miaka 60

This article lists the major characters from the manga series Fushigi Yûgi, its anime adaptation, and the prequels Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden and Fushigi Yûgi: Byakko Senki.

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: Alhaji Tambaza anamweleza Mama Daisy

    MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: SIMULIZI ZA ALHAJI TAMBAZA "MWAMVUA MRISHO MPIGANIA UHURU..." Katika kuadhimisha miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika leo nimekutana na makala aliyoandika Abdallah Tambaza katika gazeti Tanzania Tanganyika akieleza historia ya Mama Daisy katika kupigania uhuru...
  2. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Karibu keki ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

    Karibu keki ya Miaka 60 ya uhuru
  3. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Clubhouse Session: Miaka 60 ya Uhuru mchango wa Kidijitali

    Katika siku za karibuni mitandao ya kijamii na Mifumo ya Kidijitali imekuwa maeneo muhimu kwa Jamii ya Tanzania kutumia Uhuru wa Kujieleza na kupigania haki zao nyingine Tukifurahia Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika ni kwa kiwango gani tumeweza kuitumia mifumo ya Digitali katika kusimamia Haki za...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru, vyombo vya habari vilifanya maandalizi ya kurusha matangazo mubashara?Watangazaji walijiandaa?

    Ukifuatilia urushaji matangazo unajiuliza vyombo vyetu vya habari vilipata muda kufuatilia mchakato mzima wa paredi na ratiba ya matukio au vimepeleka timu zao Leo? Je, hawa Watangazaji ambao wanashangazwa na idadi ya vikosi vilivyopo uwanjani walipata muda wakuhoji uandaaji? Hawa Watangazaji...
  5. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Hoja Fyatu: Hisia ya Uduni (inferiority complex) miaka 60 baadaye...

    Tunaona fahari kufikisha miaka 60 ya uhuru... Tunajivunia mafanikio mengi.. Tunajitahidi kufanya mengi.. Lakini kama taifa bado tunajitazama kama duni..hatujiamini, hatuamini uwezo wetu..tunajitilia mashaka.. Hadi wazungu watupongeze Hadi wazungu watukosoe Hadi wazungu watusikilize Hadi wazungu...
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Picha ya Mpigania Uhuru Bi. Zarula Bint Abdulrahman imepatikana baada ya miaka 60 ya uhuru na yeye kufahamika

    "Mimi Bi. Zarula ni shangazi yangu aliyezaliwa tumbo moja na baba yangu. Amenilea toka nimeacha ziwa mpaka nakuwa na akili najua yeye ndio mama yangu. Pia nilikuwa ninafahamu wapi alikuwa akificha kadi, akija mtu wanafunga milango yote ndio anamuandikia na zilizobaki anazificha uvunguni mwa...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: Zarula Bint Abdulrahman wa Tabora

    MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: BI. ZARULA BINT ABDULRAHMAN WA TABORA Nimekuwa kwa miaka mingi nikitafuta picha ya Bi. Zarula bint Abdulrahman wa Tabora mwanamama ambae alikuwa mstari wa mbele katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Kama nisingemtaja jina lake katika kitabu cha Abdul Sykes...
  8. LODSI

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru wa Tanzania: Ni uhuru bila mjeredi wa mkoloni lakini ni utumwa wa maisha katika ukombozi wa fikra

    Takribani miaka 60 tangu Tanganyika tupate uhuru wetu na ni takribani miaka 57 tangu Tanganyika iungane na Zanzibar tukawa TANZANIA ya leo, kwa miaka yote hiyo 60 kuna namna ambayo mtu mmoja mmoja, familia na serikali kwa ujumla ilitakiwa kichangua njia sahihi ya kuendesha maisha ya watu wake na...
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kusherehekea Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika bila ya kuwajua waliopigania Uhuru huo

    KUSHEREHEKEA MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA BILA YA KUWAJUA MASHUJAA WALIOPIGANIA UHURU HUO Kwa takriban siku 30 zilizopita kuanzia mwezi November mwanzoni nimekuwa nikweka hapa makala ambazo mimi nimeziona ni muhimu katika historia ya uhuru wa Tanganyika. Makala hizi jumla yake ni 27 na...
  10. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania UTV: Mjadala miaka 60 ya uhuru wa Tanzania

    MJADALA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA,UTV "Namuona Rais John Magufuli kama Mwalimu Julius Nyerere wa pili,kwa nini nasema hivi kwa sababu alikuwa na kila kitu alichokuwa nacho Mwalimu Julius Nyerere,alikuwa na uthubutu,Mimi mbele yangu nimeona akikataa hela za wenye hela zao akiwaambia sina...
  11. B

    JamiiForums Tanzania DC Mwenda awafunda vijana jinsi miaka 60 ya uhuru uchumi wa Tanzania ulivyobadilika

    DC MWENDA AWAFUNDA VIJANA JINSI MIAKA 60 YA UHURU UCHUMI WA TANZANIA ULIVYOBADIRIKA Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru mkoani Singida vijana wamefanya Kongamano Vijana na wametakiwa kuenzi miaka 60 ya uhuru wa Tanzania bara na miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanziba kwa kuangalia mabadiliko katika...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huku tukiikaribisha miaka 60 ya 'Uhuru' Watanzania tumetakiwa Kusalimiana 'Kijapan' kwa Kukunja Ngumi na Kuinama tu

    Nilidhani Viongozi wetu huku kuelekea Kutimiza Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania wangskuwa wanahimiza zaidi 'Utanzania' wetu ila cha Kushangaza sasa Watanzania tunatakiwa Kuiga 'Tamaduni' za Wengine ambazo sina uhakika kama zitaeleweka vyema. Kuna Mtanzania Mmoja jana akiwa pande za Morocco...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika1961: Rashid Mfaume Kawawa, Kenneth David Kaunda, Julius Kambarage Nyerere katika nyaraka za Sykes

    MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA1961: RASHID MFAUME KAWAWA, KENNETH DAVID KAUNDA NA JULIUS KAMBARAGE NYERERE NDANI YA NYARAKA ZA SYKES Nimekutana na picha hiyo hapo chini kushoto Rashid Mfaume Kawawa, Kenneth David Kaunda na Julius Kambarage Nyerere. Hii picha bila shaka ni ya miaka ya mwishoni...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika1961: "Uamuzi wa busara" kitabu kuadhimisha miaka 50 ya kura tatu 1958

    MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: "UAMUZI WA BUSARA" KITABU KUADHIMISHA MIAKA 50 YA KURA TATU 1958 Utangulizi Kitabu hicho hapo chini, "Uamuzi wa Busara," mwaka nilikiandika mwaka wa 2008 kwa shinikizo kutoka Abantu Publishers, Nairobi wakitaka pawepo kitabu kitakachokuwa kama rejea la...
  15. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Picha: Miaka 60 ya uhuru viongozi wa CCM wakikagua shule iliyojengwa kwa nyasi mkoani Morogoro

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Bi. Dorothy Mwamsiku akiwa ameambatana na Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Morogoro Ndugu Anthony Mhando, ametembelea Shule Shikizi Lukande, Wilaya ya Ulanga. https://t.co/S87ZMyXNjU
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika1961: All Muslim National Union of Tanganyika (AMNUT) 1959

    MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: ALL MUSLIM NATIONAL UNION OF TANGANYIKA (AMNUT) Uchaguzi wa Kura Tatu ulisababisha farka ndani ya TANU na wa kwanza kujitoa katika chama alikuwa Zuberi Mtemvu akaunda African National Congress (ANC) chama hiki kikajulikana kama Congress katika umaarufu...
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika: Salim Ahmed Salim na Joseph Warioba sakata la OIC na IAO 1993

    MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: SALIM AHMED SALIM NA JOSEPH WARIOBA SAKATA LA OIC NA IAO 1993 Picha hiyo ya Salim Ahmed Salim na Joseph Warioba niliwapiga mwaka wa 2017 nyumbani kwa Kleist Sykes, Kawe Beach siku ya mazishi yake baada ya kuwaomba ruhusa. Leo katika kupita Maktaba...
  18. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika: John Rupia katika kamati ya mapendekezo ya katiba ya Tanganyika 1950

  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika 1961: tunamuenzi John Godfrey Rupia (1904 - 1978)

    MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: TUNAMUENZI JOHN GODFREY RUPIA (1904 - 1978) Wajukuu ni watamu kuliko wana uliozaa mwenyewe. Huwezi kujua ukweli wa maneno haya sharti upate mjukuu. Wajukuu na wao wana mapenzi na babu na bibi zao kushinda wanavyowapenda baba na mama zao. Nimemjua Joyce...
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru: kwa nini tumewasahau mashujaa wetu?

Back
Top Bottom