mgombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kiroho , Utawala wa awamu ya tano umekatiliwa naomba wataalamu wengine wa kiroho mkae chini na atafutwe Mgombea anayekubalika.

    Kiroho Rais , Samia hatoweza kuwa Rais wa awamu ya sita. Ikiwa kuna wataalamu wa kiroho wamshauri mapema . Na pia yalifanyika makosa makubwa kumteua kuwa Makamu wa Rais kwakuwa hatima yake haikuwa ya kitaifa bali ya eneo dogo Kama Jimbo Ndo ufanisi wake ambao umeacha alama ni ule wa Bunge la...
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ni Siasa za kiwendawazimu karne hii kuruhusu Mgombea Uraisi kuwa Mkubwa kuliko Chama chake Cha Siasa

    GT Kwa sheria za Tanzania wagombea wote wanawajibika kwa vyama vyao sasa maCCM Wana utaratibu wa kumfanaya raisi ndiyo mwenyekiti wa Chama huu ni wendawazimu. Lazima Rais awajibike kwa chama chake. Lazima wawepo wakubwa wake wa kumwambia bila uoga hapa bwana umekosea na pengine kumtoa kwenye...
  3. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu anakuwa mgombea wa kwanza kuingia madarakani kupitia CCM bila kupitia mchakato wa Uchaguzi. Je, wameogopa nini kumshindanisha na wenzie?

    wahuni wameogopa kumshindàisha maza na makada wengine, Ivi hili lina chochote cha kutueleza juu ya uwezo wa maza kwenye Medani husika za uongozi na siasa kiujumla ?? Na je, hii haileti ishara mbaya juu ya sirikali yetu kupigwa copy, kwamba wale wanaopromote uwepo wa maza wana ulaji wao pale...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Polepole asikitishwa na kada aliyefukuzwa uanachama kwa kukosoa mchakato wa kupata mgombea. Hoja haipigwi rungu

    Humphrey Polepole amehoji waliobadili utaratibu wa chama wametumwa na nani? Pia ameshangaa kuona mtu aliyehoji na kukosoa amefukuzwa.
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Lugha ya kusema mgombea ni mmoja ni makosa, nilishindwa hata kuwapongeza, Unapongeza vipi kisicho halali?

    "Na hii lugha ya kusema mgombea ni mmoja ni makosa, sio kipindi hiki, hata kipindi cha Magufuli kuna baadhi ya viongozi walikuwa wanasema mgombea ni mmoja, siyo kweli na kwenye kauli rasmi ambayo mimi kwa wakati ule niliitoa kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM, tulisema tunafungua kwa watu wote...
  6. Richard

    JamiiForums Tanzania Je, CCM kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea pekee ni mkakati wa kumtengenezea njia kiulani mtu fulani kwa 2030?

    Kiuhalisia mwaka huu Rais Samia Suluhu Hassan ametimiza miaka 10 ya mihula miwili ya awamu ya tano yaani 2015-2025 ambapo hayati John Magufuli alifariki mwezi March 2021. Lakini kilofanyika Dodoma miezi michache ilopita katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilikuwa ni kumtangaza rais Samia...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Njia pekee ya Polepole kuimarisha uongozi nchini ni kujiunga na Chadema au ACT Wazalendo kama mgombea uraisi asaidie kupata wabunge wengi wa upinzani

    Huko nyuma niliwahi kupendekeza kwamba ni vema Raisi Samia ajitoe kuwa mgombea Uraisi na kumwachia Polepole apambane na Lissu, kwa sababu uwepo wa Samia katika nafasi yake unaleta migongano mikubwa ambayo pia inatishia kuanzushwa uhasama kati ya Tanzania bara na Visiwani. Baada ya barua ya...
  8. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Wajumbe siyo watu wazuri wamchimbia kaburi mgombea ubunge

    GT Da hawa ndugu zangu ushamba umezidi aiseee.
  9. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: GE2025 CHAUMMA wahaha kusaka Mgombea urais

    Chaumma wanaumiza kichwa kumsaka mgombea uraisi wa mwaka huu. Chama icho chenye wanasiasa majabari na wabobezi wa Siasa kama John Mrema na Vitus Nkuma Kipo chimbo kufanya analysis ya jinsi watakavyo uendea uchaguzi mkuu. Wachambuzi wa Siasa wanasema Kwa jinsi CHAUMMA inavyokubalika uenda...
  10. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Aliyepinga utaratibu wa Samia kupitishwa kuwa mgombea u-Rais wa CCM mwaka 2025 atangaza kwenda Dodoma 1/7/2025 kuchukua fomu ya kugombea u - Rais

    https://youtu.be/6IzjauB7SKs?si=Wf1SZWRYBy-7f1eJ Ilikuwa awe ameenda siku ya J'nne tarehe 1/7/2025 sijui ni kitu gani kilimsibu hakufanya hivyo... Tunajaribu kufuatilia kujua kitu gani kilimkwamisha japo tetesi zinasema wazee "wasiojulikana" walitanda na kuziba kila njia za kutoka ktk mji wa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nasikia mgombea mwenza anapigiwa chapuo kisa mzalendo ndio maana Bunge halijavunjwa!!

    Zipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!! Sasa je Alie tia Nia tayari atakubali kumpisha mgombea mwenza!!? Je tetesi hizo ni za kweli!!? Nasikia ndio maana vikao vya...
  12. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Matokeo ya uraisi kupingwa mahakamani, wakala wa mgombea kuingia na simu kwenye kituo Cha kupigia kura

    Kama kawaida nawaletea za ndani kabisa. Ikumbukwe wiki hii niliwaletea habari kuwa bunge halitovunjwa Hadi August, na imekuwa hivyo. Sasa ndani ya mwezi July kutafanyika marekebisho madogo ya katiba na kanuni za uchaguzi. Marekebisho hayo ni kuwa Kwa mara ya kwanza matokeo ya uraisi yataweza...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: CCM hatukati Mgombea ila tunateua wachache kati ya wengi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema kazi iliyobaki baada ya kuvunja Bunge ni kuendesha taratibu za namna ya kupata wagombea ubunge na kwamba Chama hicho hakitaka mgombea ila kitateua mmoja kati ya wengi. Wasira ameyasema hayo Juni 24,2025 alipokuwa akizungumza...
  14. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Sifa ya Mgombea wa kiti cha Urais

    Nini sifa za mgombea kiti cha uraisi nchini kwangu.
  15. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Aliyesemwa kuwa amechanganyikiwa ni Mgombea wa CCM si Rais, Polisi acheni kutumika kisiasa

    Kama mgombea ameamua kugombea lazima awe tayari kukumbana na kila aina ya upinzani, Kujivua na kujivika kofia ya mgombea urais na hapo hapo Rais wa nchi, kisha unajivua na kujivika uamiri jeshi mkuu, Sidhani kama ni ushindani wenye usawa. Hii ni dalili ya uoga na hofu, kutumia nguvu kubwa dhidi...
  16. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania Je, Sakata la Mbunge Mpina Linaamsha Hitaji la Mgombea Binafsi?

    Habari za muda wana JF Nimefuatilia kwa muda matukio mbali mbali yanayoendelea kwa sasa nchini kwetu na nimeona niweke uzi huu kujadili athari chanya au hata hasi inayoweza kuletwa na matukio haya. Kwa leo nitajadili suala la kuwepo kwa mgombea binafsi. Turudi kwenye yaliyojiri kwa siku za...
  17. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Kanuni mpya za kupata mgombea wa ubunge CCM ni kilio na kusaga meno kwa mawaziri na wabunge waliokaa bungeni muda mrefu

    Kipindi cha nyuma kumpata mgombea ubunge wa Jimbo kupitia CCM ilikuwa inahusisha wajumbe wachache, hii ilitoa mwanya Kwa wenye Hela, mawaziri na wabunge wazoefu kuhonga wajumbe. Kanuni mpya za CCM wajumbe wa kupiga kura za kumpata mgombea wa ubunge wa CCM idadi Yao imeongezwa,unakuta jimbo Moja...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwa nafasi ya Uraisi, Uelekeo wa Vyama vingi vya Upinzani nchini ni Kumuunga mkono Mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan, Unadhani ni Kwanini?

    Ni kipi hasa kimewavutia zaidi vyama vya wapinzani nchini hata kujizuia kufikiria kusimamisha wagombea urais kupitia vyama vyao vya siasa, na kutoa fursa hiyo adhimu kwa kuunga mkono azma ya Dr.Samia Suluhu Hassan kugombea nafasi ya uraisi wa JMT katika uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa Colombia apigwa risasi akiwa kwenye kampeni

    Katika hali isiyo ya kawaida mtoto (15) amekamatwa kwa tuhuma za kumshambulia kwa risasi Seneta wa Colombia anayewania kuwa rais ajaye wa nchi hiyo. Katika tukio hilo, seneta Miguel Uribe Turbay (39) akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kampeni yake uliofanyika Bogota nchini humo alijeruhiwa...
  20. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Nitamtafutia wadhamini Mgombea Urais CCM nchi nzima

    Kwa ridhaa yangu bila kulipwa chochote. Najitolea kuzunguka nchi nzima kumtafutia wadhamini Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia CCM pindi Tu Tume Huru ya Uchaguzi watapotoa Fomu stahiki. OktobaTUNATIKI
Back
Top Bottom