Nawapongeza kwa kufanya vizuri kwenye mechi za mwanzo ni mwanzo mzuri kwa timu zote mbili itawajengea hali ya kujiamini na kujipanga vizuri kwa michezo ijayo,.
Pamoja na kushinda timu zote 2 zimekutana na timu ambazo zina viwango vya chini, ukianzia Nyassa big bullet ya malawi ni timu...
Mwaka huu 2022/23 ni timu sita tu ndizo zitakazoanzia raundi ya kwanza kwenye mashindano ya CAF champions league. Timu hizo ni: 1. Al Ahly(misri) 2. TP Mazembe(DRC) 3. WAC(Morocco) 4. Raja(Morocco) 5. Mamelodi Sundowns(south africa) 6. EST(Tunisia).
Hizo...
NI DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANS
KLABU BINGWA BARANI AFRIKA ( Champions' Cup 1975)
NI timu nne tu Afrika nzima zilianzia second round ambazo ni
CARA Brazzaville ya CONGO BRAZAVILLE
AS Forces Armées (Dakar) ya SENEGAL
Mehalla Al-Kubra ya MISRI
Young Africans ya TANZANIA
Yanga ilianza...
Barbra Banda ameondolewa kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) baada ya kufeli vipimo vya “kustahiki jinsia” kutokana na kiwango chake cha homoni za testosteroni kuwa juu kupita kiasi
Wachezaji wa kike wanapaswa kuwa na kiwango kidogo cha homoni ya testosteroni...
Caf champions league hatua ya awali inatarajiwa kuanza mwezi nane, ni wakati muafaka sasa kwa mabingwa wa Nbc premier league yanga sc kuhipanga kisawa sawa isije kutokea ya msimu uliopita.
Ikumbukwe kuwa katika hatua hii ya awali wapo pia Rivers united waliowafurusha yanga sc kwa kuwapiga nje...
Hili wananchi lazima tulielewe.
Ni kweli straiker wetu amekuwa tishio kubwa kwa vilabu vya ndani lakini tukirudi kimataifa bado naona kuna kazi ya ziada inatakiwa ifanyike Ili kufanya vizuri mashindano haya.
Mechi na Simba ilikuwa kipimo kizuri sana kwa yanga kuonyesha ni vipi wanaweza...
Rekodi hii imenitisha, mpaka utumbo umecheza kwa zile beki zile ambazo hazijui kuruka mipira ya krosi kuna maafa makubwa sana. Naiona balaa kubwa sana, yajayo hayafurahishi
Michuano ya Mchezo wa Gofu ya Kilimanjaro Golf Tourney ‘Mount Kilimanjaro Klassic’ ambayo imepangwa kufanyika Arusha, wiki ijayo, imefutwa na wachezaji husika ambao walikuwa katika maandalizi ya mwisho kwa ajili ya kushiriki wamejulishwa.
Michuano hiyo ilikuwa itumike kama sehemu ya kutangaza...
Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) na Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA) kwa pamoja wametangaza kuzifungia timu zote za Urusi katika michuano ya kimataifa kuanzia ngazi ya klabu hadi timu za taifa hadi hapo itakapotolewa taarifa nyingine.
Mamlaka hizo za soka zote zimetoa tamko la pamoja...
Kuna tetesi kuwa AzamTv hawana haki ya kuonyesha michuano ya Afcon 2022 itakyofanyika mapema mwakani!
Kama ni kweli basi, AzamTv watakuwa wamefeli pakubwa sana, maana wanashindwa kuonesha michuano mikubwa na yenye mvuto na hii inapelekea kuwashushia uweledi!
Mbunge mstaafu wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara,James Ole Milya leo ameonekana kivutio katika michuano ya wabunge wa Afrika Mashariki inayorindima katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Ole Milya alionekana muda mwingi akiwa amevaa bendera ya Tanzania huku akiwa ameshika vuvuzela...
Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake imeibuka Mabingwa wa COSAFA kwa ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Malawi katika michuano ya COSAFA ya wanawake iliyokuwa inaendelea Afrika Kusini, goli la Tanzania lilifungwa na Enekia dakika ya 64.
Mechi hiyo ilipigqwa katika dimba la Nelson Mandela huko...
Hongerei sana mashujaa wetu wa kutuwakilisha vyema bara hili.
========
Kenya featured prominently Sunday as curtains were drawn on the 32nd Olympic Games, with Tokyo organisers overcoming huge challenges, most significantly rising coronavirus cases and growing opposition to the staging of the...
Makocha wawili wa Belarus wameondolewa Vibali vya Olimpiki kufuatia madai ya kujaribu kumlazimisha Mwanariadha kuondoka kwenye Michuano inayoendelea Tokyo Nchini Japan
Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC) imethibitisha kuondoka kwa Artur Shimak na Yury Maisevich, na Uchunguzi unaendelea
Kesi...
Na Mwandishi Wetu,
Mikocheni-Dar es Salaam.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka usiku wa tarehe 01/07/2021 ameungana na watanzania wengi ambao ni wana michezo katika hafla fupi ya uzinduzi wa mashindano ya mpira wa miguu maarufu kama NDONDO CUP hatua ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.