miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watu watatu wafikishwa Mahakamani kwa kosa la mauaji yaliyotokea miaka 20 iliyopita

    Watu watatu wamefikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya kuua mwanamke Mkoani Mtwara miaka 20 iliyopita. Watuhumiwa hao ni wakazi wa Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Masasi kwa tuhuma za mauaji ya mwanamke aliyetambulika kwa majina ya Nora Hamisi...
  2. JamiiForums Tanzania Manyara: Mzee wa miaka 58 abaka watoto watatu akiwemo mwanaye wa kumzaa

    Jeshi la Polisi Mkoani Manyara limethibitisha mwanaume mmoja ajulikanae kwa jina la Simon Zakalia (58) kushikiliwa kwa tuhuma za ubakaji wa watoto watatu Wilayani Hanang mkoani humo akiwemo binti yake. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara, Limited Mhongole amesema mtuhumiwa huyo...
  3. JamiiForums Tanzania Titanic: Siri nne zisizojulikana hata baada ya miaka 110 ya kuzama kwa Titanic

    Kwa msaada wa bbc Miaka 110 iliyopita, Titanic iligongana na mwamba wa barafu wakati wa usiku wa giza. Wakati huo abiria wengi walikuwa usingizini. Wakati ajali hiyo inatokea, meli ya Titanic ilikuwa ikitoka Southampton, Uingereza kuelekea New York, Marekani, kwa mwendo wa kilomita 41 kwa saa...
  4. JamiiForums Tanzania WanaCHADEMA mmesahau usaliti na uroho wa pesa aliotufanyia Zitto miaka ile kisa tu anamchafua hayati JPM?

    Mmesahau ile miaka chama chetu kilivyokuwa na nguvu kiasi cha kutaka kukamata dola? Zitto kwa tamaa ya pesa akatusaliti na kuanza kuweka mamluki ili tusipate ushindi. Mmesahau alivyohongwa na watu wa CcM na kuharibu chama chetu mpaka tukamtimua? Huyu ni mtu anayejali pesa na matumbo yake. Kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Nina miaka 32 nina watoto 7, wa nane yupo njiani (miezi saba)

    Niliwapa wanawake wanne ujauzito kwa mpigo nikiwa na miaka 27, mpaka nimefikisha miaka 30 nilikuwa na watoto 6. Juzi naongea na mwanamke niliye-date naye kwa miezi sita akaniambia ana ujauzito wangu. I guess wa nane anakuja. Sipo hapa kuomba ushauri bali kuwashauri wanaume wenzangu, get one...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Mwisho utakapofika nitakuwa na chakuonyesha? Nisije kujikuta mchawi!

    JE MWISHO UTAKAPOFIKA NITAKUWA NA CHAKUONYESHA? NISIJEGEUKA MCHAWI! Anaandika Robert Heriel. Hapo nilipomtembelea Babu yangu, Yule aliyenifundisha mambo mengi ya zamani na ya milele, ya Raha naya taabu! Ya gizani naya Nuruni, yote aliyojaliwa na Mungu kunifunza. Nikamtembelea siku zile...
  7. JamiiForums Tanzania Hofu baada mbeba chuma maarufu Cedric McMillan kufariki akifikisha miaka 44

    American bodybuilder Cedric McMillan has died at the age of 44, after health complications caused by Covid-19, and a road accident. McMillan, a long-time veteran of the US Army and National Guard, was a veteran bodybuilder and 2017 winner of the prestigious Arnold Classic. His death was...
  8. JamiiForums Tanzania Siri yafichuka Kumbe marekani inamiliki Hypersonic bomb miaka kibao iliyopita bila Dunia kujua:Kremlin wasema

    Kremlin has a secret, undisclosed data repository that includes information collected about NATO and USA, on the issue of owning Hypersonic bomb many years before the world being aware of this KOMOVA said Thursday. While neither the USA nor NATO would disclose it
  9. K

    JamiiForums Tanzania Diaspora tumepiga hatua miaka 25!

    Kuwa diaspora hasa hapa US ilikuwa kitu kigumu sana hasa kwa vijana wengi ambao tuliondoka tukiwa na miaka 1997-2001 baada ya kumaliza high school. Sio tu kulikuwa hakuna Watanzania wengi miaka hiyo 1997-2001 bali wengi walikuwa wadogo hivyo tulikuwa hatuna mifano mingi ya kuiga. Lakini kibaya...
  10. JamiiForums Tanzania Polisi Njombe: Ukimuita mwenzio Mchawi unakwenda jela miaka 7 bila dhamana

    Polisi mkoani Njombe imeonya wananchi kujihusisha na vitendo vya ushirikina na kubainisha kuwa yeyote atakayemuita jirani yake mchawi na kukamatwa kwa tuhuma hizo itapelekea kuhukumiwa kwenda jela miaka saba bila ya kuwa na dhamana. Hayo yamebainishwa na Sajenti Thobias Nyagawa wakati Polisi na...
  11. JamiiForums Tanzania "Usijenge Familia kukiwa kumekuchwa" Vijana Zaeni na oeni mungali mna nguvu

    Wakuu Kwema! Leo sina mengi! Ujumbe huu unawahusu zaidi wasomi hasa kutoka dini ya kikristo. Vijana acheni kusubiri Embe kwenye Mnazi! Msichelewe, ikiwa Una mwenza wako, na una miaka 27-30 amueni kuzaa ikiwa mnaona mambo Yenu bado hayajakaa Sawa. Msisubiri embe dodo kwenye mnazi. Safari ya...
  12. JamiiForums Tanzania Miaka 100 ya Julius Kambarage Nyerere: Hotuba ya Karne uchaguzi wa kura tatu Tabora 1958

    Kushoto ni Brian Wills kutoka Conservative Party ya Uingereza akisimamia uchaguzi wa UTP huyo pembeni yake ni Sheikh Hussein Juma aliyekuwa Makamu wa Rais wa UTP.
  13. JamiiForums Tanzania B.D. Cooper, Mtekaji wa ndege aliyetafutwa na FBI zaidi ya miaka 45 bila kuonekana

    Hili Ni tukio la kweli katika Maisha halisi. Siku ya November 24 mwaka 1971, katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa mji wa Portland jamaa aliyevaa suti nyeusi na koti refu jeusi kwa juu akiwa amebeba brief case nyeusi alifika katika counter ya kampuni ya ndege ya Northwest Orient Airlines na...
  14. JamiiForums Tanzania Mjue LINA MADINA mzazi mdogo kabisa kwenye historia ya dunia. Alijifungua akiwa na miaka mitano na miezi saba

    Lina Medina mtoto wa miaka mitano (5)....wa Ticrapo nchini Peru mwaka 1939 alizaa mtoto wa kiume na akaitwa Gerardo.Wazazi wake walidhani ana uvimbe tumboni alipopelekwa hospitali kupimwa akakutwa na ujauzito wa miezi saba. Lina alikuwa mtoto wa kawaida kama watoto wengine tu lakini kwa mujibu...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 bila Tanzania Institute Hospital, niliyoyasikia, kuyaona na kusimuliwa na miaka 9 bila gwiji wa moyo nchini Dr. Masau

    Tarehe 12 mwezi Aprili mwaka 2012 ukiwa usiku wa manene mithili ya mwizi anayevamia nyumba fulani ili kutimiza hadhima yake, hakika ilikuwa ni siku mbaya iliyoleta machungu makubwa sana kwa waliokuwa wafanyakazi wa Taasisi ya magonjwa moyo (THI) kupoteza ajira zao na vitu vyao binafsi baada ya...
  16. JamiiForums Tanzania Miaka 100 ya Julius Kambarage Nyerere; Mjue Baba wa Taifa

  17. U

    JamiiForums Tanzania Wapendwa naomba ufafanuzi aliyefufuliwa baada ya kuwa amekufa kwa muda wa miaka Mia?

    Ndugu zangu nyote hamjamboni? Nimeweka aya hapo chini nikiomba ufafanuzi wake Kama nimekosea aya hiyo basi naomba radhi na pia nikiomba nisahihishwe Mungu awabariki Sana ✓(Quran 2: 259) Au kama yule aliye pita karibu na mji ulio kwisha kuwa magofu tu, akasema: Ataufufuaje Mwenyezi Mungu mji...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasichana 98 wa miaka 10-19 huambukizwa ukimwi kila wiki nchini Kenya

    Wizara ya Afya ya Kenya imetangaza kuongezeka kwa kasi ya maambukizi ya ukimwi katika nchi hiyo. Wizara hiyo imeoa takwimu zifuatazo: Chanzo cha Takwimu: Wizara ya Afya Kenya Takwimu hizi za Wizara ya Afya kenya zinabainisha 98 wa miaka 10-19 huambukizwa ukimwi kila wiki nchini Kenya (Januari...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kenya yawapa wanaume haki ya kulea watoto wa chini ya miaka tisa

    Mahakama nchini Kenya imeamua kuwa wanaume wanaweza kupewa malezi ya watoto walio chini ya miaka tisa. Mahakama inasema wajibu wa mzazi haufai kwenda kwa wanawake moja kwa moja ikiwa watoto wako katika umri mdogo. Chini ya sheria ya Kenya, akina mama mara nyingi hupewa haki ya kuwalea watoto...
  20. JamiiForums Tanzania Miaka 50 baada ya kifo cha Karume, ni nani haswa alimuua Karume?

    Tukiwa tunaadhimisha miaka 50 baada ya kifo cha Abeid Karume, sasa tujiondoe kwenye jela ya fikra, ni nani haswa alipanga mipango na kumuua Karume? Uzi tayari. Karibuni kwa mjadala... Cc: johnthebaptist
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…