Daraja la mbunge gambo ni milioni 21.

Daraja la mbunge gambo ni milioni 21.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,759
Reaction score
37,370
Aisee tukisema wazungu wanatuona nyani tukubari sio kupanic.

Jf kama ili swala litaki kuzungumziwa sababu ni CCm na wana CCm wao waliopo hapa JF wanaweza kusema leo ni usiku wakati mchana.

Nimeona huko global TV wakionesha daraja la milioni 21 na wakisema ni awamu ya kwanza.
Sasa ijajulikana kuna awamu ngapi mpaka amalize ubunge wake daraja kumalizika.
IMG_1381.jpeg
 
Back
Top Bottom