Mikumi is a town in the Morogoro Region of Tanzania, adjacent to Mikumi National Park. It is at the crossroads to the Great Ruaha River valley and Kilombero sugar factory, and the southern highland regions of Iringa and Mbeya. It is near the larger town of Kidodi. Kidodi is near a railway station and junction of the Tanzania Railway Corporation.
Habari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu yuko vizuri.
Ebu fikiria mtu nimekulia maskani, dili zote za haram na halali nazijua, maana nyingi huwa zinapangwa katika maskani mbalimbali halafu ndo zinaenda kuchezwa halafu anakuja kijana from Lagos mashambani huko anataka kunitapeli mimi...
Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Mikumi, Bakari Hasani amekihama chama hicho na kujiunga na CCM na kusema ameridhika na kazi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan na ameamua kumuunga mkono.
Rais Samia anaupiga mwingi sana. #mamayukokazini #mamaanafanikisha #kaziiendelee
Askari (traffic) wa kituo cha ukaguzi wa magari eneo la Mikumi hawakagui magari bali wanachokifanya ni kukusanya hela tu! Kila basi wakilisimamisha trafic anaenda moja kwa moja kwa dereva anachukua 5000 kisha anaruhusu gari kuondoka.
"Bus" likikaribia tu konda anashika hela mkononi trafic...
Nikitokea Morogoro kuelekea Iringa alfajiri ya leo mwanzoni mwa hifadhi ya mikumini nikakutana na joka kubwa limetulia barabarani, niliyekuwa naye akashauri tusiligonge akaanza kunipa Visa vya koboko aka black mamba kuwa unaweza kumkosa akajificha kwenye uvungu wa gari ukishuka anakugonga...
Napenda kumtaarifu RTO wa Morogoro kuwa kuna trela la semi limetelekezwa tangu Jumamosi last week mpaka jana usiku mbugani mikumi kama kilomita 15 kutoka mjini, trela hilo halina alama zozote za tahadhari, halina reflective stickers wala triangle, tumepita hapo jana majira ya saa 2 na bus nusura...
Nimekutana na mdau anasema Serikali ina mpango wa kukwepesha barabara ya Morogoro - Mikumi ipite Kilosa ili kuwanusuru wanyama mbugani.
Ukitazama ramani inaonekana umbali wa kutoka Morogoro kupitia Dumila au Kimamba ni mbali hivyo itaongeza gharama za ujenzi na matumizi ya nishati kwa wenye...
HISTORIA iliyowekwa Julai 8, mwaka 2017 ya kufunga ndoa kati ya Mbunge wa Jimbo la Mikumi kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambaye pia ni rapa mkongwe kwenye muziki wa Bongo Fleva, Joseph Haule (Profesa Jay) na Grace Mgonjo (Mama Lisa) haitafutika tena.
Ndoa hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.