mhandisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mpinzire

    Mhandisi mshauri mradi wa Bomba la Mafuta toka Uganda- Tanzania akutwa kafariki

    Mhandisi mshauri wa mradi wa Bomba la Mafuta toka Uganda- Tanga (Tanzania) amekutwa amefariki Hotelin huko Jijini Tanga. Abraham Jacobus raia wa Africa kusini alikuwa mhandisi mshauri wa mradi uo kwa upande wa Tanzania,Kaimu Kamanda wa police mkoani Tanga amethibitsha kutokea kwa tukio hilo.
  2. C

    Mhandisi na architect

    Nina mteja wangu ambao anauza nyumba za ghorofa na jengo la flat (building with appartments) Ameshapata wanunuaji wawili kwa ajili ya mradi. Alikubaliana nao kuhusu bei. Mteja wangu anataka kujenga jengo la ghorofa mbili. Level ya kawaida itakuwa na biashara ya takriban 90 sqm, upande...
  3. C

    Mhandisi na mjenzi wamehitajika kwa jengo la flat

    Nina mteja wangu ambao anauza nyumba za ghorofa na jengo la flat (building with appartments) Ameshapata wanunuaji wawili kwa ajili ya mradi . Alikubaliana nao kuhusu bei. Mteja wangu anataka kujenga jengo la ghorofa mbili. Level ya kawaida itakuwa na biashara ya takriban 90 sqm, upande mwingine...
  4. J

    Mbunge wa Hanang Mhandisi Hayuma asisitiza wanafunzi kula Shuleni.

    Na John Walter-Hanang Mbunge wa Jimbo la Hanang mkoani Manyara Mhandisi Samwel Hayuma amewataka wazazi na walezi kutimiza wajibu wao wa kuhakikisha wanafunzi wanakula chakula cha mchana shuleni . Hayuma ametoa Kauli hiyo wakati wa mahafali ya 22 katika shule ya msingi Bassotughang iliyopo Kata...
  5. M

    Waziri Chamuriho uliahidi kutangaza tenda ya ujenzi wa Barabara ya Itoni (Njombe) - Lusitu (Ludewa), mbona kimya?

    Mheshimiwa waziri ukiwa pale Luponde Mkoani Njombe, wakati ukitokea Ludewa watu walikusimamisha na kukueleza adha wanayopitia kutokana na barabara kuwa mbovu na wewe uliuona uhalisia na ukaahidi kuwa mwezi wa tano mtatangaza Tender ya kuanza ujenzi wa barabara ya Njombe-Ludewa-Manda kwa kujenga...
  6. Jackwillpower

    Msaada nimeitwa usail mhandisi mitambo daraja la ii (mechanical engineer)

    Naomba msaada wenu nijiandae na maswali gani,nimeitwa kwa mara ya kwanza na UTUMISHI,ni post ya MHANDISI MITAMBO DARAJA LA II (MECHANICAL ENGINEER) TEMESA Msaada wenu nipitie wapi job description yao ni hii i. Kufanya kazi chini ya uangalizi wa mhandisi aliyesajiliwa na mwili wa usajili wa...
  7. Baraka Mina

    Rais Samia: Tuache alama ili nchi yetu ipate maendeleo ya haraka

    Je tutaacha alama hapa duniani pale muda wetu wa kuishi kulingana na wito na kusudi la kuwepo kwetu hapa duniani utakapokuwa umefikia ukomo? "Haijalishi umeishi miaka mingapi bali umeweka alama gani katika miaka uliyoishi" ni moja ya mstari ambao huwa tunausikia katika misiba na mafundisho...
  8. B

    TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

    Patrick Aron Nipilima Mfugale mhandisi tajwa nchini Tanzania na alikuwa mtendaji mkuu wa Mamlaka ya barabara nchini Tanzania TANROADS. Injinia Patrick A. N. Mfugale RIP ===== Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Injinia Mfugale amefariki Jijini Dodoma. Mfugale jana aliondoka na ndege akiwa na...
  9. B

    Mhandisi Mkazi, Upembuzi yakinifu wa 1980 unatumika bwawa la JNHPP

    Mhandisi mkazi wa mradi wa JNHPP Rufiji maarufu Stiegler's Gorge amesema wanatumia upembuzi yakinifu wa mwaka 1980 na siyo upembuzi wa 1970. Pia design ya 2017 imefanya mabadiliko ya Upembuzi Yakinifu wa 1980. Kitu pekee ambacho hakijabadilishwa kabisa ni upembuzi yakinifu (geology) ya miamba...
  10. Q

    TANZIA Mhandisi Charles Salus Ogare wa DART afariki dunia

    Mtendaji Mkuu Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka - DART Mhandisi Ronald Lwakatare anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya ya Maendeleo ya Usafirishaji Mhandisi Charles Salus Ogare kilichotokea saa 11: 00 asubuhi Januari 25, 2021 katika Hospitali ya Mloganzila jijini Dar es...
  11. Sarikiaeli

    Rais wa Zanzibar Dkt.H.Mwinyi kumwapisha Mhandisi Zena Ahmed Said kuwa Katibu MPYA wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi ni tarehe 02-01-2021

    Updates :- RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Mhandisi Zena Ahmed Said kuwa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na katibu Mkuu Kiongozi, akichukua nafasi ya Dkt. Abdulhamid Yahya mzee aliestaafu. Hafla hiyo ya kiapo imefanyika Ikulu Jijini...
  12. B

    Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika

    February 5, 2020 Kilosa, Tanzania Wahandisi : Reli ya kati ihamishwe toka eneo la mafuriko na pia SGR kuchukua miaka 15 kukamilisha Wakati wa ukaguzi wa uharibifu wa njia ya reli ya kati sehemu za Gulwe na Kilosa, wataalamu wa ujenzi wa reli wamebainisha kuwa Tanzania itaendelea kuitumia...
Back
Top Bottom