mhanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rose tesha

    Vidonda vya tumbo vinaanza kurejea, nifanye nini kukabiliana na changamoto hii?

    Msaada, Mimi ni mhanga wa acid kujaa kwenye tumbo had kupanda kwenye Koo Kwa muda wa miaka miwili. Nilienda hospital mbalimbal bila mafanikio ila nikaenda singida hospital ya itigi wakanipa dawa na vyakula ambavyo natakiwa nisitumie na mpangilio wa kula, kweli nikafanya hivyo baada ya miezi...
  2. NetMaster

    Umewahi kuwa mhanga au mhusika wa blackmail, Kulazimishwa kumpa anachotaka mtu ambae ana Ushahidi wa kitu ulichofanya ambacho hutaki kiwekwe wazi

    Mwanzo huwa ni vitisho na kupewa presha juu ya balaa utalokutana nalo wakiweka mambo wazi, kinachofuata huwa ni utiifu wa kutenda wanayotaka, baada ya hapo ule muendelezo wa kutii kila mara mhanga anaanza kuchoka na hata anaetoa amri kuhisi anapata kidogo inabidi apewe zaidi. mifano...
  3. JanguKamaJangu

    Pakistan: Watu 59 wauawa katika mlipuko wa kujitoa mhanga

    Mlipuaji wa Bomu hilo lililojeruhi watu 157 amefanya tukio hilo akiwalenga askari Polisi ambao ndio wamekuwa wakisali kwa wingi katika Msikiti uliopo Peshawar katika eneo linalotumiwa na Wanasalama wa makao makuu kwa ajili ya ibada. Waziri Mkuu wa Pakistan, Shehbaz Sharif amedai magaidi...
  4. JanguKamaJangu

    Afghanistan: Bomu la kujitoa mhanga laua watu 23

    Bomu hilo limelipuka baada ya mtu kujitoa mhanga katika kituo cha wanafunzi wa Chuo Kikuu waliokuwa wakijiandaa katika Mji wa Kabul wengi wao waliouawa ni wasichana. Inadaiwa kuwa watu wengine 36 wamejeruhiwa katika kituo hicho binafsi kinachohusisha wanafunzi wa kike na wakiume. Shule nyingi...
  5. JanguKamaJangu

    Somalia: Mwanajeshi auawa katika bomu la kujitoa mhanga

    Wanajeshi wengine 6 wamejeruhiwa katika tukio hilo baada ya mwanajeshi mmoja kujilipua katika kambi ya jeshi Magharibu mwa mji wa Mogadishu. Kundi Al Shabaab lenye uhusiano na Al Qaeda linadaiwa kuhusika katika shambulizi hilo. Muuguzi wa hospitali ya Madina amesema wamepokea mwili mmoja na...
  6. Nyendo

    Je, umeshawahi kuwa mhanga wa ukatili wa kihisia kwa namna yoyote?

    Katika jamii tunayoishi kuna aina mbalimbali za ukatili ambao watu hutendewa na watu wengine eidha kwa makusudi au kwa bahati mbaya lakini athari ya ukatili huwa na matokeo mabaya kwa mtendewa. Zipo aina nyingi za ukatili kama ukatili wa kijinsia, ukatili wa kimwili, au ukatili wa kihisia...
  7. Tengeneza Njia

    Panya Road - Mtanzania wa hali ya chini ni mhanga mkubwa!

    Ndugu zangu, Baada la tukio la mauaji ya mwanafunzi kawe, nimeona leo nililete hili! Ukiangalia matukio haya ya Panya Road sehemu ambazo huwa zinatajwa kuathirika mara kwa mara ni maeneo ambayo sisi kitanzania tunaita "uswahilini". Huku uswahilini ndipo wanaishi wananchi wa hali za chini sana...
  8. Mohamed Said

    Pitio la Kitabu Cha Khamis Abdulla Ameir: Maisha Yangu Miaka Minane Ndani ya Baraza la Mapinduzi Khaini au Mhanga wa Mapinduzi?

    ''Yupo lakini huisikii sauti yake. Hasemi lakini yuko wala huhisi kuwepo kwake. Lakini yupo ila wewe humuoni. Anasikiliza zaidi ya yeye kuzungumza. Huisikii sauti yake. Utamfahamu na kumtambua katika yale atakayofanya.''
  9. MK254

    "Oligarch" mndani sana wa Putin awa wa kwanza kujitoa mhanga kwa kumkosoa Putin

    Asema anguko la kiuchumi la Urusi halivumiliki. Na kamba hivi vita havina mshindi. ======== Oleg Deripaska criticizes Russia's actions The important Russian oligarch Oleg Deripaska has made some striking comments about the war in Ukraine. Putin's favorite billionaire said that there would be...
  10. S

    Waziri January ni kweli hatuzalishi Mafuta ila Afrika inazalisha Mafuta: Tanzania ni Mhanga wa uzembe wa viongozi wa Kiafrika

    Zipo sababu nyingi ambazo zinaweza kutolewa kupanda kwa bei ya mafuta lakini hili limekuwa gumu kutamkwa na viongozi wa Kiafrika. Kushuka kwa uzalishaji katika bara zima kutokana na ukosefu wa uwekezaji wa kutosha katika soko la juu (upstream market). Masoko ya uzalishaji katika bara zima la...
  11. Analogia Malenga

    Wanamgambo wa Somalia wamuua mbunge wa kike katika shambulio la bomu la kujitoa mhanga

    Takriban watu 15, akiwemo mbunge mwanamke wa bunge la shirikisho la Somalia, waliuawa katika milipuko miwili ya kujitoa mhanga katika mji wa Beledweyne katikati mwa Somalia. Waziri Mkuu Mohamed Hussein Roble ametaja kifo cha Amina Mohamed Abdi kama "mauaji". Rais wa Somalia Mohamed Abdullahi...
  12. MK254

    Wananchi wa Ukraine wajazana barabarani kuzuia misafara ya Urusi, waamua kujitoa mhanga kutetea bendera yao

    Kadiri Urusi inashindwa kuteka Kiev ndio wananchi wanapata ujasiri na kuwa sugu. Putin ana shida maana itabidi aue hadi wananchi kwenye nchi yao...
  13. M

    Ndani ya CCM kunani? Kwanini gazeti la Uhuru na wahariri kujitoa muhanga kwa lolote?

    Sitaki kuchangia sana. Ukijiuliza maswali ni kama kuna kitu nyuma ya pazia, maana kama sisi wananchi wa kawaida tulishanga kwani hatukuwai msikia mama akisema, ila tulimsikia tu akizuia watu kuanza kutengeneza makundi ya kutafuta Urais 2025, iweje jamaa watesti kutingisha kiberiti mapema? Hata...
Back
Top Bottom