michuano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania AzamTv wametudanganya kuhusu kuonesha michuano ya Euro

    AzamTv walitangaza kwa mbwembwe watarusha michuano ya Uefa Euro. Cha kushangaza jana hamna mechi waliyoonyesha. Na leo mpaka sasa hakuna mechi wameonyesha. Nawauliza nyie Azam Tv utapeli mtaacha lini? Au Euro ishaisha?? Anyway, imebidi nilipie DStv tu
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Michuano ya AFCON ya 2025 imesogezwa mbele mpaka Januari 2026

    Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limeahirisha rasmi michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 na badala yake itafanyika Januari 2026. Uamuzi huu umefanywa ili kuepusha mgongano wa ratiba na Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA, linalotarajiwa kuanza Juni 15 hadi Julai 13, 2025...
  3. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Simba itacheza Michuano ya Shirikisho barani Afrika baada ya kuzidiwa idadi ya mabao ya kufunga na Azam FC

    Sasa ni rasmi msimu ujao Klabu ya Simba itacheza Michuano ya Shirikisho barani Afrika baada ya kuzidiwa idadi ya mabao ya kufunga na Azam FC licha ya wote kuwa na pointi 69 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara iliyotamatika leo. Licha ya Simba kushinda mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania lakini...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Napinga fainali ya FA kufanyika Zanzibar, Kisoka Zanzibar ni Nchi nyingine wala haina timu kwenye michuano hiyo

    Kuipeleka fainali ya FA Zanzibar ni sawa na kuipeleka fainali hiyo Kenya, Somalia ama Uganda, hakuna timu yoyote kwenye Nchi ya Zanzibar inayosimamiwa na TFF kama zilivyo Nchi nilizozitaja Wala hakuna sababu yoyote ile iwe ya kijinga au ya maana ya kupeleka fainali hiyo Zanzibar Sisi wapenda...
  5. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Hizi ndiyo timu kutoka Africa zitakazo shiriki michuano ya FIFA klabu bingwa dunia

    kwa bara la Afrika zimeingia timu nne tu katika michuano ya klabu bingwa dunia, michuano hii ipo chini ya FIFA Al ahly kutoka nchini Misri Wydad kutoka nchi ya Morocco Mamelody sowndowns kutoka nchi ya south Africa Esperance de tunis kutoka nchi ya Tunisia NB: Kuna timu kutoka Tanzania...
  6. PD_Magumba

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini SIMBA SC ndiyo timu pekee iliyofungwa Home and Away kwenye CCL 2023/2024 na pia ndo timu iliyofungwa magori mengi zaidi kwe michuano hii

    Mashabiki na viongozi wa SIMBA SC wamekua wakijinasibu ya kwamba SIMBA SC ni timu bora. SIMBA SC pamoja na kupangwa kundi bovu lakini ilifuzu kwa tabu sana. SIMBA SC imetolewa kwa kipigo cha aibu cha nje ndani kutoka kwa Ahly iliyojichokea sana msimu huu. Je ubora wa SIMBA ni upi? Je, nini...
  7. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Yanga yaiandkia CAF kupinga matokeo ya Nusu fainali ya CAFCL kutokana na kukataliwa kwa Goli lao kwa Administrative error & match fixing allegations

    #Tuko Pamoja na Nyinyi Mpaka FIFA
  8. G

    JamiiForums Tanzania Simba yapanda kuwa klabu ya tano kwa ubora Africa michuano ya Caf,

  9. maroon7

    JamiiForums Tanzania Huyu mtangazaji wa TBC1 wa michuano ya AFCON anatuongelea kiarabu kwa misingi ipi?

    Leo naangalia fainali ya AFCON kupitia TBC1 kutokana na mazingira niliyopo. Ila cha ajabu huyu mtangazaji somebody Upete anaboa anatuongelea kiarabu, hivi ndio professionalism yenu hii TBC1? Au hamjui sio wote wanaelewa hiyo lugha? Mnawatoa wapi hawa watangazaji wanajifanya mamwinyi waarabu wa...
  10. maroon7

    JamiiForums Tanzania Je, VAR kwenye michuano ya AFCON imeongeza au imepunguza ladha?

    Wakuu nini mtazamo wako kuhusu matumizi ya VAR kwenye michuano hii ya AFCON 2023 inayoendelea. Je,unaona imeongeza ladha au imepunguza ladha ya mpira?
  11. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Kuna timu ambayo inaenda kudhalilishwa kwenye hii michuano kwa mara ya kwanza toka ianze!

    Nishasema Salamu nishamuachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa,Kwangu mambo yote ni Shega!. Kiukweli ndugu zangu tangu mods wanaiondoe kwenye jukwaa la michezo toka Simba alipokula kipigo cha Goli 5 - 1 Kutoka kwa hasimu wake Young Africans,Mods walinifungia kwenye jukwaa la...
  12. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Hatimae DStv kurusha michuano ya AFCON

    Baada ya kusuasua, leo DStv Tanzania wametangaza kurusha michuano hiyo kwa kifurushi cha POA ambacho ni Tshs. 10,000/= kwa mwezi.
  13. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania DStv hawataonesha michuano ya AFCON mwaka huu, Azam Tv atangaza kurusha mechi zote

    Kuna barua mtandaoni inatembea ya kampuni ya Multichoice (DStv) kuhusu kutokuonyesha matangazo ya michuano ya Afcon mwaka huu ambayo itafanyika huko Ivory Coast baada ya kukosa haki za matangazo. Kwa upande wa pili, AzamTv wametangaza kuonyesha mubashara mechi zote za Afcon yaani mwanzo mwisho...
  14. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha Simba kingekuwa kipimo cha Klabu Bingwa Afrika, michuano hii ingedharaulika sana

    Kwa kiwango na uchezaji wa Simba hii, hakika michuano hii ingedharaulika na kutofuatiliwa. Simba imechoka na haina hata uwezo wa kupiga pasi tano. Simba wamekuwa wakijipambanua kuwa wao ndiyo wacheza-klabu Bingwa Afrika. Wamekuwa wakiwabeza na kuwatweza Yanga kuwa michuano hiyo hawaiwezi na si...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kundi la Yanga ndio litatoa bingwa wa hii michuano

    Huu ndio ukweli na ndio maana mpaka leo timu namba moja kwa ubora bado haina uhakika wa kutinga robo fainali(mpaka sasa inahaha kuingia robo fainali). Labda Mamelodi ndio anaweza kuleta ushindani.
  16. Da Gladiator

    JamiiForums Tanzania Yanga SC na Michuano ya CAFCL

    Asalaam Aleykum(Amani iwe nanyi) Tanzania na Dunia kwa ujumla. Leo naomba niwazungumzie wananchi, Dar Young Africans Wana jangwani Nipende ku'declare interest' kwa mambo yafuatayo. 🙌 Mimi n mshabiki na mpenzi wa soka wa muda mrefu na siko mbali na maswala ya ukufunzi wa mpira wa mguu 🙌Yanga...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Simba ile ile, wachezaji wale wale, michuano ndio tofauti

    KAMA bao la penalti laini ya Saido Ntibazonkiza dhidi ya Asec Mimosas lingesimama kwa dakika zote tisini si ajabu mashabiki na viongozi wa Simba wangerudi katika dunia yao ya njozi kwamba bado wana timu bora kwa ukanda huu wa Afrika mashariki. Si ajabu pia wangeendelea kuota ile njozi maarufu...
  18. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania FIFA yaishika pabaya Simba, ratiba ngumu kwa mpambano wao na Al Alhy

    WAKATI Simba ikiendelea kujiandaa na mechi ya ufunguzi wa michuano mipya ya African Football League (AFL) dhidi ya Al Alhy ya Misri, ghafla imejikuta ikianguka kwenye mtego kutoka Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kutokana na ratiba ya mechi za timu za taifa ilivyo. Hivi sasa ligi nyingi...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano huu wa 'Kinafiki' kwa Timu za Tanzania zinazoshiriki Michuano ya Kimataifa GENTAMYCINE siuafiki na siutaki

    Yaani kabisa GENTAMYCINE niishangilie Yanga SC nisiyoipenda kuliko hata Shetani Lucifer na nizishangilie Yanga B Timu za Singida Fountain Gate FC na Azam FC? Waziri Damas Ndumbaro ( ambaye nakujua ni mwana Simba SC lia lia kama alivyo Naibu wako Khamis Mwinjuma ) acha Kukurupuka katika hili na...
  20. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Serikali yaipongeza Simba kwa kuwa miongoni mwa vilabu nane bora vinavyoshiriki michuano ya African Football League

Back
Top Bottom