milele

Milele is an urban gospel and humanitarian group composed of Kanjii Mbugua, Harry Kiiru, Christian Mungai and Kaima Mwiti. The group formed after the longtime friends who were originally from Kenya met in Pomona, California at a prayer breakfast in 1998. Milele, which means "forever" in Swahili has performed alongside gospel artists like Andrae Crouch and Helen Baylor and recorded four albums, Forever, Level up, Afrique and their most recent recording, Monday. Apart from the music, Milele has also launched many campaigns in Africa with the purpose of providing means for impoverished African communities to gather strength to make steps towards better living standards.

View More On Wikipedia.org
  1. Ukweli wa Kushtusha: Maisha ya Milele Yanavyoweza Kuwa Jehanamu

    Je, umewahi kutamani uishi milele? Usiwe na haraka kujibu, kwa sababu huenda baada ya kusikia hadithi hii, utabadili mawazo. "The Last Answer" ni hadithi fupi iliyoandikwa na Isaac Asimov, mmoja wa waandishi mashuhuri wa science fiction. Ingawa hadithi hii si maarufu kama The Last Question...
  2. Fanya sasa kabla hujachelewa na kujuta milele

    Ukweli Mchungu wa maisha maisha yetu Baada ya kuzaa, nge mama huwabeba watoto wake mgongoni ili kuwalinda. Wakati huu, yeye hali na hutumia nguvu zake zote kuwaweka salama watoto wake, Kadiri siku zinavyosonga, anazidi kuwa dhaifu, akitumia kila alichonacho kuhakikisha watoto wake wanaishi...
  3. Acha kupoteza muda wako kuandika nyuzi zifuatazo, utakuwa maskini milele!

    Kama wewe ni mtoto wa Elon Musk, usisome uzi huu, haukufai! Kila siku, vijana wengi wanatumia muda mwingi kuandika nyuzi mitandaoni kuhusu mambo yasiyo na faida kwa maisha yao ya baadaye. Kwa mfano mtu anaandika uzi wenye kichwa: “Bibi yako alikuwa na vidole vingapi?” Wengine wanazungumzia...
  4. Leo nimejikuta nakumbuka Luck Dude. Aliwezaje tunga nyimbo zinazoishi milele

    Nimejikuta nakumbuka comrade lucky Philip dube. Aliwezaje toa vibao vinavyoishi tunaita touching souls sounds. Ni vibao ukisikiliza unapata kitu Check kibao kama. Wale wauaji walaaniwe kabisa. Lakini huwa mamcomrade huwa hawaishi mda mrefu wanaenda kwenye sayari zingine wakakamilishe mission...
  5. Tutakukumbuka milele na milele Magufuli

    Ni mwaka nne mpaka Sasa hatuko naye aliyekuwa raisi wetu mpendwa namba moja hapa Tanzania,watu wa maisha ya chini walimupenda sana.,video hapo chini ni maneno aliyozungumza wakati wa corona.corona ilitikisa maraisi wa nchi kubwa duniani lkn mwamba alisimama na Mungu na kuwatoa hofu Watanzania.
  6. Hawa ndio Ccm ni wale wale Jana Leo kesho na hata milele

    Ukiusikiliza ule wimbo wa Ccm mbele Kwa mbele Kuna maneno yanimbwa " Ccm ni Ile ile na makali ni yaleyale" hii nikweli Vijana kama mnategemea sisiyemu itawalete kitu kipya sahauni sana sana wanaboresha namna ya kuifisadia hii Nchi. Kikwete si alituahidi ajira Kwa Kila kijana? Magufuli si...
  7. S

    Swali moja tu kwa Felchesmi Mramba wa Nishati; huo umeme wa Ethiopia anaosema leo ni bei nafuu, mkataba unawazuia Ethiopia kupandisha bei milele?

    Bado tuna majibu mepesi mepesi na ya kisiasa kuhusu suala la kununua umeme toka Ethiopia. Kwanza tuliwauliza kama sisi tuna transmission losses kubwa kupeleka umeme mikoa ya kaskazini, Ethiopia hawana? Mkajibu kuwa kununua umeme ni sehemu ya kuimarisha usalama wa power supply nchini -...
  8. Wito wangu kwa DGIS na Taasisi yako: Msipomtumia Tundu Lissu kupata Katiba Mpya na Bora sasa, mtajuta milele.

    Nimemaliza kuangalia hotuba ya Tundu Lissu kwenye Mkutano wa Bawacha. Niseme tu, this guy is gifted. Tumshukuru sana Mungu kwa kutupa huyu mtu wakati huu. Tumshukuru Mungu kwa sababu hakuruhusu mtu huyu afe mwaka 2017 kwa sababu alijua kuna wakati tutamuhitaji. Najua mnajua namna gani nchi hii...
  9. Mfuko wa hifadhi ya jamii PSSSF ni mfuko dhalimu! Naulaani milele! Umenidhulumu haki yangu niliyoidai miaka 14!

    H
  10. Wazee naomba kuuliza hivi Arsenal na Fly Emirates ni mkataba wa milele?

    Huwa najiuliza hii timu na hili shirika la ndege ndio wamejiunga mkataba wa milele au maana wanamiaka mingi wakuu anaejua anifahamishe Ili nipate kujua maana tangia wajengewe uwanja mpaka Leo wanatumikia hili shirika je ndio makataba wa milele
  11. Jina lake ni ushairi na ni milele

    . Aliitwa Phillis, kwa sababu hilo lilikuwa jina la meli iliyomleta, na Wheatley, ambalo lilikuwa jina la mfanyabiashara aliyemnunua. Alizaliwa Senegal. Akiwa na miaka kumi na tatu, tayari alikuwa akiandika mashairi katika lugha ambayo haikuwa yake. Hakuna aliyeamini kuwa yeye ndiye...
  12. R

    Limenijia tu kichwani, waliomuua Mzee Kibao wamefanya dhambi kubwa sana!Hamtakuwa salama milele,

    Hamtakaa muwe salama ndani ya mioyo yenu. Na kumbuka THE EVILS THAT MEN DO LIVE AFTER THEM! by Marc Antony
  13. G

    Elon Musk , asema anawaheshimu wanawake japo ni watu ambao hawezi kuwaamini milele

    Elon Akihojiwa na redio , amesema chanzo cha kutengeneza sex robot ni kuokoa Mali, muda na uhai wa wanaume wengi duniani. Akitolea mfano wa sheria za talaka ambapo wanaume wengi hujikuta wakipoteza Mali nyingi walizotafuta kwa jasho lao bila usaidizi wa wenza wao. Amesema ataiuza sex robot...
  14. Kalenda za uchaguzi wa ndani wa Chadema ni hatari. CHADEMA itaendelea kutokufanikiwa na haitashika dola milele!

    Chadema ilitakiwa kufanya uchaguzi wa chama mwaka 2022 kama sehemu ya mkakati wa kujiandaa kwa chaguzi muhimu zinazokuja. Uchaguzi huu ungekuwa na umuhimu mkubwa kwa sababu ungewapa nafasi wanachama wa chama kuweka msingi imara kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024, ambao ni...
  15. Pole Sana Mama Janeth Magufuli pokea upendo na faraja ya umma wa Watanzania hata milele

    Hawa ndio wanadamu! Kipenzi chako na baba wa familia alikesha na mafaili wizarani na baadae ikulu na pengine aliwasahau kama wanafamilia kutokana na kujitoa kwake kama sadaka ya watanzania! Hakika usifadhaike ,usilie,usijute bali muombe Mungu sana. Wanadamu wabaya ndivyo walivyo...hawapendi...
  16. Aliyebuni hizi engine za forester XT aishi milele huko aliko

    Kwenye safari niliyofanya kutoka DAR-DODOMA-SHINYANGA-MASWA-LAMADI HADI KISORYA nilifanya test ya kumwaga moto nione hii ndinga ikoje, aisee Subaru ni gari banaa asukuambie MTU. Aliyebuni hizi boxer engine anastahili sifa maana kama hii nguvu iliyopo kwenye hizi engine ni balaa Sana maana Ngoma...
  17. Ujinga na umasikini wa wajumbe ndio unaomfanya Mbowe aendeleee kuwa mwenyekiti wa chadema milele.

    jamani nafsi na roho yangu vinanishudia kuwa Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa chadema, nimeumia sana baada ya kuona hili jambo linaenda kutendeka, ukisoma vzr sana walaka wa marehemu "chacha wangwe" utagundua kuwa Mbowe sio rahisi kushindwa uchaguzi kwa sbb ya ujinga mkubwa, na umasikini wa...
  18. Ukweli ulio uchi ulivyotoweka milele..

    Uongo alimwambia Ukw eli, "Hebu tuoge pamoja, maji ya kisima ni mazuri sana. Ukweli, akiwa bado na mashaka, alijaribu maji na kugundua kuwa ni mzuri. Basi wakavua wote nguo wakawa uchi na kuanza kuoga. Lakini ghafla, muongo akaruka kutoka majini na kukimbia, akiwa amevaa nguo za Kweli...
  19. Ni mtu mjinga ndo anaweza kusema CCM itatawala milele , jibu ni wakati wa CCM ukifika kuondoka itaondoka kama MBOWE.

    Leo mgefikiria mtu Kama Mbowe kukataliwa na kila mtu . Hii ni weak up call kuwa katika kila kitu kuna majira yake . Hivyo ikifika wakati wa Ccm kuondoka wataondoka . Ni swala la muda tu.
  20. Hii Yanga ya sasa ikikutana na Real Madrid, Barcelona, Liverpool isipozifunga hizo team nipigwe ban milele

    Hii Yanga unaifungaje? Dube gari limewaka moto. Majini yote yametoka baada ya kuombewa na wachezaji wengine wamemwelewa kocha. Aziz Ki mnamwona? Hatari sana Chama je? Ikitokea Yanga hii inacheza na Real Madrid au Liverpool au Barca. Isiposhinda Yanga nipigwe ban. Sifai kabisa kuwemo humu. Hizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…