Mtiania wa ubunge Jimbo la Segerea mkoani Dar es Salaam kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, ameendelea na ziara zake za vikao vya ndani ambapo Agosti 16, 2025, alikutana na wanachama pamoja na wadau katika Kata ya Vingunguti, Mtaa wa Kombo.
Akizungumza kwenye kikao...