mgambo

JKT Mgambo is a football club based in Tanga, Tanzania. They play in the top level of Tanzanian professional football, the Tanzanian Premier League.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    Mgambo wa maadili wa Sharia wavamia lodge kutandika watu wakati wa Eid nchini Nigeria

    Mgambo wa maadili wa Sharia katika Jimbo la Katsina, Nigeria wakiwa na viboko na marungu wamevamia lodge mojawapo jimboni humo na kuanza kutandika wateja. Majimbo 12 kati ya 36 ya Nigeria yana utawala wa Sharia wa Kiislamu ambapo huwa na mgambo waitwao Hisba kuhakisha Sheria ya Kiislamu...
  2. B

    Donald Trump: Vyombo Vyote Iran Iwe Polisi, Jeshi, mgambo wekeni silaha zenu chini la sivyo utakabiliwa na kifo cha uhakika

    Hotuba kamili ya Rais wa Marekani Donald Trump akitangaza vita dhidi ya Iran Muda mfupi uliopita, jeshi la Marekani lilianza operesheni kubwa za mapigano nchini Iran. Lengo letu ni kuwalinda watu wa Marekani kwa kuondoa vitisho vinavyotarajiwa kutoka kwa utawala wa Iran, kundi katili la watu...
  3. A

    KERO Mgambo wanaolinda usiku Tabata - Kimanga wamegeuka kero. Hatulali, wanatupigia kelele

    Mimi ni mzaliwa wa Kilimanjaro ila mkazi wa Tabata – Kimanga, Dar es Salaa. Kwanza ya yote nawashukuruni sana sana JamiiForums kwa kazi nzuri mnayoifanya kwa kutusaidia kutatua kero mbalimbali zilizopo hapa nchini kwetu Tanzania. Mimi kero yangu ni Sungusungu / Police jamii wanaolinda usiku...
  4. 100 others

    Video: Mgambo akipata kichapo heavy toka kwa wananchi

    Mgambo akipata kichapo heavy toka kwa wananchi, hawa migambo inapaswa wasome alama za nyakati. Wanafikiri wananchi wanaogopa.
  5. Masalu Jacob

    Jeshi la Akiba Tanzania (Mgambo) watumike kwa Ulinzi kwenye maeneo ya Umma

    Habari Tanzania ! Salaam kwako Mtanzania; wewe ni mwema sana. Ninaombi ambalo limekaa kama pendekezo; Naomba kuuliza Je, ni kwanini hawa wataalamu wa Ulinzi ambao ni Jeshi la Akiba wasitumike moja kwa moja kwenye maeneo ya Umma kama sehemu ya kutoa huduma ya Ulinzi na kuimarisha Usalama kwa...
  6. Just Pray

    Askari Mgambo tunaowategemea kulinda mali zetu, wamekamatwa kwa tuhuma za wizi

    Jeshi la Polisi mkoani Lindi linawashikilia askari mgambo wawili kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa mali mbalimbali, ikiwemo mali za raia mmoja anayeishi katika Manispaa ya Lindi. Waliohusika ni Karimu Athuman Omari (29), askari mgambo namba MG. 512421, mkazi wa mtaa wa Raha Leo, na Zawadi Swedi...
  7. McLaren

    Vijana 149 wahitimu mafunzo ya Mgambo. Je ni maandalizi ya Uchaguzi?

    Vijana waliohitimu mafunzo ya jeshi la Akiba wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa wametakiwa kuishi kiapo walichoapa pamoja na kutumia vizuri mafunzo waliyoyapata katika kipindi chote Cha mafunzo ili kuendelea kuwa wazalendo. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Peter Ambrosi Lijualikali wakati...
  8. A

    KERO Katavi: Askari mgambo kijiji cha Mwamapuli, Halmashauri ya Mpimbwe wamekuwa ni kero kubwa

    Askari hawa wamekuwa wakibambikizia watu kesi na kukamatwa hovyo. Tunaomba Mamlaka ziwachukulie hatua hawa matapeli kwa kivuli cha 'mgambo' ambao wanatembea na pingu ovyo na hatujui wanatoa wapi hizo pingu. Askari mgambo hao ni Isaya na Mashada.
  9. McLaren

    GE2025 Mrisho Mgambo atupwa kwenye jimbo la Arusha Mjini, Makonda apita kwenye mchujo

    Wakuu, Mambo yanaendelea kuwa mazuri. Ile battle ya Makonda na Gambo imeisha rasmi, Makonda kapita kwenye mchujo
  10. W

    Mgambo akisoma diploma kisha aende jkt, kuna advantage yoyote ya kubakizwa aajiriwe Jwtz ?

    Alimapomaliza form 4 alipata division 2 lakini alipatwa na msiba, hakuweza kuendelea na shule kwasabau za kiuchumi. Alienda mafunzo ya mgambo lakini alipomaliza kuna pesa za usimamizi wa mirathi zilitoka akaenda kusoma Diploma ya Mechanical Engineering Je, akienda JKT anaweza kupewa kipaumbele...
  11. jaytravo

    Shamba la mitik linauzwa lipo Tanga Korogwe kijiji mgambo

    Shamba lipo Tanga Korogwe ni hekari 6 jumla ya miti ya mitiki ni 2100 Shamba linauzwa pamoja na miti yake kwa milioni 150 dalali ukileta mteja 10% ya kwako Miti ina umri wa kuanzia miaka 9 mpaka 14 0615636384 0653172333
  12. A

    KERO Baadhi ya Watu wanaojitambulisha ni Askari wanashirikiana na Mgambo kukamata Wananchi mida ya Jioni Mbagala Zakiem

    Baadhi ya Watu ambao wanajitambulisha kuwa wao ni Askari Polisi wakishirikiana na baadhi ya Mgambo, usiku wanapita katika maeneo ya wazi kama Viwanjani na kukamata Watu ambao watakuwa wamesimama au kukaa maeneo hayo kuanzia Saa 12 Jioni. Wanafanya hivyo karibu na maeneo ya Mbagala Zakiem kisha...
  13. K

    Nimerudi kufanya kazi yangu ya mgambo.

    Nina kabachelor kangu,lkn nimekula za uso utumishi,tra na gbt. Sasa nimewahi kupitia mafunzo ya mgambo na kutunukiwa cheti. Nimeamua nijitose tu kwenda kuwa mlinzi,kwa kuanzia leo nimepata mchongo wa kwenda kukamata wahalifu flani wanaotuhumiwa na jamii kuwa wanauza bangi na kusumbua wananchi...
  14. B

    RPC Simiyu asema Pendo aliyedai kutumwa kumuu Luhaga Mpina hakuwa Askari wa JWTZ bali Mgambo

    KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Simiyu, amethibitisha kwamba Binti Pendo Paul aliyedai kupewa kazi ya kumuua Mbunge Mpina hakuwa Askari wa JWTZ kama alivyojitambulisha bali alikuwa amepitia mafunzo ya Mgambo zaidi sikiliza Video hii. https://youtu.be/gTzupuaYy7c?si=_wUYi4xRIAVxOMpi
  15. M

    DOKEZO Responded Kitendo cha Wananchi kugoma kuhama katika chanzo cha maji Bonde la Mto Ruhila na kuwafukuza Mgambo kwa Mapanga si dalili nzuri

    Bonde la Mto Ruhila ambalo Serikali limeweka alama zao kama hifadhi ya mto, wananchi wanaendelea kutumia bonde hilo kwa shughuli za kibinadamu kama vile kilimo, kufua na kuoga hata baada ya kulipwa fidia. Kuna sababu mbalimbali walizozitoa kwanini wanaendelea kutumia maeneo hayo kwa matumizi...
  16. Infantry Soldier

    Polisi anafanya kazi mbali na inapoishi familia yake. Askari Mgambo anatumwa kukamata watu wa mtaani kwake. Hii sio sawa hata kidogo....

    Good Morning my dear brothers and sisters out there. MGAMBO WANAOFANYA KAZI SAMBAMBA NA POLISI NJE YA MIJI MIKUBWA (DAR, MWANZA, ARUSHA, MBEYA) (1) Mgambo anakamata watu anaoishi nao mtaa mmoja. Polisi anakamata watu nje ya eneo analoishi yeye pamoja na familia yake. Hii ni nini kama sio...
  17. Jamii Opportunities

    Askari Mgambo – (317 positions) at Dar es Salaam City Council September 2024

    Position: Local Militia (317 positions) General Requirements: Tanzanian citizen Completed Form Four or Six Must have a National ID or NIDA number Fluent in Kiswahili and English Physically and mentally fit, confirmed by a government doctor No history of drug abuse Ready to work anywhere within...
  18. Roving Journalist

    RPC Mara: Kama kuna Mgambo wanaodai wanafanya kazi ya Polisi hao ni Wahalifu tu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara limetoa ufafanuzi juu ya madai ya Polisi kuwatumia Mgambo katika shughuli zao Awali, Mwanachama wa JamiiForums.com alidai Mgambo hao wamekuwa wakitumiwa usaidia shughuli za Kipolisi wamekuwa hawatendi haki kwa baadhi ya Wananchi pia akadai wanashirikiana na Whalifu...
  19. Travis Kitengo

    OCD Bunda fuatilia utendaji kazi wa baadhi ya mgambo wanaokusaidia kazi wengi wanashirikiana na vibaka

    Naandika andiko hili kwa uchungu sana!Kwanza ni jambo zuri sana Kwa jeshi la polisi kushirikiana na jeshi la akiba maarufu kama Mgambo katika kulinda usalama wa raia na mali zao.Ni jambo la kupongezwa na Kila mtu anayelitakia mema Taifa lake! Mkuu pasipo kuficha kitu hawa Mgambo wanaosaidiana...
  20. GENTAMYCINE

    Kwanini Mgambo wengi wa Kariakoo muda wote wakati wa Kazi wao wanakuwa Wamelewa tu?

    Haya Wakubwa zao mlioko hapa JamiiForums itisheni Gwaride la Dharula usiku huu na mkimkuta Mmoja kavimba Uso, Jino lake moja la chini limelegea tayari kwa Kudondoka chini Ardhini na Mguu wake wa Kulia anauburuza jueni Mzanaki na Myao Mimi GENTAMYCINE nimetuma Salamu kuwa wacheze na Washamba kama...
Back
Top Bottom