingi Milioni 600 katika Usiku wa harambee ya CCM Gala Dinner 2025 iliyoendeshwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  19. JamiiForums Tanzania Yanga hatarini kuadhibiwa na FIFA kwa kuichangia CCM Tsh. 100 Milioni

    Wakuu! Kabla hili la Yanga SC halijapoa, tuzungumze kidogo kuhusu kilichotokea. Labda wengi hawakutarajia kwamba klabu maarufu ya Yanga (Wananchi) ingejikuta katikati ya mjadala mkubwa wa Kitaifa hivi karibuni. Yanga imejikuta ikijadiliwa sana na kukosolewa vikali baada ya kuchangia kiasi cha...
  20. JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 8. Biashara gani italipa hapa Mbezi Luis/Magufuli?

    Habari wataalam. Baada ya kujidunduliza sasa nimeamua niingie kwenye biashara yaani busines. Naomba nipate japo ushauri kabla sijayamwaga haya mamilioni yangu. Biashara ipi inalipa hapa Mbezi ya Magufuli - na eneo lote kwa ujumla?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…