miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Baba jayaron

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuto kusex miaka mitano kunarudisha bikra kwa mwanamke aliyezaa?

    Wasalaam madaktari na wahenga... Ninaandika uzi huu nikiwa na maswali mengi yakinichanganya akili. Nina mchumba wangu ni single mother pia amenizidi hadi umri. Kwanza ameokoka na katika uchumba wetu, aligoma tusifanye mapenzi kabla ya ndoa otherwise hatutafikia hatua ya malengo yetu, nilitika...
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Miaka Mitatu ya Samia Arusha: TANESCO Pekee ndio waliompunguzia 'point'

    Wananchi katika Mkoa Wa Arusha wameeleza kuridhishwa na kazi inayoendelea kufanya na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Nchini hususani katika kuwaleta wananchi pamoja na utekelezaji Mbalimbali Wa Miradi ya maendeleo na kutoa ahueni ya wafanyabiashara kufanya Biashara zao Kwa uhuru. Wameyasema hayo...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kimenuka: Mchezaji Geremi Njitap ataka kumtaliki mkewe baada ya kubaini watoto mapacha aliowakuza kwa miaka 16 sio wake'

    Ndoa ya Nyota wa zamani wa Chelsea na timu ya Taifa ya Cameroon, Geremi Njitap ipo katika mchakato wa talaka baada ya kubainika Watoto Mapacha waliozaliwa Mwaka 2008 miaka minne kabla ya kufunga ndoa na mkewe, Toukam Fotso Laure Verline si wake Kibaiolojia Geremi (45) amefungua kesi Mahakamani...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania FCS yasherehekea Miaka 62 ushirikiano wa Tanzania na Denmark

    Taasisi ya Foundation For Civil Society FCS, imeungana na wadau wengine wa Asasi za Kiraia na ubalozi wa Denmark kusherehekea miaka 62 ya mashirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Denmark. Akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika Machi 21, 2024 Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa...
  5. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Urusi yasema Chanjo za Saratani ziko tayari kutolewa ndani ya miaka mitatu

    Vizuizi vingi vilivyosalia vinaonekana kuwa vya kisheria, kulingana na Vasily Lazarev wa Wakala wa Tiba na Biolojia ya Kimedikali ya Urusi. Watafiti wa matibabu wa Urusi wanaweza kuwa na uwezo wa kutumia chanjo za kansa ndani ya miaka michache ijayo, ikizingatiwa ufadhili wa kutosha na msaada...
  6. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio muigizaji aliyepata mtoto akiwa na miaka 80

    Mwigizaji na mtayarishaji wa Movies kutokea nchini Marekani, Mzee Robert De Niro amepata mtoto wake mwengine akiwa na miaka 80. Robert De Niro akiwa na umri wa miaka 80 na mtoto wake wa miezi 10 Alipata mtoto wake wa kwanza zaidi ya miaka 46 iliyopita. ✍️ Mjanja M1
  7. Wasomba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke mkristo miaka 30-41

    Natafuta mke mkristo, umri rejea kichwa cha habari hapo juu. Awe ameajiriwa au kujiajiri. Mcha Mungu anayeamini katika maisha ya upendo baina ya mke na mume. Mimi nina Elimu ya chuo kikuu na ni muajiliwa na ni mtu mwenye hofu ya Mungu. Mengine tutayajenga inbox.
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu bibi bikra mwenye miaka 86 anawakilisha mentality ya wanawake wengi

    Hi Jana nliona video afrimax, kuna bibi anaeitwa Sofia wa hapa hapa Tanzania anadai ana miaka 86 halafu bado bikra, hajaolewa hana watoto wala wajukuu, kwasababu kipindi cha usichana wake alikataa kila mwanaume aliekuwa anamtongoza. Aliwakataa hao wanaume sababu alikuwa akiwaangalia hawana...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Katika kipindi cha miaka mitatu ya Rais Samia, wastani wa Shilingi Bilioni 20 zimekuwa zikitolewa kila mwezi kwenda MSD

    1. Ujenzi na uboreshaji wa Miundombinu ya kutolea huduma za Afya katika maeneo mbalimbali nchini yamewezesha Vituo vya kutolea huduma za Afya kuongezeka kutoka vituo 8,549 Mwaka 2021 hadi vituo 9,610. Hii ni pamoja na Zahanati, Vituo vya Afya, Hospitali za Wilaya, Mikoa, Kanda, Maalum na Taifa...
  10. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa kutimiza miaka mitatu tangu uape kuwa Rais

    Nawashukuru nyote kwa salamu za kheri na upendo katika kumbukizi ya miaka mitatu toka nilipoapa kuitumikia nchi yetu katika nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema aendelee kutuongoza na kutudumisha katika haki, amani, umoja na utulivu ili yote...
  11. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Aliyekuwa Mhasibu Mapato Same afungwa jela Miaka 20 kwa Ubadhirifu

    Machi 19, 2024 shauri la uhujumu uchumi Na 23/2022 dhidi ya PAULO NGILORITI TEVELI limeamriwa katika Mahakama ya Wilaya ya Same, mbele ya Mhe Hellen Hozza, likiendeshwa na wakili Suzan Kimaro. Mshtakiwa ambaye alikuwa Mhasibu wa Mapato wa Halmashauri ya Wilaya ya Same, ametiwa hatiani na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nimerudi shule japo umri umenitupa mkono

    ok
  13. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 12 agonga bodaboda

    Hii nchi mpaka tufikie mwaka 2030, tutakuwa tumeona mengi kwa kweli. Kijana mmoja ameipamia bodaboda kwa mbele alipokuwa kwenye harakati ya kumkimbiza mdudu wake aliyemponyoka kwa bahati mbaya. Bodaboda hakuwa na hili wala lile mpaka pale aliposhangaa kijana kaingia kwenye njia yake huku...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Hizi fedha za kuendesha makongamano, warsha na matukio mbalimbali ya kuadhimisha miaka mitatu ya Rais Samia zinatoka wapi? Au sekta binafsi?

    Naona kila siku kuna event kwenye kumbi mbalimbali nchini kuhusu miaka mitatu ya Rais Samia najiuliza hizi fedha zinatolewa na serikali za kuwaleta viongozi wa serikali kwenye hizi hafla au zinalipwa na sekta binafsi? Hawa viongozi wanakaa muda gani ofisini kusoma na kutafakari uendeshaji wa...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kwa haya Majibu ya Israel, Watafungwa miaka mingi sana hawa jamaa gerezani

    Ritz ulikuwa unatuletea mwendelezo wa kesi ya kuwafunga israel wote iliyokuwa ikiendelea South Africa? Vipi umepotea tena? Unakata tamaa mapema dogo. Tulisema hakuna kulala. Naona siku hizi umeshalegea kabisa huna moyo tena. Turudi kuliamsha. Malaria 2 nawe umelege legea tena. Shida nini? Gaza...
  16. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Ups and down miaka 8 ya kubet (addiction) bila ya mafanikio

    Ndugu zangu Kwenye jukwaa hili nimeshuhudia hadithi na mikasa mingi watu waliyokutana nayo kabla na hata baada ya kujiunga mtandao huu mwaka 2014 hivyo kwanza nijipongeze kwa kufikisha miaka 10 kwenye hili jukwaa na miaka yangu hii kumi napenda kutoa stori fupi ya maisha yangu ambayo ni ya...
  17. Quinton Canosa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaoishi na wanawake mnawezaje? Miezi 3 naona kama miaka 44

    Habari za jumapili wana JamiiForums Kiukweli kuishi na mwanamke kunahitaji moyo wa chuma.....yaani nimemuweka ndani huu mwezi wa 3 lakini naona akili yangu haifanyi kazi vizuri hata uwezo wangu wa kufikiria naona unapungua.Akiamka asubuhi amenuna,naona matumizi yangu ya pesa yapo juu maana...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Ni viongozi gani waliaminiwa na JPM na ndani ya miaka mitatu tayari wamemsaliti kwa kauli na matendo?

    Kuna watu JPM aliwaamini akawateua na kuwapa madaraka kama wasaidizi wake. Leo ni miaka mitatu tangu kifo chake. Katika kumbukizi hii napenda kufungua mjadala wakuchambua viongozi waliokuwa wanamsifia JPM akiwa hai na sasa ameondoka wamegeuka na kuanza kudhihaki. Kiongozi mmoja wapo aliyewahi...
  19. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Miaka mitatu ya Rais Samia, kila kitu kimepanda bei

    Serikali yote ni ya CCM, walisema wapinzani wanawachelewesha lakini tunajionea wenyewe miaka mitatu ya Rais Samia vitu vyote vimepanda bei mara mbili toka utawala wa Hayati Rais Magufuli, petroli imepanda bei, sukari imepanda bei, unga umepanda bei, Mchele umepanda bei, maharage yamepanda bei...
  20. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Hayati Rais John Magufuli anaishi katika mawazo na fikra za Watanzania

    Miaka mitatu sasa tangu Hayati Rais John Pombe Magufuli afariki akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tuliosoma falsafa na historia tumekutana na hoja kwamba mtu hafariki mpaka siku mtu wa mwisho anapoacha kumuwaza,yani ukimfikiria,ukimkumbuka,ukimtaja,anaendelea kuishi katika mioyo ya...
Back
Top Bottom