miche

Miche (pronounced MEE-chee) was the name of a fashion handbag Party Plan company, based in South Jordan, Utah, United States. Miche, LLC specialized in hand and shoulder bags based on a system of magnetic interchangeable bag covers (or Shells) and accompanying accessories. Products were available through independent sales representatives across America who marketed products via Miche Parties and personal websites. Distributors in many foreign countries also sold Miche and purchased products wholesale through the company.

View More On Wikipedia.org
  1. itagata

    Nahitaji mashine ya kutengeneza sabuni za miche.

    Wadau Salaam! Ninahitaji mashine ya kutengeneza sabuni za miche pamoja na mixer angalau ya lite 200. Mwenye nayo au mwenye uelewa naweza ipata wapi naomba anisaidie kwa kunitumia ujume PM. Asanteni sana.
  2. Massenge1

    Jipatie miche ya matunda na mbogamboga - gharama nafuu, ubora wa juu

    Wakulima na wapenda bustani, kama ulikuwa unasubiri nafasi ya kuanza kilimo kwa gharama ndogo na faida ya haraka, hii ndiyo fursa yako. Ninauza miche bora, inayokua haraka, yenye afya, na inayofaa kwa maeneo mengi ya Tanzania. 🍊 Miche ya Matunda (Kuanzia TSh 2,500 tu!) Aina zinazopatikana...
  3. Karaoke

    Natafuta miche ya mwarobaini wa kisasa

    Natafuta miche ya mwarobaini ya kisasa Nimeiona hiyo miti kwa jirani yangu lakini huko alikonunulia miche wamehama, Shamba lipo Chalinze, natafuta miche kwa kwa maeneo ya Dar na Pwani
  4. Top Gun

    Kama kuna muuzaji wa miche humu naomba anisaidie bei za miche hii ya miti

    1: waburgia ugandesis 2: cordia africana 3: Waburgia ugandesis 4: vepris lanceolata 5: indian almond (Terminalia catappa)
  5. Wickama

    Miche toka Morogoro

    Wakuu, niliagiza miche ya miembe toka Morogoro. Kwa kweli quality yake ilinitia mashaka. Shambani ni kama 70% ili-fail. Rafiki yangu akanishawishi niagize toka Nairobi. Kwa kusita nikaagiza. Hii ilikuja mizuri sana kwa bei sawia. Hadi leo 90% ipo shambani. Nauliza Kuna yeyote humu amepatwa na...
  6. Blasio Kachuchu

    Vodacom na Stanbic wametoa miche ya miti na vifaa kusaidia Singida

    ●Ni kupitia Msafara wa waendesha baiskeli wa Twende Butiama Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania, Chiha Nchimbi (kulia) na Mkuu wa Mtandao wa Matawi wa Benki ya Stanbic Tanzania, Geofrey Mwijage (kushoto), wakikabidhi miche 100 ya miti kwa Mkuu wa Divisheni ya Awali na Msingi wa Manispaa...
  7. Mayor of kingstown

    Anae itaji miche ya pilipili roleza kwa bei rahisi

    Husika na kichwa cha habari hapo juu Nauza miche 2000 ya pili pili aina ya loleza kwa bei ya mche mmoja tzsh 100 , ipo tayari kwa kupandwa na ime hudumiwa kwa mfumo wa kisasa Location Chamwino dodoma ( chamwino ya Ikulu)
  8. MURUSI

    Shitukeni SUA hawauzi miche ya matunda ni wahuni wanatumia jina la SUA

    Watanzania wengi nikiwemo mimi tuneisha ingizwa mjini na hawa wahuki walioko Morogoro wanao dau wao ni Sokoine University na wanauza miche kumbe sio kweli. Jana kuna Mzee wangu kanunua miche kwa wanao itwa SUA miche imefika haifai hata kuitwa imezalishw na mtu wa mimea. Sasa wengi hawajui...
  9. Godfrey Sway

    Msimu Wa Kupanda Miche Ya Matunda Umefika Sasa.

    Msimu wa Kupanda Miche ya Matunda Umefika! Farm Side Company Ltd, tunakuletea miche bora ya matunda kwa muda mfupi! Tunatoa: ✅ Embe (Tommy Artikin, Kent, Red Indian, Apple Mango, Dodo, Alphonso, Boribo Keith, na Palma) ✅ Parachichi ✅ Chungwa, Ndimu, Limao, na Chenza ✅ Papai, Komamanga, Pasheni...
  10. CHASHA FARMING

    Tutakuwa na Nane Nane Arusha, njoo ujipatie miche ya Pixie, Dragon na Tangarine

    Nitakuwepo nane nane Arusha na miche ya matunda kama Pixie Orange, Tangarine, Mineola na Clementine pia. Dragon fruits miche itakuwepo plus elimu ya kutesha Pixie ndio tutakuwa nazo nyingi na Dragons plus matunda yake. Pixie ni machungwa seedless ambayo ni cross ya Tangarine na Sweet...
  11. K

    INAUZWA Nauza mashine yangu ya kutengeneza sabuni za miche

    Nauza mashine ya kutengeneza sabuni za miche iko complete na mixer ya lita 100 inafaaa kwa uwekezaji WA kiwanda kidogo.
  12. Nehemia Kilave

    Ni aibu kwa Media, Waziri na Wachambuzi wa Michezo kutoa maamuzi Goli la Yanga bila kujiridhisha

    Mpira ni kitu cha Duara hivyo unapotua chini ni sehemu ndogo tu ya mpira inagusa ardhi sehemu kubwa inakuwa hewani . Kwa maana nyingine ukiwa upande mmoja unaweza ona mpira umevuka lakini ukiangalia kutoka juu ukawa bado haujavuka wote . Na kwa maana rahisi ni kwamba VAR pia haiwezi kuwa...
  13. Agri Acres farm

    INAUZWA Nauza miche ya matunda na viungo

    Kwa mahitaji ya Miche ya muda mfupi ;- *Miembe *Michungwa *Chenza *Parachichi *Passion *Pera *Apple Miche ya viungo -mdalasini -mchaichai -mint -rosemary -ukwaju -iliki n.k **Wasiliana nasi kwa namba 0683017311 call&Whatsapp **Pia unaweza kufika kwenye kitalu chetu Tunapatikana morogoro mjini...
  14. Edward Mwesongo

    Tunauza miche ya aina mbalimbali Tanzania nzima

    Agri acress farm kutokea Morogoro mjini Tanzania wanakuletea huduma bora ya miche mbali mbali ikiwemo miche ya matunda, mbao, maua na migomba. Wasiliana na mmoja wa wanna bustani kutoka Agri acress farm Morogoro na tuna kusafilishia moche yako Tanzania nzima popote ulipo. Piga simu au tuma...
  15. J

    Mtaalam atoa elimu ya kuotesha miche ya michungwa

    ..Mtaalamu anaeleza hatua kwa hatua namna bora ya kuotesha miche ya Michungwa. ..Nadhani maarifa haya ni nadra kuyapata kwingine.
  16. Edward Mwesongo

    Miche ya matunda, viungo, mbao na mingine mingi inapatikana

    Wapendwa wanna JF popote mlipo Tanzania karibuni mjipatie miche mbali mbali kutoka mkoani Morogoro na tuna kusafilishia popote ulipo Tanzania miche ipo ya kila aina na iko ya muda mfupi na ya muda mrefu pia Miembe aina zote. Parachichi aina zote za biashara na nyumbani. Mipera iko...
  17. Hismastersvoice

    Nahitaji kujua wanapouza miche ya MACADEMIA.

    Mimi ninaishi wilaya ya Temeke Dar es Salaam, ninahitaji kununua miche ya muda mfupi ya MACADEMIA, miche hiyo ipatikane Morogoro, Moshi na Dar es Salaam. Mnaomjua anayeiuza karibuni hapa uwanja ni wenu.
  18. C

    Tenda za miche ya miti

    Habari wanajamii, Natafuta Supplier wa miche ya miti ya mipaina kwa ajili ya kupanda kwenye shamba langu lililopo Mzenga Zegero, wilaya ya Kisarawe, mkoa wa Pwani. Idadi ya miche inayohitajika ni takriban 5250 yenye urefu wa angalau futi moja. Supplier aliye na utayari awasilishe ofa ya...
  19. Elon J

    INAUZWA Kwa mahitaji ya miche ya matunda, miti, maua mbalimbali na majani ya kupanda tuone Dani Garden

    Mvua ndio hizo wadau, usiache shamba lako au nyumba yako ikae kinyonge tuone ''DANI GARDEN" Tunauza Miche mbalimbali ya matunda kama miembe, mipera, michungwa, milimao, ndimu n.k yote imefanyiwa budding( ya muda mfupi). Pia tunauza MAUA mbalimbali yakupendezesha nyumba yko bila kisahau miti...
  20. Stephano Mgendanyi

    Kagera: Mbunge Ndaisaba Ashiriki Zoezi la Ugawaji wa Miche Takriban Milioni Moja ya Kahawa

    Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro alishiriki zoezi la ugawaji wa Miche ya Kahawa lililofanyika Octoba 4, 2023 katika Kijiji cha Kashinga - Nyakisasa. Miche hii ni matokeo mazuri ya Jitihada za Mhe. Mbunge katika kulikuza zao la Kahawa ili kuongeza mapato kwa Mkulima mmoja...
Back
Top Bottom