milioni 30

Million Dollar Eel (Italian: Un'anguilla da 300 milioni) is a 1971 Italian comedy film. It stars actor Gabriele Ferzetti.

View More On Wikipedia.org
  1. upupu255

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Je, ni kweli Heche amesema anahitaji milioni 30 ili zimuongezee motisha?

    Nimekutana na hii video Insta wanasema, "wanachadema haujawapatia majibu ya million 900 zilipoenda kwa ujasiri Unakuja mbele za watu eti unaomba mil 30 kwaajili yako zikupe motisha, motisha gani akati umeshawaibia wanachadema mil 900 na hutaki kusema zilipo Kwa tunavokufahamu wewe ingekua sio...
  2. Denis Gregory

    JamiiForums Tanzania Ushauri wako ni hatua kwangu Biashara gani ya kimkakati kwa mtaji wa Milioni 30

    Habari za muda huu waheshimiwa, Salam. Kabla ya yote, nipende kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa maoni mtakayokwenda kuandika hapa, nami nitayachakata kwa uhalisia. Asante sana. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nina kiasi cha Tsh Milioni 30,000,000 ambacho kiko tayari kwa ajili ya...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Yanga yapigwa faini Sh Milioni 30 kwa kutumia nyumba ya mtu kuwa chumba cha kubadilishia nguo

  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Ado: Imenigharimu milioni 30 kushinda ubunge jimboni kwangu

    Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini Ado Shaibu amesema imemgharimu milioni 30 za Kitanzania kushinda ubunge katika jimbo hilo Kwanza kabisa mazingira ya kisiasa yamebadilika sana ukifanya uchambuzi wa miaka 30 ya Demokrasia ya vyama vingi uwekezaji kwenye siasa umekuwa ukibadilika kutoka...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuna gari za kuanzia mwaka 2013 hadi 2020 kwa bajeti zisizozidi milioni 28 zenye urahisi wa kuzitunza na matengenezo pamoja na ulaji mzuri wa mafuta?

    Gari itatumika mazingira ya Tanga, matumizi ya lami na barabara za vumbi kidogo Engine iwe inasifika kwa uimara na ikipata hitilafu mafundi wameizoea Iwe na mifumo mingine ambayo imezoeleka na mafundi, sio kufunga safari hadi Dar au Kenya kurekebisha Isizidi cc 2000 Ulaji mzuri wa mafuta Umbo...
  6. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Zile dola milioni 30 zilizokutwa nyumbani kwa Magufuli ziliishia wapi?

    Katika zama hizi za mitandao ya kijamii, simu za viganjani zenye kila aina ya uwezo, zenye kuweza kupiga picha, kurekodi video, na kadhalika, ni vigumu sana kwa baadhi ya mambo kuendelea kuwa siri. Tuliambiwa kwamba, baada ya Rais Magufuli kufariki, kwamba nyumbani kwake zilikutwa dola za...
  7. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Kupitia biashara ya vitumbua Mama anamsomesha mtoto wake kwa zaidi ya gharama ya milioni 30 kwa mwaka

    Aisha Ali hakupewa mtaji wa milioni, hakurithi duka wala biashara wala hakujaliwa bahati isiyo na jasho alianza tu na jiko la mkaa, unga kidogo, mafuta na hiriki ila leo hii vitumbua alivyoanza kupika akiwa mama wa nyumbani si tu vimeajiri vijana zaidi ya kumi na watano bali vimemfikisha mpaka...
Back
Top Bottom