miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mnaofunga ndoa na watu ambao mmepishana umri kwa zaidi ya miaka kumi huwa mnaongea mnapokuwa chumbani?

    Tajiri huwa hasalimii kila wakati. Unakuta mwanaume ana miaka 45=50 anaenda kumuoa binti wa miaka 18=22. Ama mwanamke mwenye miaka 40=45 anaolewa na kijana wa miaka 24=26. Hivi huwa wanaongea nini huko chumbani. Kuna kipindi (kabla sijajiunga na KATAA NDOA, ) nilihitaji mke kwa ajili ya...
  2. JamiiForums Tanzania Miaka ya 1990s timu yetu ilikuwa na golikipa muathirika wa Ukimwi,timu pinzani waliogopa kumsogelea wakawa wanapiga mashuti ya mbali ili asiwaume meno

    Leo nimekumbuka kisa cha timu yetu miaka ya 1990,kipindi hicho ukimwi ni ugonjwa hatari kweli kweli ,hakuna cha ARV wala nini. Tulikuwa na golikipa muathirika na yeye alijijua kuwa ameathirika ikitokea umemsogelea anatishia kukuuma na meno. IKipigwa kona wachezaji wa timu pinzani wanakaa mbali...
  3. JamiiForums Tanzania Lissu: Tathmini ya Miaka 64 ya Uhuru: Mafanikio ya Awamu ya Sita Katika Kuimarisha Uchumi, Miundombinu na Huduma za Jamii.

    Tathmini ya Miaka 64 ya Uhuru: Mafanikio ya Awamu ya Sita Katika Kuimarisha Uchumi, Miundombinu na Huduma za Jamii.
  4. JamiiForums Tanzania Vipindi vya urais kwa mujibu wa katiba ni miaka 10, Ingelikuwa busara, uchaguzi ukawa ni wa wabunge na madiwani pekee!

    1)-Ipo haja ya kurekebisha katiba yetu Kwa baadhi ya kanuni, kwa mfano muda wa urais ni miaka 10, bila kuzidisha hata siku 5,basi kwa kuwa ni miaka 10, Ingelikuwa busara, Rais aweye madarakani, baada ya kupitishwa na mikutano ya halmashauri kuu na Kamati kuu, basi bunge la jamhuri ya muungano wa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waislamu wa Jimbo la Mtwara vijijini wamuombea Shamsia Mtamba kuendelea kwa miaka mitano ijayo

    WAISLAMU WA JIMBO LA MTWARA VIJIJINI WAMUOMBEA DUA MBUNGE SHAMSIA MTAMBA KUENDELEA KWA MIAKA MITANO IJAYO Waislamu wa jimbo la Mtwara Vijijini wameonyesha msaada na upendo mkubwa kwa mbunge wao, Shamsia Aziz Mtamba, huku wakimwombea aendelee kupewa dhamana na wananchi wa jimbo hilo kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Miaka ijayo mtu akamuozesha mke wake mwenyewe kwa jamaa mwengine

    Naona zipo dalili kwa wanaume kukosa misimamo katika ndoa zao,jambo ambalo linenifanya nifikirie mbali zaidi kwa kuona Tunaweza kuingia katika utamaduni mpya wa ndoa. Wengi wataozesha wake zao kwa sababu za kifedha au kuendeshwa na wake zao ama wazazi. #UziTayari
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Simba wamewahi kukaa misimu zaidi ya sita bila kombe la ligi kuu ?

    Is this True maana imeniwia vigumu kuamini kwa ukubwa wa Simba
  8. JamiiForums Tanzania Wazungu wote waje afrika bila chochote na sisi wa afrika twende na pesa zetu hata na vitu vyetu kwao ndani ya miaka mitano itakuwaje.

    Najaribu kutafakari hawa wazungu ijalishi ni wachina,wazungu wenyewe mpaka waarabu wa saudia na wahindi. Vuta picha wakija afrika bila chochote na sisi twende kule kwao na vyote vyetu itakuwaje
  9. JamiiForums Tanzania Kwa miaka ijayo itakavyokuwa ni kwamba tatizo sio fremu bali kipi utafanya kwenye biashara hiyo

    Miaka ya nyumba sehemu zikufanyia shuguli zilikuwa ni chache ila mda ulipofikia miaka 2000 kusogea biashara nyingi zimeongezeka na kupelekea fremu kuwa chache na wenye nyumba kupandisha kodi kila kukicha. Kwa miaka ijayo kila mmiliki wa nyumba anataka kujenga fremu nyingi kwa sasa unakuta...
  10. JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

    Nyakati ambazo kwa kawaida wanaume wengi wanaoa kwa mara ya kwanza ni pale kwenye 30's, kwa sababu 20's ni kipindi ambacho mwanaume bado anajitafuta, sasa utakapoingia hapo third floor na kuona kuna haja ya kuoa, mwanamke anaekufaa ni yule mwenye miaka 18-23. Mwanamke ambae ni agemate wako...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa mshahara wangu wa million moja, itanichukua miaka mingapi kununu hii chuma?

    Wakuu kama mada inavyojieleza hapo, nijichange vipi aiseeh niivute hii chuma ya ndoto zangu kabla sijadanja.
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt Ananilea Nkya: Vijana wa Miaka 18 wakihamasishwa kujiandikisha itakuwa na faida Kidemokrasia

    Mwenyekiti wa Bodi (JUKATA), Dkt Ananilea Nkya anazungumzia mchakato wa zoezi la Uandikishaji na Uboreshaji Wapiga Kura linaloendelea Dar es Salaam. Kuhusu mwitikio sijafanya utafiti lakini mahali ninapoishi, Mtaa wa Tabata Darajani, Ilala nimeona tangu Jumatatu zoezi la kuboresha daftari...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 INEC: Mtanzania mwenye umri wa miaka 18 na zaidi au ambaye atafikisha umri huo siku ya uchaguzi ndiye anatakiwa kujiandikisha

    INEC: Mtanzania mwenye umri wa miaka 18 na zaidi au ambaye atafikisha umri huo siku ya uchaguzi ndiye anatakiwa kujiandikisha Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetoa tangazo kuhusu watu wanaohusishwa kwenye zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambalo limeanza kufanyika...
  14. JamiiForums Tanzania Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sekta ya Maji

    Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sekta ya Maji
  15. JamiiForums Tanzania Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Nishati

    Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Nishati
  16. JamiiForums Tanzania Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sanaa, Utamaduni na Michezo

    Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sanaa, Utamaduni na Michezo
  17. JamiiForums Tanzania Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)

    Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
  18. JamiiForums Tanzania Kama una miaka chini ya 40, pambana ufike Japan

    Japani kuna fursa nyingi za ajira (zisizo rasmi) ila zenye kipato kikubwa ukilinganisha na Tanzania. Maisha ya Japani hayana gharama kubwa ukilinganisha na nchi nyingine zilizo endelea Japani hali ya ubaguzi kwa Waafrika sio kubwa ukilinganisha na mataifa mwngine. Visa ya Kufika Japani ni...
  19. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe; je ulipanda haya mabasi miaka hiyo?

    Kama ulipanda haya mabasi jione kuwa hivi sasa upo kwenye dakika za majeruhi refa anaweza kumaliza mpira wakati wowote. Kipindi hiki kutoka Bukoba kuelekea Mzizima ilikuwa ni safari ya siku ngapi? Je kutoka Mbeya kwenda Mwanza ilikuwa ni siku ngapi?
  20. JamiiForums Tanzania Mwanzilishi wa katuni miaka ya 90 zilizotamba Courage the Cowardly kupitia cartoon network

    TAARIFA YA KIFO: DAVID - Mwandishi na Mzalishaji wa Kazi za katuni. Kwa huzuni kubwa, tunapenda kutoa taarifa ya kifo cha David, aliyejulikana kwa mchango wake mkubwa katika ulimwengu wa uandishi na uundaji wa michoro, hususan kupitia kazi ya Courage the Cowardly Dog. David alileta kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…