miguu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Kutotumia miguu yako vizuri kutakufanya uzeeke mapema na Haraka

    KUTOTUMIA MIGUU YAKO VIZURI KUTAKUFANYA UZEEKE MAPEMA NA HARAKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Forever young kama ndio unataka kuonekana na kuwa hivyo basi hii mada inakuhusu Sana. Yaani unataka uonekane Siku zote kijana shupavu usiyezeeka. 2. Wakati wengine wa rika lako wakizeeka na...
  2. A

    KERO Njia ya Watembea kwa Miguu imegeuzwa DAMPO la TAKATAKA na kusababisha athari za kiafya (Yombo barabara ya Mwinyi, Kata ya Kilakala)

    Ndugu Wahusika, Napenda kuwasilisha malalamiko rasmi kuhusu hali isiyoridhisha ya njia ya kupita kwa watembea kwa miguu katika eneo letu, ambayo kwa sasa imegeuzwa kuwa dampo la kutupia takataka. Hali hii imesababisha: Harufu kali na isiyovumilika katika mazingira ya makazi Uchafu unaoathiri...
  3. A

    Naomba dawa ya miguu kuwaka moto

    Habari wakuu kwa anaejua naomba anisaidie dawa ya miguu kuwaka moto baadhi ya muda miguu yangu inawaka moto anaejua dawa anisaidie tafadhal
  4. Roving Journalist

    Kariakoo: Wafanyabiashara, bodaboda wanaoziba barabara na njia za watembea kwa miguu watakiwa kupisha

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imetangaza kuanza zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara wa Kariakoo wanaofanya biashara katika maeneo yasiyo rasmi ya barabara pamoja na kwenye njia za watembea kwa miguu. Hoja hii ilianzia hapa ~ Usalama wa watembea kwa miguu Msimbazi - Kariakoo, Je, Mamlaka...
  5. Dalton elijah

    Askofu Bagonza :Kenani Kihongosi Ana Hoja Lakini Kaishika Kichwa Chini Miguu Juu!

    Nimemsikia Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM akimzungumzia Mzee Warioba. Kwanza, nitangaze mgogoro wa Maslahi. Nampenda huyu kijana. Huwa ni mnyenyekevu na msikivu. Haaniki madhaifu yake kama sisi wengine. Akisema jambo napenda kumsikiliza. Anasema Mzee Warioba astaafu vizuri. Pia kwamba Mzee...
  6. Samia atosha tukutane2030

    Ombi kwa Rais Samia, Niko chini ya miguu yako Rais Samia

    Rais Samia tafadhali naomba usicheke na yeyote kwenye mambo ya kitaifa. Usiwe mpole sana. Huo upole wako ndio uliopelekea ghasia za October 29 -31. Wanasiasa walioumizwa kipindi cha Magufuli hawakuweza kutoa kauli yoyote , wanasiasa waliozoea kula pesa za ubunge lakini Magufuli akaweka wabunge...
  7. Superbug

    Leo nimeshauriwa nikatoe sumu Kwa njia ya kuweka miguu kwenye beseni ( ya wachina) je hii ni kweli?

    Nimekuwa na unene kiasi nina kitambi kuna mtu kanishauri niende nikatoe sumu kwa Wachina ile unakiweka miguu halafu miguu inalowekwa kwenye beseni halafu kuna mashine Iko kama kafriji na kawaya flani wanakaweka mikononi. Hii kitu ilianza miaka ya mwishoni ya 2000 nikiwa kijana ila Sasa ni mtu...
  8. Sifi Leo

    Enyi Tume ya uchunguzi, nendeni kwa Chacha Dereva aitwae na watawala AFISA msafirishaji, aliyevunjwa miguu na polisi ana mengi

    Nimepokea ujumbe wenu WA kunitaka niwape USHAIDI kama kweli Nini najua kabla na baada ya uchaguzi kilichagiza machafuko? Kwanza niwambie siji. Pili niwambie nawajua nyinyi ni watii wake huyu RAIS. TATU nawasaidia nendeni kwa chacha awaeleeze alivyokamatwa ndo mtajua yakuwa tarehe 29 nchi YETU...
  9. Dalton elijah

    Tukielekea mwisho wa mwaka umetembea kwa miguu umbali mrefu kiasi gani ?

    Tunapoelekea ukingoni mwa mwaka 2025, kila mmoja wetu ana kumbukumbu inayomfanya acheke au kutikisa kichwa. Kwangu mimi, tukio lisilosahaulika ni safari ya miguu iliyoanza kwa mkasa na kuishia kwa ushindi. Baada ya kupoteza simu yangu na kukwama bila njia mbadala ya usafiri, nilijikuta...
  10. E

    Binti WA kazi amapakua chakula miguu ikiwa amepanua

    Habari wana JF Kuna ishu siipendi lakin pia nina mashaka nayo kwa dada wa kazi nyumbani kwangu. Akiwa anapakua chakula anapanua miguu halafu sahani sufuria kila kitu anaweka katikati ya miguu anaanza kupakua ....? hii haijakaa kishirikiana?
  11. Mlalamikaji daily

    Makonda ni kiongozi anayekuvunja miguu gizani halafu anakuletea magongo hadharani

    Hivyo ndivyo Makonda alivyo.. Hana huo uzalendo wa hivyo. Ni jambazi anayeweza kukujia usiku akakutoboa macho na akakuletea miwani mbele ya waandishi wa habari.. Kwa ufupi tu Makonda ni katili kuliko ukatili wenyewe..
  12. M

    Miguu kuvimba nikiwa safarin kuanzia safar ya masaa2 nakuendelea

    Habari wakuu nkiwa safarin safar ya walau masaa 2 nakuendelea miguu huvimba, Hali hii imeanza kipindi Cha ndani ya miaka2 ,je hapa ntakua matatizo gani
  13. I

    Usalama wa watembea kwa miguu na wachuuzi wa biashara Mbagala rangi 3; Mamlaka zipo likizo?

    Hali ya usalama wa watembea kwa miguu ni changamoto hasa kutokana na wafanyabiashara ndogondogo kufanya biashara zao katika njia za watembea kwa miguu. Hii imefanya watembea kwa miguu kupita pembezoni mwa barabara. Hali inayopelekea usalama wao kuwa mashakani. Kinachoshangaza zaidi...
  14. matunduizi

    Nakumbusha: Kutembea kwa miguu ndio zoezi bora na salama, kukimbia ni kujizeesha kwa hiyari

    Tembea KWA miguu umbali wa kukutosha. Kama Kuna vilima na miinuko itakuwa Bora zaidi. Kama huna muda, paki gari yako mbali au shuka KITUo kimoja au viwili kabla ya eneo lengwa Tembea KWA miguu kikakamavu. Utanishukuru. Mwili utabaki Bora na IMARA na mvuto hautapotea kama mkimbiaji na zile apps...
  15. Hyrax

    Ukitaka kujua mwanamke ni msafi angalia miguu yake

    Take Note.
  16. Vincenzo Jr

    Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

    Tukutane tarehe 16 Septemba ni Simba SC vs Yanga SC
  17. kavulata

    Je, FIFA inakataza chama cha siasa kuwa na timu ya mpira wa miguu?

    Hebu wananzengo tuongezeane uelewa kwenye nyanja ya football: Je, kuna kifungu kwenye katiba ya FIFA, CAF, CECAFA au TFF kinachokataza chama cha siasa kumiliki timu ya mpira wa miguu? Je, FIFA inakataza chama cha siasa kusaidia kifedha au usajili timu ya mpira wa miguu? je, FIFA na TFF katiba...
  18. Bueno

    Tatizo la Kuvimba Miguu na kua na Donda NDUGU Kidonda ambacho hakiponi hata kwa Dawa Gani, Sababu huwa ni Nini?

    Wakuu, najua humu jukwaani hususani kwenye hili jukwaa la Afya kuna watu wengi wenye maarifa mbalimbali yahusuyo afya, magonjwa na tiba. Sasa kuna hili tatizo nimekua nikiliona nimeona kwa mtu wa kwanza sasa nimeliona kwa mtu wa pili. Mtu wa kwanza yeye kazi yake ni ulinzi. Huyu yeye tatizo...
  19. Mwanga wa Jua

    Je, Wadau wa AFCON na CHAN mnajua kama Mama katoa TZS298bn kwaajili ya ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa “Samia Suluhu Arusha stadium"?

    Rais Samia ametoa TZS298bn kwaajili ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu “ Samia Suluhu Arusha stadium” sasa Mkoa wa Arusha kwenye ramani za AFCON rasmi. Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Samia, mkoa wa Arusha umefanikiwa kupata uwanja wa kisasa wa mpira ambao unajengwa katika...
  20. Prof_Adventure_guide

    Ukombozi wa Kiuchumi: Je, Tanzania Inaweza Kupenya Minyororo ya Madeni na Kusimama Kwenye Miguu Yake?

    Katika historia ya maendeleo ya kiuchumi duniani, hakuna taifa lililopaa kufikia economic sovereignty bila kukabiliana na changamoto za madeni, sera dhaifu, na utegemezi wa rasilimali za nje. Tanzania, kama developing economy yenye rasilimali lukuki lakini bado ikihesabu kwenye low-middle income...
Back
Top Bottom