mikumi

Mikumi is a town in the Morogoro Region of Tanzania, adjacent to Mikumi National Park. It is at the crossroads to the Great Ruaha River valley and Kilombero sugar factory, and the southern highland regions of Iringa and Mbeya. It is near the larger town of Kidodi. Kidodi is near a railway station and junction of the Tanzania Railway Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. figganigga

    Mawasiliano ya Mikumi na Morogoro yakatika.. Barabara imekata Doma

    Mvua imeleta balaa. Mawasiliano ya Mikumi na Morogoro yakatika.. Barabara imekata Doma. Laleni tu ndugu zangu... Samia Hai au Hoi?
  2. Bawabu wa pili

    Morogoro: Wanaokwamisha ujenzi wa stendi ya Mikumi kuondolewa

    📍MOROGORO - Mkuu wa Mkoa, Adam Malima, amesema hatua zitachukuliwa dhidi ya Watumishi wote wanaokwamisha utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa stendi ya magari ya mizigo (malori) ya Mikumi, Wilayani Kilosa, unaotarajiwa kuanza hivi karibuni. Malima ametoa kauli hiyo wakati wa kikao kazi cha...
  3. figganigga

    Mikumi kuwa makini usiku huu, kuna lori linawaka moto

    𝗧𝗨𝗡𝗔𝗢𝗧𝗨𝗠𝗜𝗔 𝗕𝗔𝗥𝗔𝗕𝗔𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗕𝗘𝗬𝗔, 𝗠𝗜𝗞𝗨𝗠𝗜 𝗠𝗕𝗨𝗚𝗔𝗡𝗜 𝗞𝗨𝗡𝗔 𝗟𝗢𝗥𝗜 𝗟𝗜𝗡𝗔𝗪𝗔𝗞𝗔 𝗠𝗢𝗧𝗢. 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗘𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗧𝗔𝗛𝗔𝗗𝗛𝗔𝗥𝗜
  4. Hammer11

    Kutafuta kazi mikumi

    Niko mikumi wadau naomba kazi yeyote ile aseee hali mbayaaa sana
  5. Hammer11

    Niko mikumi

    Mikumi wadau vip niko mikumi natafuta kazi yeyote ile nisaidieni wadauuu
  6. Merchante

    Natarajia kwenda Mikumi National Park kutalii

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Niko Morogoro kwa sasa, natarajia kwenda kesho kutwa Mikumi National Park. Kwa wajuzi wa mambo,naombeni mchanganuo wa gharama za usafiri na malazi kwa siku mbili kwa mtu mmoja. NB: Mtu mmoja tu kwasababu nakwenda peke yangu.
  7. nipo online

    Wakuu nipo Mikumi, naomba kujuzwa sehemu salama za kutembelea

    Kikazi nimepata tuor makini sana, tafadhali wakuu ni maeneo gani muhimu ya kuzuru? mana kuna session 1 ya kupewa utawala binafsi nikaona niwacheki familia humu. Asante
  8. B

    KERO Foleni ya magari Mizani Mikumi ni kero kubwa, mbona haipati ‘solution’ au kuna watu wananufaika?

    Sisi Wakazi wa Mikumi Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro tuna kero ya muda mrefu ya foleni ya magari makubwa ya mizigo katika Mizani ya Mikumi, hali ambayo inatufanya kuhofia kutokea kwa ajali katika eneo hilo. Foleni hiyo inatokana utaratibu wa askari wakati wa ukaguzi wa magari hayo mpaka...
  9. Papaa Mobimba

    LGE2024 Mikumi: Kata 8 hazijaanza kupiga kura, msimamizi adaiwa kutopokea simu

    Wakati zoezi la upigaji wa kura za kuchagua viongozi mbalimbali wa serikali za mitaa likiwa limeanza tangu saa 02:00 asubuhi nchini, hali ni tofauti kwa jimbo la Mikumi, wilayani Kilosa, mkoani Morogoro ambapo inadaiwa kuwa kata nane (8) kati ya 15 za jimbo hilo zoezi la upigaji wa kura...
  10. Waufukweni

    LGE2024 Joseph Haule (Professor Jay) arudi kwenye ulingo wa Siasa, azindua Kampeni Mikumi kwa kishindo

    Wakuu Yule Mbunge wa Binadamu na Wanyama kashika kipaza cha Siasa tena. Msanii na mwanasiasa maarufu, Profesa J, amerudi tena kwenye ulingo wa siasa kwa uzito, akizindua kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa leo Novemba 20 katika Kata ya Mikumi na Kata ya Ruaha. Pia, Soma: • Morogoro...
  11. Roving Journalist

    Kamati ya Bunge yamtaka Mkandarasi kumaliza ujenzi wa Uwanja wa Ndege Mikumi kwa wakati

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imemuelekeza Mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa kiwanja cha ndege Kikoboga katika Hifadhi ya Taifa Mikumi, Badr East Africa Enterprises Ltd. wenye gharama ya Sh. Bilioni 20.6 kuongeza kasi ili kukamilisha mradi huo kwa wakati. Ujenzi huo...
  12. Roving Journalist

    Huu ndio Muonekano wa Daraja la Ruaha Mkuu (Mita 133) katika barabara ya Mikumi- Kidatu - Ifakara

    Muonekano wa Daraja la Ruaha Mkuu lenye urefu wa mita 133 katika barabara ya Mikumi- Kidatu - Ifakara sehemu ya Kidatu - Ifakara kilometa 66.9 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Morogoro. Daraja hilo limejengwa na Mkandarasi Reynolds Construction Company - RCC ya Nigeria na...
  13. al-baajun

    Msaada jinsi ya kutembelea Mikumi from Dar es salaam

    Habari? Wadau wa utalii na wote wanaoweza kunisaidia kuhusu utalii wa mikumi. Nina Mtalii Mume&Mke tumefanya nao kazi ila wanataka kuona wanyama in cheap and convenient way, nikawaambia mbuga ya kwenda ni mikumi sasa naombea msaada wa gharama ya kutoka morogoro mpaka mikumi,kulala mbugani siku...
  14. Roving Journalist

    Barabara ya Tanga - Kilosa - Mikumi - Lupembe kupandishwa hadhi kuwa Barabara Kuu “TRUNK ROAD”

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi kuipandisha hadhi barabara ya Tanga - Kilosa - Mikumi - Lupembe kuwa barabara kuu 'Trunk Road' ili kuinua uchumi wa mikoa ya Tanga, Morogoro na Njombe. Bashungwa, ameyasema hayo mkoani Morogoro wakati akikagua...
  15. J

    Barabara Ya Tanga - Kilosa - Mikumi - Lupembe Kupandishwa Hadhi Kuwa Barabara Kuu “trunk Road”

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi kuipandisha hadhi barabara ya Tanga - Kilosa - Mikumi - Lupembe kuwa barabara kuu 'Trunk Road' ili kuinua uchumi wa mikoa ya Tanga, Morogoro na Njombe. Bashungwa, ameyasema hayo mkoani Morogoro wakati akikagua...
  16. Marathon day

    Hoja binafsi kwa Polisi Mikumi na unyanyasaji

    Nakuja kwenye hoja, nimeona na kusikia kuhusu unyanyasaji na ushamba wa madaraka kwa polisi wa Mikumi wakiongozwa na DTO wao. Nimefatilia na kupewa habari za pale mikumi, wanakama raia hovyo, kubambikiwa kesi na wengine kukaa / kulala vituona kwa zaidi ya siku 3 bila huduma muhimu kama...
  17. BARD AI

    Ndege mbili zaanguka Hifadhi ya Mikumi

    Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limethibitisha kutokea kwa ajali mbili za Ndege (muda tofauti) leo katika uwanja wa Ndege wa Kikoboga uliopo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi ambapo zaidi ya Watu 60 kwenye Ndege zote mbili wamenusurika. TANAPA imesema Ndege ya kwanza ya Unity...
  18. Funa the Wild

    Mikumi National Park Tour

    MIKUMI NATIONAL PARK & CHOMA WATERFALLS (2 DAYS | 1 NIGHT) *TAREHE 16-17th December 2023 GHARAMA, 155,000/= SAFARI ITAANZIA DAR ITAHUSISHA -Malazi -Usafiri kwenda na kurudi -Chakula (Breakfast, Lunch, Dinner) -Kiingilio -Muongoza watalii -Tozo za Serikali SHUGHULI - Kupanda mlima...
  19. Roving Journalist

    Morogoro: TANROADS yaelezea jinsi Mizani ya Mikumi inavyoboreshwa ili kutumia Teknolojia mpya kuondoa msongamano

    Kaimu Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Morogoro, Mhandisi Mussa Kaswahili amesema eneo hilo la Mizani barabara Kuu ya Morogoro kuelekea Iringa, awali lilikuwa na mzani mmoja, lakini Serikali imetenga fedha kwa ajili ya kuboresha na kuongeza mzani husika. Amesema: “Awali...
  20. Idugunde

    Picha: BAWACHA wakianandamana Mikumi

Back
Top Bottom