michezo

  1. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zashiriki kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi

    Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi inayoendelea imevutia macho ya dunia. Jumla ya nchi tano za Afrika, ambazo ni Kenya, Nigeria, Madagascar, Morocco na Eritrea zimeshiriki kwenye michezo hiyo. Kwa nchi za Afrika, kushiriki katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi, sio tu ni ishara ya...
  2. JamiiForums Tanzania Redio zetu zimetawaliwa na vipindi vya michezo

    Radio Tanzania kipindi cha michezo saa 2 kasorobo mpaka saa 2 kamili. Robo saa inatosha kipindi cha michezo. siku hizi radio inakipindi cha michezo asubuhi masaa matatu na jioni masaa mawili na kila kipindi cha katikati kina segment ya michezo. Yaani unaangalia mechi azam tv ikiisha unaangalia...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Michezo ya 24 ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing yafunguliwa

    Hafla ya ufunguzi wa Michezo ya 24 ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing imefanyika leo kwenye Uwanja wa Michezo wa taifa wa Beijing. Rais Xi Jinping wa China atatangaza kufunguliwa kwa michezo hiyo. Wakuu wa mashirika ya kimataifa wakiwemo mwenyekiti wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki Bw...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Afrika yajumuika na China katika michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi

    Hatimaye mwaka mpya wa jadi wa China ambao ni mwaka wa chuimilia umefika! Mwaka huu umeanza kwa kishindo, matumaini na macho ya dunia yakielekezwa China. Kwa mara nyingine tena Beijing ni mwenyeji wa wageni kutoka pembe zote za dunia wanaojumuika kwa ajili ya olimpiki ya majira ya baridi maudhui...
  5. JamiiForums Tanzania Yaliyomshinda Mbunge wangu Kigamboni

    Yaliyomshinda Mbunge wangu Kigamboni: Sina pa kusemea, ukurasa wangu hapa facebook ndio kipaza Sauti changu. Anyways, Sikuwa na matarajio mkubwa kwake kwa kuwa Sina Imani na kikundi cha watu(chama) kilichomweka kwenye nafasi hiyo, kwa mantiki hiyo pia Sishangazwi na jinsi anavyotupuuza wana...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zinaunga mkono Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing

    Hassan zhou Awamu ya 24 ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi itafunguliwa Beijing mnamo Februari 4. Kutokana na hali ya hewa ya joto kwa mwaka mzima katika maeneo mengi ya Afrika, inaeleweka kuwa ni nchi chache tu, zikiwemo Eritrea, Ghana, Madagascar, Morocco na Nigeria ndizo...
  7. JamiiForums Tanzania Mabondia Hassan Mwakinyo na Ibrah Class wavuliwa mikanda ya ubingwa WBF Intercontinental

    MABONDIA wawili wa Tanzania, HASSAN MWAKINYO na IBRAH CLASS, wamevuliwa mikanda ya ubingwa WBF Intercontinental na Shirikisho la ngumi za kulipwa la dunia la WBF. Taarifa iliyotolewa na WBF imeeleza kuwa, mabondia hao si mabingwa tena wa mikanda ya WBF. Hassan Mwakinyo --- The World Boxing...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali wekeni Tozo kwenye Betting kupata pesa ya kujengea viwanja na kuendeleza michezo nchini

    Michezo ni sekta rasmi kama sekta zingine inatakiwa ichangie Pato la Taifa na itoe ajira na burudani pia. Ni aibu kwa Nchi kubwa kama Tanzania yenye washabiki wengi wa mpira na wacheza kamali yaani betting wa kuyosha kushindwa kuwa na viwanja vya kisasa vya michezo (sports complex) walau Kimoja...
  9. JamiiForums Tanzania Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

    Chama is Back, Triple C is Back. Baada ya Mechi Ya Mwisho kucheza akiwa Morocco na Kuwa MAN OF THE MATCH. Leo Anarejea Tena, zamu hii Akiwatumikia Simba Sc Dhidi ya Mbeya City. Nini atawapa Wana Simba Sc ni Jambo La kusubiri. Baada ya kutwaa ubingwa wa mapinduzi Mnyama, Simba SC anarejea...
  10. JamiiForums Tanzania Tiketi za Winter Olympics kutouzwa kwa umma, michezo kushuhudiwa na wachache

    Tiketi za Michezo ya Olimpiki ya Msimu wa Baridi 'Winter Olympics' itakayoanza Februari 4, 2022 huko Beijing Nchini China zitatolewa kwa makundi kadhaa ya watu na hazitauzwa kwa Umma. Kutokana na Sera za kudhibiti maambukizi ya COVID19, Waandaaji wamesema mashuhuda wa kimataifa hawatokuwepo, na...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Marekani inazidi kujiabisha tu eti kwa kujidai “kususia Michezo ya Olimpki ya Majira ya Baridi ya Beijing”

    Na Pili Mwinyi Mwanzoni mwa mwezi Disemba 2021 serikali ya Marekani ilitangaza kususia Michezo ya Olimpki ya Majira ya Baridi ya Beijing ya mwaka 2022, kwa kile walichodai kwamba wanapinga ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na China, hivyo haitaleta maafisa wake kuja China kushiriki...
  12. L

    JamiiForums Tanzania BEIJING OLYMPICS: Haifai kuingiza siasa kwenye michezo

    Caroline Nassoro Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi imepangwa kufanyika mjini Beijing, China, mwezi Februari, na maandalizi yote kwa ajili ya michezo hiyo yamekamilika. Lakini baadhi ya nchi ikiwemo Marekani, zimepanga kutoleta maofisa wao katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tucheze michezo mipya

    Habarini jamani? Naona Tanzania kuna fursa nyingi za kuanzisha klabu za michezo mingine, ukiachana na michezo kama football, boxing, basketball nk. Kuna michezo ambazo zinafaa kwa watu ambao labda football sio kipaji chao. Na pia michezo hiyo inaweza kuchezwa katika jukwaa la kimataifa...
  14. JamiiForums Tanzania Tuma salamu za Mwaka Mpya 2022 kwa members watatu wa jukwaa hili la michezo

    Mimi nawatakia heri ya mwaka mpya members wafuatao 1.Gentamycine 2.Scars 3.Renzo barbera
  15. JamiiForums Tanzania Sioni uzuri huo wa 'Sure Boy' ambao Wachambuzi wa Michezo leo mnamsifia nao. Wilson Oruma acha Unafiki na Kuichukia mno Simba SC

    Huko tunakoelekea mtatusababisha akina GENTAMYCINE tusiovumilia Upumbavu na Unafiki wenu tuwe tunakuja Kuwazaba ( Kuwawamba ) Vibao huko Studioni mliko kwani tumeshawachoka sasa. Eti Kiungo Aboubakary Salum 'Sure Boy' ndiyo Kiungo bora wa Uchezeshaji kuwahi kutokea Tanzania. Hivi nyie...
  16. JamiiForums Tanzania Nani amelitendea haki Jukwaa la Michezo kwa mwaka 2021?

    Leo ni Desemba Mosi, tumeingia mwezi wa mwisho kwa mwaka huu! Ni member gani amenogesha zaidi jukwaa hili kwa mwaka huu? Karibuni
  17. JamiiForums Tanzania SportPesa kudhamini timu ya Wabunge Kwa kuwapa vifaa vya michezo

    • Ni mashindano ya Mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. • Timu 8 kupewa vifaa ili kushiriki. Jumanne,November 30. Kampuni ya michezo Na burudani SportPesa leo imetoa vifaa vya michezo vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 20 kwa timu ya Bunge ambayo inatarajia...
  18. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata shule ya michezo 75% na 25% elimu darasa

    Habari zenu wanajukwaa! Kama kichwa kinavyojielezea.lengo langu ni dogo awe professional tennis player. Yaani nguvu nyingi na muda mwingi azielekeze huko kuliko masomo ya darasani. Mazingira yatamjenga Nina Imani iyo. Yaani wakiamka kila asubuhi saa kumi mpaka saa mbili asubuhi ni mazoezi...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo na Waziri wa Ushirikiano wa kimataifa wametoa tamko lolote kuhusu kilichojiri Madagascar?

    Hoja yangu ni fupi na imelenga mada moja kwa moja. TUTAFAKARI
  20. JamiiForums Tanzania Kinachoiponza Tanzania kwenye michezo ni "DUA TU"

    Narudia tena, Tanzania kwenda kombe la dunia labda kwa viti maalumu lakini sio kupambana ili kupata nafasi. Inashangaza sana kuona kila mtu anategemea dua na kudra za mwenyezi Mungu!!!. Hivi huyu Mungu atasaidia timu gani? Au huyu Mungu yeye ni timu gani? Wazungu wangekuwa na akili kama hizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…