mgombea binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    GE2025 Mgombea binafsi ni muhimu sana

    Ifike hatua wananchi tusimame imara tukombea taifa kutoka mikononi mwa fisi mla watu. Hata wana CCM tuungane kwenye nrne kwa sababu kama inadaiwa wagombea wanatumia rushwa je, inawezekanaje aende bungeni akutetee?? Anaenda kurudisha mtaji aliowekeza kwanza hawezi kukubali hasara kwenye...
  2. H

    Kama tatizo ni katiba mbovu basi marekebisho ya kwamza kabisa ni "Uwepo wa mgombea binafsi"

    Leo tungeona maajabu kwani wagombea wote waliokatwa kinyume na matakwa ya wananchi iwe ndani ya CCM au vyama pinzani basi wangesimama kivyao na wangeshinda kwa vishindo. Hii ndiyo njia pekee ya kuikomboa Tanzania na kuiondoa CCM madarakani vinginevyo wanaotoka CCM kwa maana ya kwenda upinzani...
  3. SankaraBoukaka

    Mlikataa Katiba Mpya Ingelikuwa Na Mgombea Binafsi Ikawa Dawa Ya Kelele Nyakati Kama Hizi

    Kwa miaka mingi sasa, kila msimu wa uchaguzi unapokaribia nchini Tanzania, huambatana na kelele, malalamiko, na misuguano isiyoisha kutoka kwa wanachama wa vyama vya siasa haswa CCM, tena wale wanaokatwa kugombea. Ni hali inayorudiwa kila wakati watu wanasema wameonewa, wameenguliwa kwa...
  4. H

    Suluhisho la uchaguzi ndani ya Tanzania ni mgombea BINAFSI tu!!

    Hao wagombea kupitia vyama vya siasa ni mafisi bora katiba itambue mgombea binafsi ambaye atapitishwa na wananchi kwaajili ya wananchi na siyo kundi la watu wanaojiita chama cha siasa iwe chama tawala au upinzani.
  5. Mgeni wa Jiji

    Je, Sakata la Mbunge Mpina Linaamsha Hitaji la Mgombea Binafsi?

    Habari za muda wana JF Nimefuatilia kwa muda matukio mbali mbali yanayoendelea kwa sasa nchini kwetu na nimeona niweke uzi huu kujadili athari chanya au hata hasi inayoweza kuletwa na matukio haya. Kwa leo nitajadili suala la kuwepo kwa mgombea binafsi. Turudi kwenye yaliyojiri kwa siku za...
  6. cutelove

    Tunaposema awepo mgombea binafsi muwe mnaelewa, angalia Sasa vijana waliokuwa wanategemea kupambana kupitia Chadema

    Chadema angalau ni chama ambacho kinajulikana kwa wananchi mpaka wa vijijini na kina hamasa kwenye uchaguzi Vijana wengi walitegemea Chadema maana kule ccm ni wazee na matajiri,kijana kupenya si rahisi
  7. Dance Macabre

    Hivi 'No Reform no Election' inapigania na mgombea binafsi?

    Kwa kweli binafsi nimechoka na wagombea wa vyama. Hii 'No Reforms no Election ya CHADEMA inapigania na mgombea binafsi?
  8. DR HAYA LAND

    Kwakuwa vyama vya siasa vimekuwa na uongo mwingi je, serikali haioni umuhimu wa kuwa na mgombea binafsi (huru) ambaye hana chama chochote?

    Vyama vya siasa asilimia kubwa vimekuwa na uongo mwingi sana, je, serikali haioni umuhimu wa kuwa na mgombea huru, ambaye hana chama cha siasa. Nimepitia CV ya mtu anajiita Tundu Lissu nimeona hakustahili kuwa na chama chochote kwa nchi kama Tanzania ila angekuwa mgombea huru. Unapozungumzia...
  9. D

    PreGE2025 Prof. Anna Tibaijuka asikilizwe kuhusu Mgombea Binafsi. CCM iache woga na udikteta

    Bandugu, msomi mwenye degree 15 Prof. Tibaijuka amekuja na hoja ya mgombea binafsi katika chaguzi zetu. Prof amejenga hoja kwamba kulazimisha watu kujiunga na vyama vya siasa ni udikteta wa kivyama na hasa CCM kama chama tawala. Prof anatolea mfano wa magwiji wa demokrasia duniani, Marekani...
  10. milele amina

    Rais Samia, Mgombea binafsi itakuwa ndio mwarubaini kwa vijana kuwa viongozi na vijana kusimamia nchi yao

    Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kiongozi mwenye maono ya kuleta mabadiliko nchini Tanzania, hasa katika masuala yanayohusiana na vijana. Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na mwamko mkubwa miongoni mwa vijana wa Tanzania kujiingiza katika siasa na kutaka kushiriki katika uongozi wa nchi...
  11. cutelove

    LGE2024 Rais Samia, vijana tunataka tuwe viongozi, tunaomba sheria ya mgombea binafsi ili tupate nafasi kwenye vyama vya siasa, ni ngumu vijana kupenya

    Tunapoelekea uchaguzi wa 2025 nakuomba mama Samia na Serikali yako itunge sheria na kubadili katiba ya kuruhusu mgombea binafsi ili vijana tusio na maokoto tupate nafasi ya kugombea udiwani, ubunge na Urais. Kwa hali ilivyo kwenye vyama vya siasa ni ngumu sana kupenya kwa sababu ya wajumbe...
  12. W

    Prof. Tibaijuka: Utaratibu wa Mgombea Binafsi utaimarisha vyama vya siasa nchini

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Muleba Kusini na Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, amesema kuzuiwa kwa mgombea binafsi nchini kumeifanya Tanzania kuwa na demokrasia ya udikteta wa vyama. Ameyasema hayo leo Septemba 14, 2024 alipokuwa akitoa mada ya ushiriki wa wanawake...
  13. Mr-Njombe

    Je ni kwanini Tanzania hairuhusu mgombea binafsi?

    Habari waungwana! Je ni kwanini nchi yetu haimpi nafasi mgombea binafsi kugombea na kushika nafasi mbali mbali za kisiasa ikiwemo ubunge na Urais. kwani kwa maoni yangu hii ya kua lazima uwe mwanachama kwanza kunamfanya kiongozi kuweka kwanza maslahi ya chama mbele kuliko mahitaji ya wananchi...
  14. R

    Tanzania mgombea Urais huru inawezekana kama ilivyowezekana Rwanda. Tujitafakari!

    Salaam, Shalom! KATIBA yetu ya nchi IPO wazi kabisa kuwa, HAKI ya kuchagua inaenda sambamba na HAKI ya kuchaguliwa. Yaani HAKI ya mgombea nafasi yeyote katika ngazi yeyote kisiasa, haipasi kuminywa ndani ya vyama vya siasa pekee. Jambo hili la kuminya HAKI ya kuchaguliwa, ndio hasa kitu...
  15. A

    PreGE2025 Vyama vya upinzani Tanzania na siasa za maigizo ya kukipinga chama Tawala

    Siasa za vyama vingi zilianza mwaka 1992 baada ya IMF na WB kutoa vipaumbele na masharti kwa nchi zitakazotaka kukopeshwa kwa wakati huo, masharti hayo ni pamoja na kuwa na soko huria na kuwa na demokrasia ya vyama vingi Hapa Tanzania vikaundwa vyama siasa vikiwemo CUF, CHADEMA, UDP, NCCR...
  16. DR Mambo Jambo

    PreGE2025 Ni muda sasa wa Katiba Mpya ipitishe kifungu cha mgombea Binafsi au Kuruhusu Katiba ya Warioba

    Ni miaka 62 sasa Toka Tupate Uhuru, Lakini matakwa ya Watanzania na Tanzania walioitaka Bado haijafanikwa kupatikana.. Walau hata kwa 40% Bado Nchi inajitahidi kufikisha angalau matakwa kwa 50% au hata zaidi ya hapa katika uchambuzi wangu binafsi.. Nimegundua Tatzo ni Sera,Ilani na Hata katiba...
  17. Lycaon pictus

    Kitu kimoja ambacho CCM, CHADEMA na karibu vyama vyote wanakubaliana vyema ni kutotaka uwepo wa mgombea binafsi

    Sias zina unafiki sana. Siku zote wanasiasa wanatanguliza maslahi yao, wasikudanganye vinginevyo. Suala la kuruhusu mgombea binafsi liliamuliwa na mahakama kuwa ni haki ya kikatiba ya kila mwananchi. Bahati mbaya CCM wakalipindisha. CHADEMA nao katika kupigania kote tume huru ya uchaguzi na...
  18. Msitari wa pambizo

    Hili la Mgombea Binafsi tusipopaza sauti zetu hakuna mwansiasa wa kulisemea

    Katika harakati za kudai na kukumbusha katiba mpya suala la mgombea binafsi haliungumzwi kabisa. Si CHADEMA, ACT, CCM au chama chochote cha siasa wa kulisemea hili. Hii ni kwa sababu wote wanaangalia maslahi yao hivyo hawawez kulipigania hili. Sisi ambao tungetamani sura halisi ya uwakilishi...
  19. Meneja Wa Makampuni

    Vyama vya upinzani havina nia ya kuikomboa Tanzania tutafute mgombea binafsi

    Vyama vya upinzani havina nia ya kuikomboa Tanzania tutafute mgombea binafsi. Nimekaa nimewaza juu ya mwenendo wa siasa za taifa letu. Nikirejea kwa hawa wenzetu chama tawala jinsi wanavyoenenda. Ni dhahiri inaonyesha hawana muda mrefu wataachia hili taifa mikononi mwa chama kingine. Sasa...
  20. Meneja Wa Makampuni

    Tunahitaji wagombea binafsi Ubunge ili wawe huru kutoa mawazo yao Bungeni. Waliopo wanapigania maslahi ya vyama vilivyowapa dhamana

    Ndugu msomaji wa nakala hii fupi. Habari ya wakati huu. Naomba rejea kichwa cha nakala hii kama kinavyojieleza hapo juu. Naomba kunukuu "Tunahitaji mgombea binafsi wa ubunge ili wabunge wawe huru kutoa mawazo yao bungeni bila kuogopa chama". Tangu nimeanza kufuatilia mambo ya siasa za dunia...
Back
Top Bottom