Wakati viongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Rwanda wakikutana nchini Qatar kwa ajili ya mazungumzo ya kusitisha vita, waasi wa M23 wamegomea mkutano mwingine wa usuluhishi uliokuwa ufanyike nchini Angola.
Viongozi hao, Rais wa DRC, Felix Tshisekedi na Rais wa Rwanda, Paul...