miamala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Vodacom wananikata hela ya Uwakala, nikiuliza wanasema kuna miamala batili, lakini hawathibitishi kivipi!

    Vodacom wananikata hela ya Uwakala, nikiuliza wanasema kuna miamala batili, lakini hawathibitishi kivipi! Nimekuwa nikikatwa pesa katika kamisheni yangu ya miamala ya uwakala na M-Pesa nikifuatilia naambiwa kuwa nimefanya miamala batili bila maelezo zaidi Mimi ni wakala wa M-pesa, hivi...
  2. T

    Kuanzia tarehe 6 mpaka tarehe 8 hutaweza kufanya miamala ya TISS, au kwa lugha nyepesi, bank kwenda bank nyingine, Mtandao kwenda mtandao mwingine

    Hii ni taarifa ya bank moja nimepata, hii inaenda kuathiri miamala karibia yote. Chukua hatua mapema
  3. Masalu Jacob

    Miamala ya fedha za kigeni Tanzania kwa njia ya Kadi za simu (Foreign Exchange Mobile Transaction)

    Habari Tanzania ! Naomba kuwapa changamoto Bank of Tanzania (BOT), Commercial Banks; Taasisi zote ndogo za fedha na Mitandao ya simu inayofanya miamala ya kifedha nchini. Kwanini pasiwepo na huduma ya kufanya miamala ya fedha za kigeni kwa njia ya mtandao ya simu, ili iwe fursa kwa Mtu au...
  4. Kipenzi Changu

    Wateja wa CRDB hali ni tete, miamala mingi haieleweki

    Wenye akaunti CRDB hali ni vurugu. Unatuma pesa haifiki lakini inaonyesha imekatwa Unatuma pesa inafika, baadae inarudishwa Unatoa hela ATM inahesabu lakini card inatoka bila hela. Mikopo ya kukwata at source unakatwa kwenye saving account. Kifupi benki imechanganyikiwa. Ukipiga simu...
  5. A

    KERO TOZO ZA SERIKALI kwenye MIAMALA ya Simu zimerejeshwa tena?

    Kama sikosei ni takribani miaka miwili au mitatu imepita tangu serikali ilipotangaza na kupitisha makato maalumu (Tozo za serikali) kwenye miamala ya simu. Serikali ilisema kwamba tozo hizo zingetumika kujenga vituo vya afya, madarasa, kutengeneza madawati nk (kama sikosei, naomba nikumbushwe)...
  6. ELI COHEN

    Kama unataka amani ya moyo usifanye miamala siku ya jumapili kupitia CRDB

    Muamala unafanyiwa kazi masaa, customer service hawapokei, huko mitandaoni hawajibu. This bank is 🚮🚮
  7. G TARIMO

    Biashara ya Miamala M-PESA YAS. N.K bado zinalipa

    Habari za wakati huu wakuu, Naitwa Godfrey, nina mpango wa kuanzisha biashara ya M-Pesa nikiwa na mtaji wa takriban milioni 3. Nipo Dar es Salaam (eneo la Tegeta na Mwenge) na nimekuwa nikifuatilia kwa muda, ila bado nina maswali kadhaa: 1. Je, biashara hii bado inalipa kweli ? 2. Kuna...
  8. N

    NMB Bank-Tatizo la miamala kutokukamilika [inprogress] mtalimaliza lini?

    Wadau, Nilifanya muamala Jtatu kwa NMB mkononi, wakakata hela zao za huduma kisha mimi wakaniandikia Transaction inprogress. Niliwapigia simu mara kadhaa, niliwaandikia email lakini hakuna ufumbuzi wa maana. Wanasema nisubiri wanashughurikia. Ajabu, hawajui ni lini watatatua hili tatizo...
  9. ELI COHEN

    KERO CRDB Sim banking haifanyi kazi zaidi ya saa nne

    Kila kitu hoi, customer service hawapokei. CRDB mmekuwa trash sana, masaa 4 sim banking haifanyi kazi , biashara na miamala vinagoma kuendelea kwa sababu ya upumbavu wenu Trash🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
  10. S

    Kama kigogo wa juu wa chombo cha dola, bank statement yake inaanikwa hadharani huku ikionyesha miamala inayofanya watu wahoji; je, nini kinaendelea?

    Kuna kigogo mmoja ambae ni top boss wa chombo cha dola, bank statement yake imevujishwa na kusambazwa mitandaoni huku ikionyesha miamala mikubwa ambayo inaacha maswali ukizingatia yeye ni mtumishi/mwajiriwa wa serikali. Mimi namshauri atoke hadharani na ajibu madai hayo na kama ana biashara...
  11. Roving Journalist

    BoT yasisitiza ni marufuku kutumia fedha za kigeni kufanya miamala ya bidhaa na huduma nchini

    Mkurugenzi wa Masoko ya Fedha Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Akaro akizungumza katika semina ya Waandishi wa habari iliyofanyika tarehe 20 Mei 2025 katika ofisi za Benki Kuu jijini Dar es Salaam, kuhusu Kanuni za Matumizi ya Fedha za Kigeni za Mwaka 2025. Kwa mujibu wa Kanuni hizo, bei...
  12. CONTROLA

    Kama kuna yeyote anahitaji fremu ya wakala wa bemki ns mitandao ya simu, kuna fursa hapa

    Kama kuna Mtu anahitaji Sehemu ya kufanyia biashara ya UWAKALA ana mtaji wa Kutosha ila tu Sehemu ya kufanyia Biashara hiyo hakua nayo, Basi Suluhisho lipo hapa. Mwanzo ni mgumu hasa kwa Mtu ambae una Mtaji Tu gharama kubwa ni upande wa Vifaa au Vitendea kazi. Nipo Hapa kumpa Taarifa Mtu anae...
  13. Dennis Robert Shughuru

    Tozo ni kilio cha wengi; zifuatazo ni njia ambayo ntatumia kuondoa au kupunguza kabisa tozo kwenye miamala ya bank na simu

    Msisitizo utakuwa kwenye kupunguza informal sector
  14. Mr Why

    Benki kuu ya Tanzania yapiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni kufanya miamala ya ndani

    Benki kuu ya Tanzania ilisema katika taarifa yake Ijumaa jioni kwamba imepiga marufuku matumizi ya fedha za kigeni kwa miamala na malipo ya ndani. Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imesema kwa mujibu wa kanuni zilizotolewa na Serikali mwaka 2025, bei na malipo ya bidhaa na huduma zote nchini lazima...
  15. B

    Mwanaume Jifunze kuangalia message ya miamala kwenye simu ya mke/mwanamke wako

    Wakuu kuna siku unaweza Kuja ukalala njaa kumbe mkeo ana fedha ya kutosha na akabunda kimya bila kukutaarifu, Unakuta ana milion Lakini pia ni vyema kufanya ambush phone searching mara moja moja ili ujuwe, mustakabali 🥶NB kama una moyo mdogo Usijaribu kusearch simu ya mke wako Ila wake...
  16. chiembe

    Makampuni ya simu na mabenki yanayopokea miamala ya chadema, nadhani mmeona kwamba ina nia ya kutumika kwa uhalifu wa uchaguzi, msisaidie uhalifu

    Chadema wanapitishia fedha zao katika Mpesa, airtel money, na huduma za aina hiyo, pamoja na za mabenki. Nitoe angalizo kwa serikali na makampuni hayo kwamba miamala hiyo imeshasemwa na uongozi wa chadema kwamba itatumika kufanyia uhalifu wakati wa uchaguzi. Kampuni ya simu, bora uifungie...
  17. Melki Wamatukio

    Sintokaa nitumie huduma za kibenki tena. Rasmi narejea kwenye miamala ya simu

    Walichonifanyia eniembii kinatosha. Nilifungua account lao mwaka Jana November, nikawa naweka tu elfu mbili tatu kama saving, simalizi wiki, nanyofoa pesa zangu, mambo mengine yanaendelea Mwezi Feb mwaka huu nikaweka 85k, cha ajabu leo nimejaribu kutoa 80k wakaleta ujumbe wa insufficient...
  18. Dr PL

    Hivi tozo kwenye miamala ya simu bado mpaka leo?

    Kuna kipindi walitangaza kwamba tozo kwenye miamala ya simu zimeondolewa. Pia nakumbuka mchanganuo wa matumizi ya hizo tozo ulitolewa ikiwemo ujenzi wa vituo vya afya, barabara nk. https://www.mawasiliano.go.tz/news/rais-samia-aridhia-kuondolewa-tozo-za-miamala-ya-simu...
  19. Trainee

    Ushauri kwa NMB kuhusu miamala na mikopo

    Nilichoona na kuamua kuzinduka ni kwamba ukiwa na hoja yoyote kwenda popote basi taarifa inafika vizuri, haraka na kwa uzito kupitia Jamiiforums kuliko njia zingine za kiprotokali zinazowekwa na wahusika Leo naomba NMB wachuje ushauri huu 1. Mtu akifanya miamala kwa nmb mkononi huwa mnatoa...
  20. Bodhichitta

    Hivi siwezi kupata application kwa ajili ya kufuatilia biashara yangu ya miamala?

    Aslaam, Wakuu hivi hakuna app, au siwezi kupata application ambayo itanifanya kufuatilia biashara yangu ya MIAMALA? Nawaza kufanya biashara ya uwakala wa pesa kupitia laini za simu na bank, lakini nataka nimtumie kijana wakati mi mwenyewe nikiwa kwenye shughuli zingine za kujiongezea kipato...
Back
Top Bottom