miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Inaonyesha mivutano ya iran na USA tunaweza kuwa laumu ila wote wanatumiwa na watu ambao kila nchi kujiweka kama sio yeye

    Ukiangalia migogoro ya iran na USA ni kama hawa watu wamekuwa mwana seserere wa nchi zilizopo karibu na iran. Na mpaka sasa unaweza kujiuliza wao kama wanafanya biashara kwa nini watumie nchi nyengine mfano iran anavyo fanya na nchi za nyengine kumtumia USA kuwapiga.
  2. JamiiForums Tanzania Hizi mbwembwe za wafanyabiashara wa madini Geita ziliwahi kufanywa mererani miaka ya 90!

    Naona kuna majamaa ya huko Geita ,Kahama na Katoro yanasumbua mji sana kwa zawadi ya sendoff ya bilioni moja na ushee.
  3. JamiiForums Tanzania Dira ya maendeleo ya Taifa ya 2050 haiwezekani kutekelezeka kwa miaka 5? Sababu 3 kwanini

    Moja kwa moja. Nilikuwa nafuatilia philosophia ya Trillionea Elon Musk ya " Parkinson Law ". Yeye anaamini Project ya miaka 10 inaweza kufanyika kwa miezi 6. Aliwahi kuwarudisha maengineer wake walipomletea mradi utakaokamilika kwa miaka mingi akawaambia rudini mniletee plan mpya...
  4. JamiiForums Tanzania Ebu tujitengezee wenyewe miaka 30 ya bongoflava ya JF. Tujikumbushie mangoma, mastori na moments

    My fond memory ya huu muziki huu ni pale baba mdogo wangu alipo leta albamu ya sugu nyumbani, ilikuwa na picha ya sugu amefungwa pingu mikononi kashikilia mic na shampeni, humo kulikuwa na ngoma ambayo niliipenda sana inaitwa niko mikononi mwa polisi Baadae nikaja kupata albamu hard blasters...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa watalam wa tiba asilia. Je mtoto wa miaka 2 anaweza kutumia kitunguu swaumu?

    Habari wakuu. Jez mtoto wa miaka 2 anaweza akatumia kitunguu swaum kumeza?? Nataka nianze utaratibu wa mtoto wangu awe anameza nusu punje ya kitunguu swaum asubuhi kabla ya kula chochote. BabaVladimir [USER=227987]BIN NUN @At el
  6. JamiiForums Tanzania Hypothetically, Rais akiangalia tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva taswira yake inakua imechafuka?

    Naona wanakanusha, je hata kama si kweli , mheshimiwa Rais kuangalia 30 y Bongo flavor ni shida ? Najaribu kuwaza what if angeshangiliwa kwenye lile Tamasha, huu ufafanuzi ungetolewa kweli? Britanicca
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili kuthibiti wanaharakati,magaidi na CHADEMA wasikwamishe salamu za mama kwenye matamasha ya miaka 30 ya bongo fleva?

    Baada ya kufanya uchunguzi wa kina na timu yetu toka Lumumba tumegundua kuwa wanaharakati, magaidi na CHADEMA ndio walionzisha zomea zomea wakati mwana FA alipotaka kuwasilisha salamu za serikali kwenye tamasha la bongo fleva. Tuligundua wanaharakati , magaidi na vijana wengi wa CHADEMA...
  8. JamiiForums Tanzania Miaka 30 Ya BongoFleva: Makonda Akataliwa Na Wananchi

    https://www.facebook.com/share/v/193vb1Mttf/
  9. L

    JamiiForums Tanzania Show ya Miaka 30 ya Bongo Fleva. Je, Lugumi kafadhili hii Show?

    Katika pitapita zangu leo mtaani, nimekuta watu wakibishana kwamba miaka 30 ya Bongo Fleva pale Mlimani City , Ndugu Yetu Bilionea Lugumi kafadhili hii Show. Je, ni kweli???
  10. JamiiForums Tanzania Miaka michache ijayo wadogo na watoto wetu wataoa makahaba wastaafu

    Kuna mama fulani wa makamo anauza genge maeneo ya karibu na mtaani kwangu. Ni mama mcheshi kiasi. Huwa napita kununua matunda kwahiyo nimezoeana nae kidogo. Wiki kadhaa zikizozipita, wikiend moja katika kutembea tembea mtaani kwangu kusalimiana na majirani. Nikafika gengeni kwake. Nikaagiza...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Simba dume huua watoto wa dume jingine ili azae na jike; mwanaume unawezaje kuua mke na watoto wako mwenyewe wa miaka 10 na 5?

    Mahakama Kuu ya Nairobi ilimpata Meja wa zamani wa KDF Peter Mugure Mwaura na hatia ya kumuua mkewe Joyce Syombua na watoto wao wawili katika Kituo cha Anga cha Nanyuki. Ushahidi wa kiuchunguzi uliimarisha kesi dhidi ya Mugure huku uchunguzi wa DNA ukithibitisha kwa uwezekano wa 99.9% kwamba...
  12. JamiiForums Tanzania Binafsi naunga mkono jinsi Dudu Baya alivyofunga shoo ya miaka 30 ya Bongo Fleva

    huwa simkubali Dudu Baya kwenye kila jambo, hasa pale ninapoona anaisifia sana serikali na ku m mention mama samia lakini kuhusu namna alivyofunga shoo kwangu ilikuwa poa Kufikia alfajiri watu wengi tayari wanakuwa wamechoka na wengine wanaanza kuondoka. Kwa hiyo niliona ile ilikuwa njia ya...
  13. JamiiForums Tanzania Tuliomaliza shule ya Chekechea ya Step UP Nursery School ya Sinza miaka ya 90s nadhan mpaka miaka ya 20's. Mpo wapi Tujuane Wadau

    Leo nlikuwa napitia baadhi ya mitihani yangu ya shule ya Chekechea nimekumbuka sana wadau au classmates zangu wa Chekechea katika kindergarten ya Step Up Nursery School, tulikuwa tunavaa shati za pink na kaptura au sketi za light bluu, dah kitambo sana. Binafsi nlimaliza 1997, nlisoma Nursery...
  14. JamiiForums Tanzania Miaka 30 bongo flava wakati mashabiki wenu mkuwapata kwa mtindo kama ruge na wengine wangetumia

    Hii project ilitakiwa kuwa kwa jamii kuridisha shukrani kama wakongwe wa fiesta mkaleta matukio kama kila mlicho fanya,kukumbusha maduka ,watu kampuni. Hapa naona babu tale na cheo kesho sio mbali mtakuja kulia tukiwazika.
  15. JamiiForums Tanzania Usifikishe Miaka 60 Bila Kufanya Haya 6

    Wengi wanapenda kuiongelea miaka 40 Ila Mimi nitakuwa tofauti kidogo 👇 KABLA HUJAfikisha MIAKA 60, HAKIKISHA UMEFANYA MAMBO HAYA 6: 1. Jenga nyumba yako. Hata kama ni ya vyumba viwili, kuwa na makazi yako mwenyewe kunakupa utulivu, heshima na usalama wa maisha unapostaafu. 2. Weka akiba ya...
  16. JamiiForums Tanzania ***** kuna ka bibi kana miaka 55 kanasumbua sili mabibi Mimi

    Yaan ujana awape Wengine aalafu uzee alete Kwangu ! Mi nakula naotaka hapa Singapore Kanatoka Slovenia kana mpunga Ila Mimi sitakagi Pesa ya mwanamke Sitaki mabibi Mimi alafu kanakazana kutuma wahudumu 😀😀😀 Baada ya kuona Nina minyama yangu...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Katika vijiji vya kibande na Bweranka vinavyopatikana Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma, Wakala wa Nishati ya Umeme Vijijini alishakula pesa za Wananchi

    Katika vijiji vya kibande na Bweranka vinavyopatikana Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma, Wakala wa Nishati ya Umeme Vijijini alishakula pesa za Wananchi takribani miaka 3 iliyopita. Baadhi ya nyumba zilishapata huduma, ila kuna wengine bado hatujapata hiyo huduma. Tukaambiwa kwamba sisi...
  18. JamiiForums Tanzania Nataka kuwa na mahusiano na mwanamke wa miaka kuanzia 27 Hadi 30+

    Mimi ni kijana Niko mbeya natamani tu kuwa na mwanamke wa miaka iyoo maana Hawa wa 2000 mbona kama pasua kichwa sana, na mimi nna miaka 28, kama upo interested DM, uwe vyovyote Ile usiwe mnene, kama love wa jua Kali,,, ukiwa Black 🖤 utakua vizuri maana weupe ndo sawa na wale wale wa 2000, 😔😔😔😔😔
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Chuo cha Agha Khan kinatoa Shahada kwa miaka miwili tofauti na vyuo vingine na TNMC wapo kimya!

    Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) linashindwa na linatuchanganya kikawaida shahada ya uuguzi na ukunga ni miaka 4 na internship mwaka mmoja jumla mitano ila Chuo cha Agakhan wanatoa degree miaka 2 na wao wapo kimya bila ufafanuzi na hili limekuwa kero hata wauguzi kubadilishiwa madaraja...
  20. JamiiForums Tanzania Ukiangalia propaganda wanazotengeneza CCM ni zile za miaka 90 kushuka chini

    Propaganda za CCM ni za kichekesho sana na mtapigwa pesa mpaka mkumo na mwisho wenu unakaribia. Yani mfano tu kuna watu wanaibuka kuwa wenyekiti sijui jumuia ya wananchi fulani mfano mlivyo fanya kusema waroma wanapinga,bodaboda,vijana na mambo mengine. Watu smart wanatakiwa kuwekwa mezani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…