mgawanyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tumalize Ubishi: Tundu Lissu nitajie IGA au BIT inayoeleza kutakuwa na HGA alafu bado inayoenesha kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

    Nimemsikia Lissu akiyasema makubaliano yetu ya Tanzania na Dubai hayaoneshi kiwango cha uwekezaji utakaofanywa na mgawanyo wa mapato, akitumia hiyo kama moja ya sababu ya kuyaponda makubaliano tuliyoingia na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji. Lissu anasema haya huku nikiwa na uhakika kuwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Njia pekee kukwepa mgawanyo wa mali za ndoa ni kuandika majina ya watoto

    NJIA PEKEE KUKWEPA MGAWANYO WA MALI ZA NDOA NI KUANDIKA MAJINA YA WATOTO. Na Bashir Yakub, WAKILI. +255714047241. Mahakama ya Rufaa chini ya majaji watatu katika Rufaa Na.102/2018 kati ya Gabriel Nimrod Kurwijila Vs Theresia Hassan Malongo inasema kuwa mali iliyoandikwa jina la mtoto haiwezi...
  3. T

    JamiiForums Tanzania SoC03 Matumizi ya Tehama katika ukusanyaji wa mapato na uwazi katika mgawanyo wa matumizi Serikalini

    Teknolojia imezidi kukuwa kwa kasi kubwa sana, lakini ukuaji wake unasababishwa na uvumbuzi unaopelekea utatuzi wa matatizo na majanga yanayotokea katika jamii na ulimwengu kwa ujumla. Mabadiliko makubwa ya teknolojia yameletwa na wataalamu mbalimbali katika nyanja tofauti tofauti, wamejitahidi...
  4. JamiiForums Tanzania Mchezo wa Sheria: Apoteza haki ya mgawanyo wa mali baada ya mume kudai hajawahi kumuoa Salma Mohammed, mke alibadili jina baada ya kuolewa

    Dar es Salaam. Hivi mwanamke aliyebadili jina la baba yake na kutumia la mumewe baada ya kuolewa anajua kama anaweza kupoteza haki ya kumiliki mali walizochuma katika ndoa? Hiki ndicho kilichompata Salma Mohamed Ibrahim. Kwa mujibu wa hukumu iliyotolewa juzi na Jaji John Nkwabi wa Mahakama Kuu...
  5. JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Demokrasia ya awamu ya 6; Rais Samia alalamikiwa kuingilia Uhuru wa Mahakama

    SHAMBULIO kwa UHURU wa Mahakama. MAHAKAMA iachwe HURU, isiingiliwe na kupewa MAELEKEZO na serikali. RAIA wanayo HAKI ya kushinda kesi dhidi ya serikali. SIYO LAZIMA serikali kushinda kesi. Mkuu wa mkoa siyo HATIMILIKI ya ukweli.
  6. JamiiForums Tanzania Suala la muongozo mahusi wa mgawanyo wa vipindi shule za Sekondari ni changamoto, tuliangalie kwa jicho pevu

    Habarini wadau! Nina imani mnaendelea vizuri kabisa. Lengo langu leo ni kutaka kuibua changamoto niliyoibani hususani kwenye suala zima la uandaaji wa ratiba ya vipindi shuleni. Najiuliza ni kipi cha kufuata. Je, ni syllabus ilivyoekekeza au maelekezo na miongozo mingine inayotolewa? Kwa mfano...
  7. H

    JamiiForums Tanzania TFF imetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023

    Shirikisho la mpira wa miguu hapa nchini limetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023, wadau mbalimbali wametoa maoni yao kufuatia timu mwenyeji (Simba)kuambulia sh 188,987,181.10 tu katika mapato yote yaliyopatikana...
  8. JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii kwa mgawanyo wa jinsia

    Facebook- Wanawake kwa wanaume Tweeter-Mtandao wa kiume Instagram-Mtandao kwa ajili ya wadada TikTok- Wadada Kidume akiwa na TL account hashangazi. Uzi tayari.
  9. JamiiForums Tanzania Mgawanyo wa Madaraka ya Mihimili mitatu ya Kikatiba

    Dhana ya mgawanyo wa madaraka inaeleza kuwa utawala wa dola unapaswa kugawanywa katika vyombo vitatu ambavyo ni Serikali, Bunge na Mahakama. Kila chombo kina majukumu tofauti na chombo kingine. Kwa mujibu wa dhana hii, mamlaka ya Serikali ni utendaji; mamlaka ya Bunge ni kutunga sheria na...
  10. JamiiForums Tanzania Mgawanyo wa ushiriki wa kombe la dunia ukoje kila Bara?

    Mbona kama wazungu wanatuzidi akili? Kwa anayejua kutoka mabara yote nchi ngapi kila bara linapata nafasi ya kuwakilisha na vipi ni vigezo? Najua Afrika ni nchi tano, kuna Ulaya, America, Asia, Australia sijui na nani tena, lakini mbona Ulaya itoe nchi nyingi?
  11. JamiiForums Tanzania Wakristo wengi huhofia mali kugawanywa pasu kwa pasu ndio maana hawaachani hata wakifumania wake zao

    Kwa waislam wengi mambo ya kuvunja ndoa yanamalizwa kimya kimya bila hata mahakama kuhusika, wapo wanawake wanaoenda mahakamani kudai haki za mali lakini ni wachache. Kwenye ukristo shughuli ipo tofauti, ndoa hadi inavunjika hapo ni kwamba mahakama imehusika na imeshatoa hati ya ndoa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuhusu mgawanyo wa fedha za malipo ya marehemu

    Habari humu ndani naomba kupata mwongozo kidogo Baba yangu alikuwa na mji hapa dar na amefariki sasa mji wake umetwaliwa na TRC kwa ajili ya ujenzi wa SGR sasa malipo yake ndio naitaji kujua mgawanyiko wake unakuwaje tuko watoto sita na mama , kuna jambo moja nataka kuongeza hapo sisi watoto...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama, Mgawanyo wa watumishi Uzingatie uwiano

    Waziri wa Umishi wa umma Jenista Mhagama amesama kuwa wameweka utaratibu utakao wezesha mgawanyo wa rasilimali watu ktk maeneo yote ya nchi hii na sio kama ilivyo hivi sasa, mfano shule ya Wilaya ya Muleba vijijini ina mwalimu mmoja anaye fundisha zaidi ya masomo 11 lkn wakati huo huo kuna shule...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Valentine Day huu ndiyo Mgawanyo wangu wa Salamu za Upendo kwa Wahusika Wote

    Mwenyezi Mungu 50% Wazazi Wangu 40% Walimu na Wahadhiri wangu 4% Simba SC yangu 3% Wapenzi wangu wa Kubaiolojiana 1% Marafiki zangu 1% Maadui zangu popote 0.5% Wachawi Wanaoniroga Usiku 0.5% Happy Valentine's Day nyote hapa JF.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mgawanyo wa majukumu katika utendaji wa Wizara

    MGAWANYO WA MAJUKUMU KATIKA UTENDAJI WA WIZARA Watanzania kwa Muda mrefu tulikuwa na hamu kubwa ya kuona Mgawanyo wa madaraka na Majukumu katika utendaji Kazi katika Serikali. Kuna Jambo kubwa sana la kujifunza na kujivunia kwa Rais wetu Mpendwa @SuluhuSamia jinsi anavyoongoza na alivyowapa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Tamisemi kuweni makini na yanayoendelea kwenye mgawanyo fedha za ujenzi za kujengea Hospitali na Shule

    Habari wanajukwaaa. Mimi ni mdau wa elimu na pia wa maendeleo ya wananchi kwa nimekuwa mfatiliaji mzuri wa maswala ya ujenzi hasa kipindi hiki ambacho tamisemi kupitia Rais wetu Samia Suluhu wamezamilia wanafunzi wote watakaoanza kidato cha kwanza mwakani waripoti wote.Lakini nimegundua...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mgawanyo wa Afrika Mashariki ya awali ulikuwa Tanzania Siasa, Kenya Viwanda na Uganda Elimu

    Ni ile Jumuiya ya Afrika mashariki iliyokufa mwaka 1977. Tanzania tuliaminiwa katika mambo ya siasa na porojo baada ya kupata Uhuru mezani bila ya mapambano. Kenya iliaminiwa katika eneo la uzalishaji na viwanda Uganda iliaminiwa katika eneo la Elimu Je, tumebadilika? Jumaa kareem!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…