mikopo

  1. JamiiForums Tanzania Zanzibar Inavyonufaika na Mikopo, Misaada na dhamana Kupitia Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    SMZ INAVYONUFAIKA NA MIKOPO, MISAADA NA DHAMANA KUPITIA SJMT Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amesema Zanzibar inanufaika na fedha zitolewazo na Wadau wa maendeleo kupitia Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SJMT). Mhe. Khamis...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rushwa katika mchakato wa mikopo ya 10% ya halmashauri mkoani Mbeya

    Kumekuwa na vitendo vya kudai rushwa kunakofanywa na watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya ili waweze kupitisha vikundi vya vijana kupata mkopo wa 10% Inayotolewa na halmashauri. Hili jambo lipo katika halmashauri ya wilaya ya Mbeya hapa mji mdogo wa Mbalizi. Maafisa maendeleo katika...
  3. JamiiForums Tanzania Tuna mengi ya kujifunza Burkinafaso

    Rais wa Burkinafaso Bwana Ibrahim Traore ameamua kuwaongezea mshahara walimu na madaktari nchini kwake Burkina Faso huku akiwa ameshusha mishahara ya wabunge wa nchini humo. Maoni ya mdau: Yaani kaangalia kaona wabunge wanachukua pesa za bure bila kufanya kazi, hizo pesa bora nikawaongezee...
  4. JamiiForums Tanzania Mikopo ya awamu ya tano matumizi yanaonekana, Mikopo ya awamu hii ambayo ni mikubwa zaidi imetumikaje?

    Mikopo ya awamu ya Tano; Treni ya kisasa ya SGR Bwawa la umeme la Nyerere (JNHEP) Daraja la Kigogo - Busisi Tanzanite Bridge John Kijazi interchange Mfugale Flyover Ubungo Bus Terminal JK Nyerere international airport Terminal 3 Magufuli city - Dodoma Barabara za Mwendokasi - BRT Ikulu mpya -...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu (BoT) Arusha nani anailinda hii taasisi inayoitwa IVOJ inayotoa mikopo maeneo ya Kilombero!

    Kuna taasisi ipo pale Kilombero jijini Arusha jengo la Summit Centre inaitwa IVOJ inatoa mikopo. Taasisi tajwa ni zaidi ya kausha damu, riba ni kubwa sana, ukichukua Milioni moja unarudisha zaidi ya Milioni moja na laki 8. Mbaya zaidi na kinachodhalilisha wamekusanya kadi za benki za hao wateja...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kero ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza katika kozi za afya, Ongezeni mikopo

    ๐’๐š๐ฅ๐š๐ฆ๐ฎ ๐ณ๐š ๐ก๐ž๐ฌ๐ก๐ข๐ฆ๐š ๐ค๐ฐ๐š ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ฃ๐š๐ฆ๐ข๐ข ๐ฐ๐จ๐ญ๐ž ๐•Ž๐•’๐•Ÿ๐•’๐•—๐•ฆ๐•Ÿ๐•ซ๐•š ๐•จ๐•–๐•Ÿ๐•˜๐•š ๐•จ๐•’ ๐•ž๐•จ๐•’๐•œ๐•’ ๐•จ๐•’ ๐•œ๐•จ๐•’๐•Ÿ๐•ซ๐•’, ๐•™๐•’๐•ค๐•’ ๐•จ๐•’๐•๐•– ๐•จ๐•’ ๐•œ๐• ๐•ซ๐•š ๐•ซ๐•’ ๐•’๐•—๐•ช๐•’, ๐•ฅ๐•ฆ๐•Ÿ๐•’๐•ก๐•’๐•ฅ๐•’ ๐•”๐•™๐•’๐•Ÿ๐•˜๐•’๐•ž๐• ๐•ฅ๐•  ๐•œ๐•ฆ๐•“๐•จ๐•’ ๐•œ๐•’๐•ฅ๐•š๐•œ๐•’ ๐•œ๐•ฆ๐•๐•š๐•ก๐•š๐•’ ๐•’๐••๐•’ ๐•ซ๐•–๐•ฅ๐•ฆ. โ„๐•š๐•š ๐•Ÿ๐•š ๐•œ๐•จ๐•’ ๐•ค๐•’๐•“๐•’๐•“๐•ฆ ๐•ž๐•š๐•œ๐• ๐•ก๐•  ๐•ช๐•’ ๐•ค๐•–๐•ฃ๐•š๐•œ๐•’๐•๐•š ๐•™๐•’๐•š๐•ฅ๐• ๐•ค๐•™๐•š ๐•œ๐•ฆ๐•—๐•š๐••๐•š๐•’ ๐•ž๐•’๐•™๐•š๐•ฅ๐•’๐•›๐•š ๐•ช๐• ๐•ฅ๐•– ๐•ช๐•’ ๐•–๐•๐•š๐•ž๐•ฆ. โ„๐•’๐•ฅ๐•’ ๐•ฅ๐•ฆ๐•Ÿ๐•’๐•ก๐• ๐•ก๐• ๐•œ๐•–๐•’ ๐•ก๐• ๐•ค๐•™๐•  (๐•“๐• ๐• ๐•ž), ๐•š๐•Ÿ๐•’๐•œ๐•ฆ๐•จ๐•’ ๐•™๐•’๐•š๐•ฅ๐• ๐•ค๐•™๐•š ๐•œ๐•ฆ๐•ฅ๐•ฆ๐•Ÿ๐•š๐•ค๐•™๐•’ ๐•ž๐•’๐•™๐•š๐•ฅ๐•’๐•›๐•š...
  7. JamiiForums Tanzania Taasisi za mikopo ESS

    Hivi naruhusiwa kuchukua mkopo kwa taasisi yoyote iliyoko ESS hata kama mkoani kwangu hakuna tawi lao?
  8. JamiiForums Tanzania Wanufaika mikopo ya asilimia 10 watakiwa kuwa waaminifu kurejesha mikopo hiyo

    Katibu Tawala wa wilaya ya Meatu mkoani Simiyu Bw. Eliasa Mtarawanje amewasisitiza wanufaika wa mikopo ya 10% kuwa waaminifu kwenye kurejesha mikopo hiyo, Mtarawanje amesema hayo leo Machi 16, 2025 alipokutana na vikundi 42 vilivyonufaika na mikopo ikiwa ni katika kutekeleza maono ya Rais Dkt...
  9. JamiiForums Tanzania Wajasiriamali mnaitwa kuchangamkia mikopo ya asilimia 10

    Wakati wimbi la mikopo ya kausha damu likiendelea kutikisa nchini, wajasiriamali wilayani Serengeti mkoani Mara wametakiwa kuchangamkia fursa ya mikopo nafuu ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri. Hayo yamesema na Mwenyekiti Wa UVCCM Mkoa Wa Mara, Mary Joseph wakati akizungumza na...
  10. JamiiForums Tanzania Katibu Tawala Mara asema Mikopo ya serikali sio zawadi rejesheni kwa wakati. Tusisahau mikopo waliopewa wasanii nao warejeshe harakaa

    Wakuu Katibu Tawala Mkoa wa Mara, Gerald Kusaya amewataka wananchi wa mkoa huo kutumia mikopo inayotolewa na Serikali kwa manufaa na kuirejesha kwa wakati ili iweze kuwanufaisha wengine wenye uhitaji. Akizungumza wakati alipokutana na timu ya wataalamu ya elimu ya fedha kutoka Wizara ya Fedha...
  11. JamiiForums Tanzania Martha Mariki awaasa Wanawake kutumia fursa za mikopo ya 10% kujikwamua kiuchumi

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki amewaasa Wanawake wa Mkoa wa Katavi kutumia vyema fursa ya utoaji mikopo ya Halmashauri ya Asilimia Kumi (10%) inayotolewa na Serikali ili kujikwamua kiuchumi Mbunge Martha Mariki ameyasema hayo katika kilele cha Maadhimisho ya Siku...
  12. JamiiForums Tanzania Katibu UVCCM Pwani atembelea wanufaika mikopo asilimia 10

    Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Pwani Comrade Iddi Ntonga amefanya ziara yake ya kazi wilayani bagamoyo ambapo ametembelea vikundi ambavyo vimenufaika na mkopo wa asilimia 10 ya vijana unaotolewa na halmashauri zote nchini. Pia ametembelea vikundi vya waendesha Pikipiki...
  13. JamiiForums Tanzania Mtwara kutenga bilioni 2.9 kwaajili ya mikopo ya asilimia 10% 2025/2026

    Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala ametoa wito kwa viongozi kuhakikisha wanawasaidia vikundi mbalimbali ili wajue namna bora ya kutimiza vigezo vya kupata mkopo wa aslimia 10 unaotolewa na halmshauri. Sawala ametoa rai hiyo wakati wa kikao maalum cha kamati ya ushauri ya Mkoa (RCC)...
  14. JamiiForums Tanzania DAS Kahama: Wanawake acheni mikopo ya kausha damu chukueni mikopo ya Samia

    Wanawake wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga wametakiwa kuchangamkia fursa mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na halmashauri bila riba na kuachana na mikopo umiza. Rai hiyo nimetolewa na Katibu tawala wa Wilaya hiyo Glory Absalum ambaye alikuwa mgeni rasmi kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya hiyo Mboni...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaotumia miradi ya watu binafsi kuomba mikopo ya asilimia 10 wabainika na kudhibitiwa Ukerewe, Je, maeneo mengine waliopata mikopo hii wanastahili?

    Katika halmashauri nyingi nchini imetolewa mikopo ya asilimia kumi kwa makundi ya wanawake watu wenye ulemavu na vijana. Wapo baadhi ya watu wengine wakishirikiana na baadhi ya viongozi kutoa mikopo kwa watu wasio na sifa stahiki pamoja na uwepo wa udanganyifu. Je, waliopata mikopo hii...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Yaliyo nikuta katika kukopa kwangu ili yawe funzo kwa wengine wa lamba asali

    Kuna la kujifunza kwa waajiliwa wapya soma attachment.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Taasisi zinazohitaji tujaze fomu za karatasi taarifa zetu nyeti za NIDA ni hatari, taarifa zinaweza Kutumika kwenye utapeli, wizi, kuomba mikopo, n.k.

    Kuelekea mapinduzi ya Teknolojia, mambo mengi nchini yameanza kufanyika kwa kutumia NIDA. Kwenye mifumo ya kusajili biashara, kuomba ajira, kuomba mikopo, kujisajili huduma za kiserikali mtandaoni, n.k. huwa unajaza Nida halafu baada ya hapo unaulizwa maswali matatu ya uhakiki mfano jina la...
  18. JamiiForums Tanzania Athari za Mkopo wa Biashara, Baada ya kukopa mkopo wa biashara kutoka Benki, nimejikuta katika hali ngumu sana

    Utangulizi Baada ya kukopa mkopo wa biashara kutoka CRDB, nimejikuta katika hali ngumu sana. Sijawahi kufikiria kwamba mkopo unaweza kuathiri maisha yangu kwa namna hii. Kila usiku, ninasumbuliwa na mawazo ya kurejesha pesa hizo, na matokeo yake ni kukosa usingizi. Ni kama vile mzigo mzito...
  19. JamiiForums Tanzania Wajasiliamali wa chini kabisa na sakata la mikopo

    Wandugu tupeane A BC za kumaintain biashara ndogo ndogo ili tuwasaidie wenzetu wanaotaabika na mikopo ya kausha damu. Hapa tuwaongelee wale wajasiliamali wa chini kabisa. Kundi hili linateseka mno mno kwa kujitahidi kujikwamua lakini hawajui jinsi ya kujikwamua. Nimeumia sana kuna ndugu...
  20. JamiiForums Tanzania Nipeni utaratibu wa kusajili Kampuni ya mikopo?? siyo microfinance

    Hii biashara nimegundua inaendana na mm!! Nipeni tips naanzia wap Taarifa kama Faida na hasara Kodi yake serikalini Changamoto Process za usajili nk yaan A to Z
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ