Kwa miaka mingi sasa, kila msimu wa uchaguzi unapokaribia nchini Tanzania, huambatana na kelele, malalamiko, na misuguano isiyoisha kutoka kwa wanachama wa vyama vya siasa haswa CCM, tena wale wanaokatwa kugombea.
Ni hali inayorudiwa kila wakati watu wanasema wameonewa, wameenguliwa kwa...