miaka 30

Fushigi Yūgi (Japanese: ふしぎ遊戯, lit. "Mysterious Game"), also known as Fushigi Yûgi: The Mysterious Play or Curious Play, is a Japanese shōjo manga series written and illustrated by Yuu Watase. It tells the story of two teenaged girls, Miaka and Yui, who are pulled into The Universe of the Four Gods, a mysterious book at the National Diet Library. It is essentially based on four mythological creatures of China. Shogakukan serialized Fushigi Yûgi in Shōjo Comic from December 1991 to May 1996 and later compiled the manga into eighteen tankōbon volumes.
Studio Pierrot adapted it into a fifty-two episode anime series that aired from April 1995 to March 1996 on TV Tokyo. The anime spawned three original video animation (OVA) releases, with the first having three episodes, the second having six, and the final OVA, Fushigi Yûgi: Eikoden, spanning four episodes.
A thirteen-volume Japanese light novel series, written by Megumi Nishizaki, followed Fushigi Yûgi. Shogakukan published the novels from January 1998 to September 2003. Watase also released two prequel manga series: Fushigi Yûgi: Genbu Kaiden, which ran from March 2003 to February 2013, and Fushigi Yûgi: Byakko Senki, which began serialization in August 2017.
In North America, Viz Media licensed the manga series for an English-language release in 1999. The anime series was first licensed by Geneon Entertainment and re-licensed by Media Blasters in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Bongo fleva Honour dhidi ya Siasa bongo

    Heshima kwa wasanii wote walihusika kufikisha hapa muziki wa kizazi kipya maarufu bongo fleva,pia R.I.P kwa wasanii waliotangulia mbele za haki especially D-ROB.Kwa miaka mingi baad hi ya wasanii wamejaribu kuleta ladha tofauti na asili yenyewe(bongo fleva) lakini wapo waliosimamia misingi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya BONGO FLEVA pasipo kumkumbuka mkali voice wounder hamna kitu

    Hawa wanaojiita wasanii wa zamani wanaandaa tamasha lao bila mkali voice wounder ni kichekesho... Leo hii Madee anapewa nafasi kubwa kwenye Bongofleva ya zamani... Hawajamleta mkali voice wounder Mkali wa Nimepende nani, Kisa cha mshenga, nimekosa, Hunifaham etc Bado nitaendelea kuamini ile...
  3. JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya Bongo flavor

    Hili tamasha la miaka 30 ya bongo fleva limeibua mambo mengi tusioyajua, ni bora kusikiliza zile nyimbo zao za zamani kuliko kuwasikiliza hawa wasanii, Sauti zao zimepotea kabisa, sijui ni uzee au washazilia unga, bangi na pombe sielewi, ninachojua ni kuwa Dudu baya ndie pekee mwenye sauti yake...
  4. JamiiForums Tanzania Sheria ya miaka 30 kwa bangi na mirungi ipitiwe upya

    Hii Sheria ya mtu amekutwa na bangi au mirungi na kupigwa mvua ya miaka 30 naona kama haifai kabisa. Sheria hii imekua mwiba kwa vijana sana , kijana wa miaka kuanzia 18 mpaka 39 unampa hukumu ya miaka 30 jela hapo unakua unamfunza au kumkomoa? Stage ya ujana inaaminika ni hatua ya mtu...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Bongo fleva ina miaka 30? Kulikuwa na kwanza unit ya akina D knob na Niga one

    HAPO ZAMANI _______________ Vichwa viwili muhimu katika historia ya muziki wa Hip Hop nchini ambapo chimbuko lake ndilo lililozaa muziki wa Bongo fleva, Adili Kumbuka (Nigga One) na Robert Mwingira (D-Rob). Wakali hawa walikuwa Marapa wa kundi la Kwanza Unit, na wawili wote kwa sasa ni...
  6. JamiiForums Tanzania Siri ya fichuka Mr. Sugu kutokushiriki miaka 30 ya bongo fleva

    SIRI YA FICHUKA MR. SUGU KUTOKUSHIRIKI MIAKA 30 YA BONGO FLEVA Mr. II Sugu amevunja ukimya! 😱 Anasimulia: "Walianza kuniita kwenye wimbo, Madee alinipigia simu tuende studio. Baada ya kutoka studio alitaka kutumia mkwanja Milioni 2 kwaajili ya Hiyo Collaboration. Nikawaambia Madee, mimi...
  7. JamiiForums Tanzania Bongo legendary music festival ya 2022 : Ukurasa unaosahauliwa katika mjadala wa bongo fleva honours na miaka 30 ya bongo flava

    BONGO LEGENDARY MUSIC FESTIVAL YA 2022 : UKURASA UNAOSAHAULIWA KATIKA MJADALA WA BONGO FLEVA HONOURS NA MIAKA 30 YA BONGO FLAVA Kadiri mijadala kuhusu Bongo Fleva Honours na maadhimisho ya Miaka 30 ya Bongo Flava inavyoendelea, ni muhimu pia kuikumbuka historia ya matukio yaliyotangulia...
  8. JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya Bongo Fleva Mwanza

    JE, HISTORIA YA PHILIBERT KABAGO IMESAHAULIKA KWENYE MIAKA 30 YA BONGO FLEVA? Tarehe 8 Agosti 2026, macho ya wadau wa muziki yataelekezwa jijini Mwanza katika tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva litakalofanyika The Climax, Rock City Mall. Ni tamasha linalolenga kuenzi safari ya muziki wa Bongo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya leo panapo majaliwa ya Mungu, tuungane kumpazia sauti kijana Isa Musini Rashidi aliyetumika kama chambo na kutupwa jela miaka 30 kwa mirungi

    Kama ulitumia mitandao ya kijamii siku ya jana basi kuna asilimia kubwa ulikutana na post hii ambayo iliibua hisia kwenye comment sections, panapo majaliwa sote tuungane kumpazia sauti kijana. · Kijana Mdogo Kama Huyu unamtwanga mvua ya ,iaka 30 jela nini hiki kama sio kumuua ? Bado ni kijana...
  10. JamiiForums Tanzania Msanii Mr. II aka Sugu akataa "posho" ya TSh. 2m kutumbuiza kwenye tamasha la miaka 30 ya Bongo Flava

    Sugu anadai: Walianza kuniita kwenye wimbo, Madee alinipigia simu tukaenda studio, sasa tunatoka studio aliponishusha akanitumia mkwanja Milioni 2, I was like mimi sijawahi kulipwa hela kufanya featuring na nimefanya featuring na watu wengi nikwambia Madee..... Sugu akaongeza: Hii game naijua...
  11. JamiiForums Tanzania Inaonyesha mivutano ya iran na USA tunaweza kuwa laumu ila wote wanatumiwa na watu ambao kila nchi kujiweka kama sio yeye

    Ukiangalia migogoro ya iran na USA ni kama hawa watu wamekuwa mwana seserere wa nchi zilizopo karibu na iran. Na mpaka sasa unaweza kujiuliza wao kama wanafanya biashara kwa nini watumie nchi nyengine mfano iran anavyo fanya na nchi za nyengine kumtumia USA kuwapiga.
  12. JamiiForums Tanzania Ebu tujitengezee wenyewe miaka 30 ya bongoflava ya JF. Tujikumbushie mangoma, mastori na moments

    My fond memory ya huu muziki huu ni pale baba mdogo wangu alipo leta albamu ya sugu nyumbani, ilikuwa na picha ya sugu amefungwa pingu mikononi kashikilia mic na shampeni, humo kulikuwa na ngoma ambayo niliipenda sana inaitwa niko mikononi mwa polisi Baadae nikaja kupata albamu hard blasters...
  13. JamiiForums Tanzania Hypothetically, Rais akiangalia tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva taswira yake inakua imechafuka?

    Naona wanakanusha, je hata kama si kweli , mheshimiwa Rais kuangalia 30 y Bongo flavor ni shida ? Najaribu kuwaza what if angeshangiliwa kwenye lile Tamasha, huu ufafanuzi ungetolewa kweli? Britanicca
  14. N

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili kuthibiti wanaharakati,magaidi na CHADEMA wasikwamishe salamu za mama kwenye matamasha ya miaka 30 ya bongo fleva?

    Baada ya kufanya uchunguzi wa kina na timu yetu toka Lumumba tumegundua kuwa wanaharakati, magaidi na CHADEMA ndio walionzisha zomea zomea wakati mwana FA alipotaka kuwasilisha salamu za serikali kwenye tamasha la bongo fleva. Tuligundua wanaharakati , magaidi na vijana wengi wa CHADEMA...
  15. JamiiForums Tanzania Miaka 30 Ya BongoFleva: Makonda Akataliwa Na Wananchi

    https://www.facebook.com/share/v/193vb1Mttf/
  16. L

    JamiiForums Tanzania Show ya Miaka 30 ya Bongo Fleva. Je, Lugumi kafadhili hii Show?

    Katika pitapita zangu leo mtaani, nimekuta watu wakibishana kwamba miaka 30 ya Bongo Fleva pale Mlimani City , Ndugu Yetu Bilionea Lugumi kafadhili hii Show. Je, ni kweli???
  17. JamiiForums Tanzania Binafsi naunga mkono jinsi Dudu Baya alivyofunga shoo ya miaka 30 ya Bongo Fleva

    huwa simkubali Dudu Baya kwenye kila jambo, hasa pale ninapoona anaisifia sana serikali na ku m mention mama samia lakini kuhusu namna alivyofunga shoo kwangu ilikuwa poa Kufikia alfajiri watu wengi tayari wanakuwa wamechoka na wengine wanaanza kuondoka. Kwa hiyo niliona ile ilikuwa njia ya...
  18. JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya Bongo fleva: watu wazomea baada ya Mwana FA kujaaribu kuleta siasa kwenye show

    Aibu utaona wewe!! Usiku huu kunafanyika show ya miaka 30 ya bongo fleva. Mgeni rasmi ni Mwana FA, basi alipopanda jukwaani akaongea vizuri mpaka pale alipoanza kusema serikali ya awamu ya 6, hata hajamaliza watu wakaanza kuzomea. Ikabidi Mwana FA azuge kuwa tunajenga Arena. Lakini hadhira...
  19. JamiiForums Tanzania Miaka 30 bongo flava wakati mashabiki wenu mkuwapata kwa mtindo kama ruge na wengine wangetumia

    Hii project ilitakiwa kuwa kwa jamii kuridisha shukrani kama wakongwe wa fiesta mkaleta matukio kama kila mlicho fanya,kukumbusha maduka ,watu kampuni. Hapa naona babu tale na cheo kesho sio mbali mtakuja kulia tukiwazika.
  20. JamiiForums Tanzania Mfalme wa Reggae Bongo Kupuuzwa na Fid Q na Madee Miaka 30 Bongo fleva

    Huyu mwamba alishapata tuzo ya msanii wa muziki wa Rege Bongo enzi hizo..alikuwa mnyamwezi sana..anasuka madredi yake toka kitambo.. Alifanya muziki mzuri sana hadi watu tukampenda sana..akawa na mdogo wake anaitwa Fatma ndio aliimba naye..wimbo fulani hivi, halafu huyo Fatma ndio akaimba na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…