miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Musonda atunukiwa medali na mtoto wa miaka 8

    Mchezaji wa Yanga Kennedy Musonda leo ametunukiwa medali aliyopewa na mtoto wa kutoka huko Spain aitwaye Lucas Gomez. Medali hiyo ilikabidhiwa kwa Musonda na Balozi wa Spain kwa niaba ya mtoto huyo. Musonda alipata zawadi hiyo kutokana na kuwa man of the match wakati akichezea club yake ya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania TUCTA: Miaka miwili ya Rais Samia ameonyesha kuthamini wafanyakazi

    SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limesema katika miaka miwili ya uongozi wa Rais Dk Samia Suluhu Hassan amewafanyia mengi wafanyakazi ikiwa ni pamoja na kuongeza mishahara watumishi wa kima cha chini kwa asilimia 23.3. Katibu Mkuu wa Tucta, Hery Mkunda alisema hayo mjini...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaume watatu wafungwa miaka 75 kwa ubakaji wa Kutumia Silaha

    Mahakama Kuu nchini Ghana imetoa adhabu hiyo kwa Genge la Watu hao baada ya kuwakuta na hatia ya kuwaibia na kuwabaka baadhi ya Wafanyakazi wa Kujitolea wa #Uingereza huku wakiwa wamewaelekezea Bunduki. Washtakiwa wamekiri mashtaka yote manne (Kula Njama, Wizi, Ubakaji na Kumiliki Bunduki bila...
  4. JamiiForums Tanzania Tapeli aliyeiibia Urusi afariki akiwa na umri wa miaka 56

    Afisa wa Benki na tapeli mahiri wa Urusi Sergey Grishin amefariki dunia nchini Marekani, akiwa na umri wa miaka 56. Grishin alikiri mwaka 2018 kuwa ndiye aliyepanga mpango wa kuzihadaa benki za Urusi mabilioni ya dola. Grishin alilazwa hospitalini kufuatia tatizo la ubongo mwezi uliopita, na...
  5. JamiiForums Tanzania Aliyeolewa akaachika miaka 7 sasa imepita ila hakupewa talaka, Anataka nimuoe. Je, naweza kumuoa?

    Naishi naye huu mwaka wa 3 bila ya ndoa. Hadithi yake ya nyuma ipo hivi " Alioelewa akiwa na miaka 17 baada ya kupewa ujauzito na uyo jamaa na wakaishi wote miaka 8 kwenye ndoa na kuzaa watoto wawili. Sababu ya kuachana uyo jamaa alianza kula madawa ya kulevya ndugu wakampeleka sober akarudi...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Makosa ya miaka mitano ya Hayati Magufuli yanasahihishwa sasa. Hongera CHADEMA kwa kuongoza hili kwa ufundi mkubwa

    Kumekuwa na mijadala mikubwa ikiendelea nchini sasa kuhusu yale yanayoitwa maridhiano ya kisiasa. Kimsingi ni maridhiano kati ya chama tawala na vyama vya upinzani. Lakini haikupaswa kuwa hivyo tu, wapo watu binafsi, mashirika na makampuni binafsi na hata baadhi ya nchi ambazo kipindi cha...
  7. JamiiForums Tanzania Binti wa miaka 16 afia kwa Mchungaji akiombewa

    BINTI aitwaye Consolata Pius (16) anadaiwa kufariki dunia, wakati akiwa nyumbani kwa mchungaji akifanyiwa maombi. Akizungumzia tukio hilo baba mzazi wa mtoto huyo, Charles Pius amedai mtoto wake amekua akisumbuliwa na maradhi ambayo hata baada ya kumpeleka hospitali hayakuweza kutambulika...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Witness: Nilimsubiri mume wangu amalize kifungo cha miaka 30

    Wakati tunaelekea Siku ya Wanawake Duniani, Witness Mbangala (45) ni miongoni mwa wanawake waliopitia changamoto katika familia, lakini bado wakasimama imara kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa. “Safari ya maisha yangu imepitia changamoto nyingi, baadhi ya watu walinishauri niolewe na...
  9. JamiiForums Tanzania Miaka 30 ijayo Tanzania itakuwa na idadi kubwa ya wazee masikini

    Godbless lema ametoa kauli ya kuhusu boda boda na baadhi ya makundi ila watu wengi wamemponda. Savings Bodaboada wengi hawana saving swali la kujiuliza wakiwa wazee nani atakayewatunza, sector rasmi wanalazimishwa kuweka saving na inawasaidia wakiwa wazee kwenye kuwatunza. Mimi nasimama na...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni binadamu mwenye dalili zote za kutufikisha nchi ya ahadi. Mkimpuuza huyu itapita miaka 100 hajapatikana mwingine!

    Katika vitabu vitakatifu Abraham au Ibrahim alipewa ahadi na mungu ya kumbariki uzao mkubwa kama mchanga wa baharini kwa sharti Moja tu .akubali kuondoka katika nchi ya baba zake ukaldayo aende kuishi kwenye nchi mpya kabisa ya kanaani. Pamoja na ahadi nyingine kedekede kama atakuwa tajiri wa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Miaka Miwili ya Samia: Ujenzi wa mto Ng'ombe unaomaliza adha ya mafuriko Dar es Salaam

    Kuelekea maadhimisho ya Miaka Miwili ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, wananchi katika kata za Ubungo, Tandale, Manzese, Kijitonyama, Sinza Ndugumbi, Mwananyamala na Makumbusho katika Halmashauri za Manispaa ya Ubungo na Kinondoni zinazopitiwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Kiasi chake Lema yuko sahihi, niliishi USA miaka kumi niliporudi nchini niliamini Watanzania tuna laana

    Mwaka 1990 au 91 kama sikosei Nelson Mandela alifanya ziara nchini Tanzania, watu walijipanga kuanzia Pugu Road, Buguruni, Ilala, Kariakoo, Mnazi Mmoja, Posta mpaka Ikulu.Akiwa kwenye gari ya wazi akiwaoungia mkono maekfu kwa maelfu WanaDares salaam waliouja kumlaki,akiwa na Winnie Mandela na...
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge Kaliua, Aloyce Kwezi aahidi ndani ya miaka miwili ijayo kukamilisha Miradi ya Elimu na Afya

    Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Aloyce Kwezi ameendelea na ziara yake katika jimbo na kutembelea miradi mbalimbali ambapo ameongea na wananchi wa Kata mbalimbali wa maeneo hayo. "Ndugu zangu Wananchi wa Ukumbikakoko na Usinga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anawapenda...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Wazungu wanafanyaje mpaka Watoto wadogo chini ya miaka 13 wanahitimu degree kwenye vyuo vikuu majuu

    Habari wadau. Sio kitu cha ajabu kukuta mtoto wa miaka 10 anasoma chuo kikuu majuu. Tena degree za kibabe kama Engineering , Medicine, Mathematics etc. Wazungu wanatumia mbinu gani kuwapa admission kwenye vyuo vikuu vyao hawa watoto. Je Tanzania hatuna watoto wenye akili wa miaka 10 mpaka...
  15. JamiiForums Tanzania Mshindi wa tuzo ya Noble kahukumiwa miaka kumi jela

    Mpigania haki za binadamu Ales Bialiatski, muanzilisha wa umoja wa Viasna (Belarus), alipata tuzo hiyo ya heshima mwaka 2020 pale stockholm sweden. Leo hii mahakama iliyopo belarus imemuhukumu mshindi huyo wa tuzo hiyo ya amani miaka 10 jela, kwa kosa La kushiriki kusaidia maandamano na...
  16. JamiiForums Tanzania Harry Belafonte Miaka 96

    HARRY BELEFONTE MIAKA 96 Miaka ya mwanzoni 1970s nilikuwa napita nje ya ofisi ya British Airways. Mbele yangu nikawaona Harry Belafonte na Sidney Poitier wanatoka katika ofisi hiyo. Itaendelea... Nikawasogelea karibu nikawasalimia na kuomba autograph zao. Nilikuwa sina karatasi nikatoa...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Kijana ambaye upo chini ya miaka 25 , wekeza kwenye kujenga brand ya jina lako. Ajira zipo ukiwa na jina kubwa

    Habari kijana under 25. Kama bado upo Chuoni jitahidi usome kwa bidii uwe nondo kwenye proffessional unayosomea. Ila pia uwe na extra callicular ya kukufanya ujulikane na kukujengea jina kubwa . Hakikisha mpaka unafika 30. Uwe maarufu kwa ujuzi fulani. Mimi nakushauri kama unatoka ukoo ambao...
  18. JamiiForums Tanzania Samsung imetimiza miaka 85

    SΛMSUNG ni moja kati ya brand kubwa duniani katika uzalishaji na usambazaji wa vifaa vya kielektroniki. SΛMSUNG ilianza kama duka la kuuza mbogamboga na ilianza kwa mtaji mdogo sana, ilikuwa inauza vyakula kama vile samaki wa kukausha na tambi. Ilianzishwa siku kama ya leo - March 1 mwaka 1938...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Ilikuwa miaka saba ya maumivu

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema miaka saba iliyopita ilikuwa ya bonde la maumivu makali kwa wananchi wote. Alitaja maumivu hayo akihusisha wale waliofungwa magerezani na watumishi waliofukuzwa kwa kigezo cha vyeti feki. Mbowe aliyasema hayo jana mkoani Njombe alipokuwa akiwahutubia...
  20. JamiiForums Tanzania Miaka miwili ya Rais Samia Suluhu madarakani

    Tangu aapishwe Machi 19, 2021 Rais Samia Suluhu amekuwa akifanya jitihada za kuanzisha na kuendeleza miradi mikubwa ya maendeleo kwa lengo la kukuza uchumi. Baadhi ya miradi hiyo ni ujenzi wa Bwawa la Kuzalisha umeme la Julius Nyerere (JNHPP), Reli ya kisasa (SGR), barabara kubwa na ndogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…