Aisee uyu mwamba ni hatari sikuizi haishiwi vituko
Week kadhaa uko nyuma nilipost umu aliniomba pesa sasa aumekuwa na muendelezo wa vibweka Sana
"Mfano number yangu anayo na Huwa ananipigia then siku moja asubhi akanipigia mchana nakutana na rafiki yangu ananiambia flani anataka number yako😁🙌"...