miaka

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa aina ya mpira anaocheza Kylian Mbappe, atapotea baada ya kufikisha miaka 30

    Kila nikimuangalia huyu mchezaji ninaona anatumia mbio nyingi na ndio mafanikio yake yapo hapo. Akishavuka miaka 30 hataweza kukimbia kwa kasi ya sasa hivi na hapo atapotea kama alivyopotea Christiano.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mwitikio wa China wa miaka mitatu wa COVID-19 ni endelevu, wa utaratibu na unaendana na nyakati

    Ripoti iliyotolewa wiki hii na kituo cha Yuyuantantian, kinachomilikiwa na shirika kuu la Habari la China (CMG) inaonyesha kuwa Mwitikio wa China wa miaka mitatu wa COVID-19 ni endelevu, wa kimfumo na unaendana na nyakati na pia umeokoa maisha ya watu. Pamoja na hatua za kuzuia na kudhibiti...
  3. JamiiForums Tanzania Shabibiy: Nilinunua basi langu la kwanza nikiwa na miaka 19. Asema mafanikio yake siyo ya kurithi

    Mfanyabiashara anayemiliki Mabasi ya Shabiby, Ahmedy Shabiby ambaye pia ni Mbunge wa Gairo amesema alifanikiwa kununua Basi lake la kwanza akiwa na umri wa miaka 19 kutokana na kufanya kazi kwa bidii na kusisitiza kuwa hakuna mbadala mwingine wa mafanikio zaidi ya kufanya kazi kwa bidii...
  4. JamiiForums Tanzania Ina maana kweli, kwa mjibu wa ibara 144(1) ya Katiba kama CAG akateuliwa wa umri wa miaka 20 atadumu miaka 40?

    Wapo watu ambao wanaamini kwamba mahakamani huwa hakuna haki bali kuna sheria pekee. Kwa kiasi kikubwa huwa ninakubaliana nao. Kazi za mahakama ni kutafisiri sheria. Katiba ndiyo sheria mama au kwa jina jingine sheria kiongozi. Ni dhahiri kuwa kama sheria (na Katiba) tulizozitunga wenyewe...
  5. JamiiForums Tanzania Mtoto miaka 2.3 haongei

    Habari, Mtoto wangu ana miaka 2.3 anaenda 2.4 haongei, nashindwa elewa hii ni hali ya kawaida au kuna tatizo. Alipokua mchanga tuliona ulimi kile kidude cha chini nadhan wanaita udata kama kikubwa tukashauriwa tumpeleke hosp wakakate. Tumeenda Rabininsia specialist akamcheki akasema hiki...
  6. JamiiForums Tanzania Mchina jela miezi mitano kwa kuua tembo 511, Mtanzania jela miaka 60 kwa kukutwa na meno ya tembo na kiboko

    Nimeona hii habari mtandaoni imenishangaza kama sio kosa la kiuandishi.Raia wa China amekutwa na kosa la kuua jumla ya tembo 511 wenye dhamani ya bilioni 7 amehukumiwa jela miezi mitano au kulipa faini ya laki tatu. Kwa upande mwingine Mtanzania aliyekutwa na meno yenye dhamani ya milioni...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Unaweza kurudia darasa la saba endapo ukifeli kwa miaka hii?

    Habari wana JF Kuna mtoto wa dada yangu anauwezo mkubwa sana ila amesoma katika mazingira magumu sana ya kijijini lakini hajafanikiwa kufaulu vizuri. Huku tukiendelea kusubiri selection nafikiria nimchukue aje arudie darasa la saba huku mjini ili aendelee na secondari. Lakini kutokana na...
  8. JamiiForums Tanzania Mzee wa miaka 62 adaiwa kumbaka mwanafunzi wa Darasa la 6

    Mkazi wa Kibaha Mkoa wa Pwani, Maxmilian Malima (62) amepandishwa kizimbani akikabiliwa na tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa darasa la sita Shule ya Msingi Kilangalanga. Akisoma maelezo ya awali leo Jumanne Desemba 13, 2022 mwendesha mashtaka wa Serikali, Rose Ishabakaki akisaidiana na Eliza...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi: Finance, accountant, commerce, marketing au sales

    Natafuta kazi. Nina miaka 27 natafuta kazi katika industry ya biashara na fedha. Nina degree ya commerce in finance, 0764355802. I'm productive.
  10. JamiiForums Tanzania Nimesoma NIT kozi ya Advanced Driver's Grade II VIP. Naomba kazi nina uzoefu wa miaka 4

    Naitwa Goodluck nina umri wa miaka 3, nimesoma NIT kozi ya Advanced Driver's Grade Two-VIP. Nina uzoefu wa miaka 4 katika kazi ya udereva na nina endesha gari za aina zote. License Class A, A2, B, C1,C2,C3,D na E.
  11. JamiiForums Tanzania Miaka 61 ya Uhuru: Japo Tumefanikiwa sana kielimu, shule, vyuo na wasomi (Madaktari na Maprofesa kibao), mbona bado adui ujinga yupo? Tunakwama wapi?

    Wanabodi, Makala ya Jumapili ya leo. Juzi, Ijumaa, Tanzania tumeadhimisha miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania, na kiukweli tumefanikiwa sana katika mambo mengi ya kisisasa, kiuchumi na kijamii, ila pia lazima tukubali, hapa tulipo, sipo mahali tungepaswa tuwe, tulipaswa kuwa mbali zaidi ya hapa...
  12. JamiiForums Tanzania Hong Kong: Mmiliki wa Vyombo vya Habari vinavyotetea Demokrasia afungwa miaka 5

    Kwa mujibu wa Hati ya Mashtaka, Jimmy Lai, ambaye alikamatwa kwenye maandamano ya kushinikiza Serikali ifuate Utawala wa Demokrasi mwaka 2019 pia alipigwa faini ya Tsh. Milioni 599.7 Mahakama imemkuta na hatia ya Ulaghai Mwanademokrasia huyo anaodaiwa kuufanya mwaka 2016 na 2020 kupitia moja ya...
  13. JamiiForums Tanzania MIAKA 61 YA UHURU: Je, ni kweli wananchi hawaitaki CCM na wamewapuuza wapinzani?

    Heri ya kumbukumbu njema ya Uhuru wa Tanganyika na baadae Tanganyika iliungana na Zanzibar mnamo mwaka 1964 na kuzaliwa Tanzania,Bendera ya Tanganyika ilivyoanza kupepea mwaka 1961 tulishuhudia tunavyoanza kujitegemea,kila nikiusoma utenzi wa tujifunze lugha yetu,kitabu cha 7 najiona mwenye...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Maendeleo makubwa baada ya miaka 61 ya Uhuru

    Leo ikiwa tunasherekea miaka 61 ya uhuru tunajivuni uhuru uliodumu kwa miaka 61 bila kuupoteza Tanzania ni nchi inayoongoza kwa kuwa na amani upendo na ushilikiano ukilinganisha na nchi zingine lakini pia hapo miaka ya nyuma kidogo kuna uhuru tuliupoteza uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kufuru hizi anaziona mwenye Mamlaka Mbinguni na Duniani .Viongozi wa dini semeni neno mhesabiwe

    Wengine jana wanesema watu wazuri hawafi, na wengine wamekuja na bango la aina hii. Sisi wengine kazi yetu ni kuonya na kushauri ni kisha kuhesabu siku tu. Kuna mtu alifananishwa na Mungu wakati ule bado yupo ofisini. Watu wakaonya wakapuzwa, ila leo mtu huyo hayupo na bado hamjajifunza...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 61, chama chenye maarifa mengi (CCM), kimeshindwa kutatua tatizo la maji na umeme!

    Sisemi mengi. Hivi inakuingia akilini kuwa CCM ni chama chenye maarifa mengi kama kwa miaka 61 sasa watanzania wanakabiliwa na shida ya maji na umeme wakati nchi imezungukwa na mito, maziwa na hata bahari? Yaani watu walioshindwa kutumia maji ya maziwa (mfano ziwa victoria) katika kupambana na...
  17. JamiiForums Tanzania Kwenu watu wazima mliovuka miaka 30, kuna ukweli kwamba inachukua miongo mitatu (miaka 30) akili kupevuka ?

    NB: nazungumzia akili ya maisha na sio pesa, elimu ya darasani, cheo, kuoa, n.k. hivi vitu hata kijana mwenye 18 anaweza kuwa navyo lakini AKILI bado haijakamilika kupevuka. Nimefatilia research mbali mbali nimeona wanasayansi wanao deal na mambo ya saikolojia wamekadiria kwamba wengi akili zao...
  18. JamiiForums Tanzania Msumbiji: Mtoto wa Rais mstaafu afungwa miaka 12 kwa ufisadi wa Tsh. Trilioni 5.1

    Ndambi Guebuza ambaye ni mtoto wa Rais wa awamu ya 3, Armando Emílio Guebuza amekutwa na hatia ubadhirifu mkubwa wa mradi wa uvuvi wa Tsh. Trilioni 5.1. Mahakama imetoa hukumu hiyo ikiwajumuisha watu wengine 11 waliokutwa na hatia ya ufujaji na utakatishaji fedha za Mradi huo uliotajwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa polisi miaka ya 70 na 80 ulikuwa kiasi gani?

    Hivi miaka ya 70 na 80 mshahara wa askari polisi C.P.L., ulikuwa pesa ngapi? Na kipindi hicho pensheni zao zilifika hadi pesa ngapi baada ya kustaafu?
  20. JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini waajiri wengi hapa kwetu mishahara yao haiendani na uhalisia wa gharama za maisha, na Je, ni halali kubakia hivi miaka yote?

    Si Serikali wala Sekta binafsi, ukiangalia, kwa uhalisia, kwa watu walio wengi, wanapata mishahara iliyo chini na uhalisia wa gharama za maisha. Mfano unakuta mwajiriwa wa Serikalini, graduate, kwa walio wengi, ukiachilia watu wachache sana waliopo kwenye sekta chache, wanalipwa kuanzia 750K-...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…