mifumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Yawezekana maamuzi ya nchi yakawa yanafanywa na maofisa wa chini, wakubwa wamegoma kutumia TEHAMA. Tupo salama?

    Ngoja leo niawachane wakurugenzi na manyapara wote waliomaliza chuo kikuu cha DSM 1997/2002 na wakapata kazi serikalini. Wengi kwa sasa ndio wakurugenzi, makamishna, wakuu wa polisi mikoa nk. Wengi ni marafiki zangu na wakija huku kanda ya ziwa tukikutana tunapiga gambe na moja mbili tatu. Ila...
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Naibu waziri Ridhiwani Kikwete azindua usambazaji wa mifumo kuboresha uwajibikaji kazini

    Uzinduzi wa Zoezi la Usambazaji wa mfumo wa kutathmini na kuhakiki utendaji wa kazi wa Watumishi na Taasisi yaani PEPMIS/ PIPMIS NA HR Assessment limefanyika mapema tarehe 20 Novemba 2023 katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa, mjini Iringa. Akizungumza wakati anazindua mpango huo wa usambazaji...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuwe na kikosi maalumu kuhakikisha mifumo ya Tehama haizimwi kifisadi!

    Kumekuwa na malalamiko mengi ya mifumo ya tehama serikalini kuzimwa makusudi ili wafanyakazi wezi na viongozi wezi waweze kuiba. Ushauri wangu ni kuweka kikosi maalumu kuhakikisha mifumo yote inafanya kazi na kama ikizimwa bila sababu au kutoa taarifa kuwekwe sheria maalumu ya uhujumu uchumi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tuko na hii mifumo ya computer(Application systems)

    Habari wote, Sisi ni wataalam wa kutengeneza mifumo mbalimbali ya computer(Computer Application systems). Na kwa sasa tuna mifumo ifuatayo ambayo inaweza kukusaidia katika kuongeza ufanisi na kupunguza gharama kwa biashara zako. Point of Sale (700,000 Tzs):Hii inatumika kusaidia kuhifadhi...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Suala la ukahaba ni matokeo ya wazi ya mifumo yetu ya maadili iliyomongo'nyoka

    Kamwe kuvunja danguro hakuwezi kutokomeza biashara ya ukahaba Tanzania, huu ni ukweli ulio dhahiri kabisa, jambo hili la kudanga lipo mioyoni mwa watu hata kama tukibomoa miundo mbinu ya watu bado tunahitaji kushughulika na ufahamu wa watu, mnabomoa madanguro wao watakuwa wanaranda barabarani...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Tanzania kufungua mipaka kwa wageni, ni lazima kuimarisha mifumo kwanza

    Nchi zetu za kiafrika ni vigumu watu wake kutembeleana kwa urahisi bila kukutana na vikwazo mipakani/uhamiaji. Hili limetuchelewesha sana kiuchumi. Sababu kubwa ya kuzuia wageni kuja nyumbani kwako ni ushaghalabagala uliyoko nyumbani kwako. Kama nyumbani kwako ni kuchafu sana, hakujapangiliwa...
  7. Replica

    JamiiForums Tanzania Bidhaa kutoka Zanzibar kutolipishwa kodi, Serikali kuunganisha mifumo ya kodi Bara na Zanzibar

    Ukinunua vitu Zanzibar na kuja navyo Tanzania Bara vitu husika vilikuwa vinalipiwa kodi ikiwa ni mara ya pili baada ya kulipiwa kodi Zanzibar kabla. Jambo hilo linaenda kuwa historia baada ya kamishna wa kodi wa mamlaka ya mapato Zanzibar(ZRA), Yussuf Juma Mwenda kusema wanamalizia hatua za...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini chuo cha MUST Mbeya kinawafanya wanafunzi warudie mwaka wa masomo kwa sababu mifumo inasumbua. Hasa wa Diploma

    Nimeona niulize huku labda naweza pata msaada wa mawazo tofauti kwa watu wanaopitia hii changamoto. Nna ndugu yangu amesotea Diploma pale MUST Mbeya kwa miaka mitano badala ya mitatu na mpaka sasa hivi bado hajatoboa, na tatizo sio kufeli. Ni mifumo yao. Wanaambiwa mfumo umebadilika so mwalimu...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mkutano Mkuu wa Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF), Waziri Bashe aelezea msimamo wa Serikali kuhusu GMO

    Mkutano huu unafanyika kwenye Ukumbi wa Ikulu ya Magogoni Dar es Salaam ukishirikisha Wadau mbalimbali wa Kilimo, leo Jumapili Septemba 3, 2023. Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus akizungumza na Viongozi pamoja na Wahariri kutoka Vyombo mbalimbali vya Habari kuhusiana na...
  10. Jackal

    JamiiForums Tanzania Urusi yahamisha mifumo ya ulinzi wa anga toka kisiwa inachogambania na Japan cha Kuril kupeleka kwenye mpaka na Ukraine

    My take: Baada ya mambo kuwa magumu kwenye vita vyake na Ukraine, kupoteza silaha nyingi,Urusi yaanza kuhamisha silaha toka maeneo mengine kupeleka frontline dhidi ya Ukraine.Njia rahisi ya kumaliza vita,ni Putin kuondoka Ukraine,ikiwemo Crimea 🤔 .... Russia has taken away anti-aircraft missile...
  11. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Klabu za Premier League zaonywa kuhusu Wadukuzi kuvamia mifumo ya usajili

    Imebainika kuwa Klabu za England zinalengwa na wadukuzi, ambao wanatuma ankara za ulaghai kuhusu uhamisho wa wachezaji wa nje ya Nchi hiyo. Suala hilo ni zito, Chama cha Soka Cha England (FA) kimetuma onyo kwa Klabu na kuzitaka kupitia barua pepe zao za usalama na kuzitaka idara zao za fedha...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo Kikuu Iringa hawalipi mishahara kwa wakati na kuna changamoto ya Mifumo ya Malipo, hivyo Watumishi wasio waadilifu wanachezea mifumo ya malipo

    Sakata la Chuo Kikuu cha Iringa roho za Watanzania zinateseka katika hicho chuo, kwanza hakilipi mishahara kwa wakati matokeo yake Watumishi wasio waadilifu ikiwepo Ofisi ya Uhasibu wanatengeneza mchezo mchafu wa malipo hewa ili kujipatia fedha. Ishu hiyo ilipokugundulika chuo bila kuchunguza...
  13. magabelab

    JamiiForums Tanzania Nauza Mifumo ya kuangalia matokeo

    Mifumo hii imeanza kutengenezwa 2013, sasa imekamilika. (Natafuta fedha ya kutengeneza mfumo Fulani imayotumia AI). Mifumo hii ya kuangalia matokeo unaweza kuiprogram kama chombo cha cassini, yaani utakavyo on the fly kwa kutumia computer au simu yako ya mkononi, mfano kuweka matangazo au...
  14. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tujiunge kwenye vyama ambavyo vina mifumo ya utaifa kwanza, kwa wote tulioiasi au kuikataa CCM

    Ikumbukwe sisi watanzania,kabla ya mfumo wa upinzania kuanza sisi sote CHAMA chetu kilikuwa ni chama cha mapinduzi yaani ccm, baada ya vyama kufunguliwa ndipo kila mmoja wetu kwa akili zake akakimbilia pale anapoona panamstahili na panapoweza kumtimizia mawazo yake na malengo yake ya kisiasa...
  15. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yathibitisha Wadukuzi wameingilia Mifumo ya Malipo, Taarifa za Uhamiaji na Upelelezi na Benki

    Kwa mujibu wa Waziri wa Mawasiliano na Uchumi wa Kidigitali, Eliud Owalo amesema shambulio hilo lililolalamikiwa na Wananchi kwa takriban siku 4 limefanywa na Wadukuzi waliojitambulisha kama 'Wasudan Wasiojulikana. Hata hivyo Waziri amesema Taarifa Muhimu za Watumiaji na Taasisi hazijachukuliwa...
  16. Librarian 105

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maadili na uwajibikaji ukokotezwe katika utamaduni wa Mtanzania kustaarabisha mifumo ya kisiasa na kijamii nchini

    UTANGULIZI Ukarimu ni mfano mmojawapo wa kete wanayotumia wanasiasa na viongozi wa serikali kusisitiza Watanzania kuuenzi utamaduni wa Mtanzania. Kimsingi ni malengo yetu sote tuufikie ustaarabu wa kijamii ambao binafsi siuoni ukikidhi kikamilifu vipengele vya utamaduni huo. Isitoshe una kasoro...
  17. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Naona ipo siku nitaiacha hii kazi ya ualimu ni wakati Sasa wa Kutengeneza mifumo

    Fikiria hupo chama Cha chakuhawata alafu inatokea tu chama kingine (CWT) wanapitisha makato yako na umeshajitoa, Unaenda kwa afsa utumishi ( Hapo umeshamtafuta mwezi mzima hayupo ofsini) anakujibu short tu kwa dharau kwamba nenda huko CWT wakuandikie kwamba wewe sio Mwanachama wao uniletee hapa...
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tunatoa angalizo wanaowekeza kwenye cryptocurrency, mifumo ya Tanzania haiwezi kubainisha fake na genuine

    Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba akizungumza leo Jumatatu Julai 10, 2023 kwenye Uzinduzi wa Ripoti mpya ya FinScope Tanzania 2023, Jijini Dar es Salaam amesema: Huduma za cryptocurrency hazipo kwenye uratibu mzuri na tumekuwa tukitoa tahadhari kwa watu wanaotumia uwekezaji...
  19. Mammamia23

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mabadiliko ya mifumo ya elimu katika kupambana na changamoto ya ukosefu wa ajira

    Ukosefu wa ajira umekua ni changamoto kubwa Katika nchi ya Tanzania na nchi nyingine nyingi duniani. Changamoto hii Kwa kiasi kikubwa imechangiwa Kwa kiasi kikubwa na mifumo mibovu ya elimu Katika nchi yetu ambayo haikidhi vigezo vinavyohitajika kwenye soko la ajira na Dunia inayokuwa Kwa kasi...
  20. mwanamichakato

    JamiiForums Tanzania Upo uwezekano mifumo ya bandari inahujumiwa kubariki uwekezaji tarajiwa?

    Kwa Siku kadhaa sasa mifumo ya bandari haifanyi kazi hivyo kupelekea wadau ktk Masuala ya forodha kukwama kutoa mizigo mbalimbali. Mkwamo wa System Kwa muda mrefu huleta usumbufu mkubwa ,hasara kubwa na taswira hasi kuhusu bandari na Taifa Kwa kuzingatia ushindani uliopo ktk ukanda tuna bandari...
Back
Top Bottom