miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Watu Waadilifu waingie kwenye siasa

    Inafaa uwepo utaratibu wa kuwatambua watu Waadilifu na wachapa kazi Ili tuweze Kuwahimiza waingie katika siasi Ili baadae wawezi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika inchi hii. Watu wengi ambao ni Waadilifu na wachapa kazi hawataki kuingia katika Siasa na wanaona kama Siasa si kazi yao...
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo sio tu ndoto, bali ni dhamira ya dhati ya kila Mtanzania

    Ninasimama hapa leo, siyo kama mtazamaji tu, bali kama mshiriki mwenye shauku katika kuunda Tanzania tunayoitamani. Tanzania Tuitakayo sio ndoto ya mbali, bali ni dira wazi inayoongozwa na maono ya pamoja ya ustawi, amani, na fursa kwa wote. Ni safari ya miaka 5 hadi 25 ya mabadiliko makubwa...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Naanza kupata hofu na stress sana, nina miaka 32 na familia haitaki nioe mwanamke mwenye mtoto

    Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee. Wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani familia yangu imeshanionya kuoa mwanamke mwenye mtoto. Yaani hapa sielewi, kazi ninayo kipato cha kati ninacho..
  4. O

    JamiiForums Tanzania Baba jela miaka 30 kwa kumpondaponda nyeti mtoto wa kufikia

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/baba-jela-miaka-30-kwa-kumpondaponda-nyeti-mtoto-wa-kufikia-4611470 Credit:Mwananchi!!
  5. JamiiForums Tanzania Nina miaka 15 ndani ya JamiiForums

    Mabibi na mabwana nina mshukuru huyu atupaye pumzi na riziki. Huu ni mwaka wa kumi na tano ndani ya jamii forum......(si mchezo).. Mengi nimejifunza namshukuruni sana sana. Na wale tunaopishana kimtazamo au mawazo hapan'shaka twasameheana manake kiukweli binadamu tuna mapungufu na mie njia ya...
  6. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Sekta ya elimu ikiwa hivi naiona Tanzania mpya baada ya miaka kumi na tano(15)

    Utangulizi, Sekta ya elimu Tanzania ndio inaandaa wadau wote wa maendeleo, Kila mmoja katika nafasi yake akijengwa kujua kitaaluma kuino nafasi yake katika maendeleo ya taifa kuna uhakika wa mabadiliko chanya katika katika sekta zote za kiuchumi Tanzania. Mapungufu ya sekta: Kwa bahati mbaya...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati wa haki za akina mama ahukumiwa jela miaka 11 nchini Saudi Arabia kwa kutetea haki za wanawake

    Mwanaharakati wa haki za wanawake vijana nchini Saudi Arabia alihukumiwa kifungo cha miaka 11 jela kwa siri na mahakama ya kupambana na ugaidi baada ya kukamatwa kwa "chaguo lake la mavazi na kuunga mkono haki za wanawake". Maafisa wa Saudi Arabia walithibitisha katika taarifa kwa kamishna mkuu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Katika miaka mitano ijayo Tanzania kufanye mabadiliko katika sekta

    STORY OF CHANGE MSIMU WA NNE (4) Andiko linahusu Tanzania tuitakayo Tanzania tuitakayo iwe bora katika mambo yafuatayo ni lazima tuifanyie mabadiliko katika sehemu zifuatazo ambazo ni; Afya: Tanzania kma nchi ni lazima tufanye mabadiliko katika sekta hii ya afya hili tumpunguze adui mkubwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kununua shamba ambalo lilikuwa na mgogoro kwa zaidi ya miaka mitano?

    Namshukuru mungu mwingi wa Rehema na muumbambaji wa vitu vyote vilivyopo duniani. Mimi ninampango wa kuanza kufanya shughuli za kilimo ili nifanikiwe, sasa katika kufuatilia utaratibu nitumie kilimo kipi Kwa maana nikodi mashamba au ninunue ndipo nikapewa mchongo na mtu ambaye nafahamiana naye...
  10. JamiiForums Tanzania Blackberry na Nokia zilipendwa sana miaka ya nyuma, ila walikuja kuanguka vibaya sana

    Blackberry na Nokia yameanguka, tena yameanguka sana. Pamoja na kuwa na simu kali zenye kamera nzuri, speed kubwa ila wakaanguka. Walianguka kwa sababu hawakuwa na viongozi wenye kufocus ulimwengu jinsi ulivyo. Yaani walikuwa katika miaka ya 2000 lakini akili zao zilikuwa zinafanya kazi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Miaka mitatu ya mateso ya Simba utadhani ni muongo mmoja umepita

    Kuna mtu aliwahi kunipa stori za maisha yake akiwa na pesa na akiwa hana. Alinambia kua wakati yeye yuko fiti kiuchumi alikua anawashangaa wanaolalamika kwamba maisha magumu hawana chochote. Baada ya miaka kadhaa nayeye akafulia, Sasa kwake ilikua ni hatari akawa anajiuliza kwamba hivi hata...
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya kuwa msomaji miaka takribani 6 sasa nimejisajili rasmi JamiiForums

    WAKUU HESHIMA SANA KWENU: Nimekua msomaji humu jf miaka takribani sita ila now ni mwanachama haiiii..humu ni vile sijasomeka persnlty yangu kwa kuwa sikua rasmi ila character za members na vimbwanga vyao 97% nazijua kulingana na post zao kwa hiyo nina furaha kwa sasa nimekua mchangiaji pia...
  13. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Muungano, napendekeza kufutwa kwa kombe la Mapinduzi tubakize kombe la Muungano peke yake ambalo kilele chake kitakuwa siku ya Muungano

    Habari za Leo wapenda soccer? Natumai kichwa/title ya thread hii imejieleza vizuri. Nimewaza nikaona nitumie platform hii kwenu ili kama itawezekana, tushawishi viongozi wa mpira kuiondoa michuano ya Mapinduzi cup na badala yake tubaki na Muungano cup. Nasema hivi siyo kwa lengo la kisiasa ila...
  14. JamiiForums Tanzania Wenye miaka zaidi ya 30, kitu gani unajutia kufanya/kutofanya kabla ya kufikisha miaka 30?

    Mimi najutia nilifanya investment badala ya kufanya savings. Mwisho wa siku biashara zimekufa sina savings hata moja. Najutia kutonunua viwanja pesa yote nikaweka kwenye miradi ambayo yote imekufa. Ongezea tujifunze
  15. JamiiForums Tanzania Tatizo la kusahau kwa kijana

    Nini sababu na tiba ya kusahau hususani kwa kijana? Wakati nasoma nilikuwa bingwa wa kumeza hadi wahuni wangu wakawa wanastaajabu naweza vipi yaani definition hata iwe ni kurasa nzima basi nitaimeza yote bila ya kuacha neno hata moja. Recently nimekuwa mtu wa kusahau ndani ya huu mwaka...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Je, miaka 30 jela ni suluhisho sahihi kwa wale ambao watakiuka sheria ya maadili ya kutembea na wanafunzi?

    Tangu sheria ya kumlinda mtoto wa kike hasa wanafunzi wale waliochini ya umri wa miaka 18 kumekuwa na mazoea fulani ambayo jamii inahitaji kuyafanyia ufumbuzi Jambo la kwanza. Sheria imejikita zaidi kuwaangalia wahanga( Watoto) lakini jamii haina mafunzo ya kutosha kuhusu kujilinda kwa watoto...
  17. JamiiForums Tanzania Ndani ya miaka 5, Klabu ya Simba imebadili Makocha 9

    Makocha walioifundisha Klabu ya Simba kuanzia 2018 - 2024 Januari 2018 - Juni 2018 Pierre Lechantre Julai 2018 - Novemba 2019 Patrick Aussems Desemba 2019 - Januari 2021 Sven Vendenbroeck Januari 2021 - Oktoba 2021 Didier Gomez Novemba 2021 - Mei 2022 Pablo Franco Juni 2022 - Septemba...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Je, majukumu ya nafasi ya Waziri Mkuu yanapunguza nguvu ya nafasi ya Rais kiasi cha kusababisa msuguano baina ya nafasi hizo mbili?

    Nafasi ya Waziri Mkuu Tanzania imekuwa mwiba mchungu kwa miaka mingi dhidi ya Marais waliopo Madarakani. Pamoja na kwamba Marais ushiriki kupendezekaza jina la Waziri Mkuu; wengi uwaona kama watu wenye nguvu na ambao usipokaa nao kwa akili wanaweza kukuoutsmart. Kati ya mawaziri wakuu...
  19. JamiiForums Tanzania Kuelekea miaka 10 ya ACT Wazalendo, je kuna mpasuko Bara na Zanzibar?

    Jana ACT Wazalendo imezindua nembo Mpya ya Chama katika kusherekea miaka 10. Lakini Mwenyekiti wake Othman Masoud Othman alimaarudu OMO hakuwepo ukumbini, Jussa ambae ni Makamu Mwenyekiti upande za Zanzibar (mhafidhina) hakuwepo ukumbini. Je, ACT Wazalendo Bara na Visiwani Kila mtu kaamua...
  20. JamiiForums Tanzania Makala ya BBC: Uchambuzi wa Miaka 30 ya uhuru wa watu wa Afrika Kusini na jinsi wanavyohisi

    Watu wa Afrika ya kusini wanafanya uchaguzi mkuu wao hapo Mei 29, 2024 ukiwa ni uchaguzi mkuu wa 7 wa kidemokrasia tangu kuanguka kwa utawala wa kikandamizaji na kibaguzi wa wazungu wachache mwaka 1994. Ifuatayo ni makala fupi iliyoandaliwa na mwandishi Nomsa Maseko wa BBCSwahili kuangazia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…