mfupi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangia nizaliwe sijawahi kuona mdada anaependelea mwanaume mfupi zaidi yake basi hvyo hivyo wanaume wasihukumiwe kwa kupenda Makebo makubwa

    Tangia nizaliwe sijawahi kuona mdada anaependelea mwanaume mfupi zaidi yake basi hvyo hivyo wanaume wasihukumiwe kwa kupenda Makebo makubwa Kila mtu afe na tamaa zake.
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Ndani ya muda mfupi, Zanzibar imetajirika ghafla ila Tanganyika chaliii

    Najiuliza huu utajiri wa haraka haraka zanzibar wameutolea wapi? Zanzibar elimu bure, matibabu bure kabisa hutoi hata mia, barabara zimejengwa kwa mfumo wa fly overs, viwanja vya ndege navyo vimepanuliwa. Wakati bara tukilalamika matibabu ya Figo ni gharama , kule Zanzibar ni bure kabisa. Ila...
  3. JamiiForums Tanzania Aweso: IRUWASA ikamilishe mradi wa muda mfupi ndani ya mwezi, Vijiji vya Luhindo na Lulanzi vipate maji

    Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Iring (IRUWASA) kuhakikisha katika kipindi cha mwezi mmoja inatekeleza mradi wa muda mfupi kuhudumia Kaya zipatazo 23 zinazokosa maji katika Vijiji vya Luhindo na...
  4. B

    JamiiForums Tanzania KWELI Ukimeza dawa na kisha ukatapika baada ya mfupi unapaswa kumeza tena, kutegemeana na dawa husika

    Wakuu nimekutana na hii concern ya mdau nikaona si mbaya nikiieleta hapa kupata ufafanuzi zaidi.
  5. JamiiForums Tanzania Siku tukibahatika kupata uongozi makini tutaweza kubadilisha miji yetu ndani ya muda mfupi kama China

    Oneni jinsi Wachina ndani ya miaka 20 tu walivyobadilisha miji yao mfano wa Chongqing kutoka slums kama za tandale na kutokuwa na mpangilio hadi kuwa majiji ya hadhi sawa na ya West
  6. B

    JamiiForums Tanzania KWELI Je, maji ya mvua huwa yanaweza kuharibika muda mfupi baada ya kukingwa kutokana na bakteria

    Wakuu Nimekuwa nikikutana na madai kwamba maji ya mvua huwa yanaharibika baada ya kuchotwa. Naomba kufahamu ni kwa nini maji ya mvua huwa yanaharibika baada ya siku kadhaa baada ya kukingwa,na pia huku mitaani kwetu tunayawekea chumvi kidogo kwa iman kuwa hayata haribika,je ni kweli chumvi...
  7. JamiiForums Tanzania BAKWATA: Pongezi za ziada ziende kwa vyombo vya ulinzi kuhakikisha Amani na Usalama vilirejea ndani ya muda mfupi Oktoba 29

    Katibu Mkuu wa Bakwata, Alhaj Nuhu Mruma, akizungumza kwenye Baraza la Idd el-Fitri leo tarehe 21 Machi, 2026 jijini Dar es Salaam.
  8. JamiiForums Tanzania Case study: Matumizi yamepungua kwa 58.1% ndani ya muda mfupi

    True case study! “Nicas" (jina halisi limefichwa) alinitafuta mwezi uliopita kupitia JamiiForums baada ya kusoma baadhi ya threads zangu kuhusu personal finance na uwekezaji. Aliniambia ana malengo mawili: 1.Kupunguza matumizi na kuweka akiba zaidi 2.Kujifunza kuwekeza kwenye hisa za Dar es...
  9. JamiiForums Tanzania Ujumbe Mfupi wa Miaka 49 ya Siri ya ushindi wa CCM

    #dafitips Ujumbe wangu mfupi kwa maadhimisho ya Miaka 49 ya CCM https://youtu.be/D6wSTppiLiE?si=jq8mVBs9RbnrhbsJ Video 👆🏿👆🏿👆🏿 Miaka 49 ya Chama Cha Mapinduzi ni ushahidi wa imani ya wananchi kwa Chama chao. Lakini ili CCM iendelee kushika Dola, lazima ibaki kuwa Chama cha kusikiliza watu...
  10. JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi kimepoteza wabunge watatu kwa muda mfupi kuanzia Disemba 2025 hadi February 2026

    Chama cha mapinduzi kimepoteza wabunge watatu kwa muda mfupi kuanzia disemba 2025 mpaka February 2026 Mbunge Jenista Mhagama alifariki 11 Disemba 2025 Mbunge Halima Nassor alifariki 18 January 2026. Munde Tambwe alifariki tarehe 3 February 2026 Pole ziende kwa rais na chama chake.
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Ndani ya muda mfupi kutoka Sasa ofisi ya chief Prosecutor wa ICC itatoa taarifa ya kuanza Kwa uchunguzi Kwa mauaji ya MO29

    Hello guys Napenda kuwapa good news, kutoka kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika. Kesi iliyofunguliwa ICC na Intelwatch, Madrid Bar Association na Human right Institute Kwa Samia na viongozi wengine inaenda kuanza. Kumbuka ni kuanza Kwa kesi, including investigation. Siongezi maneno but within...
  12. JamiiForums Tanzania Utabiri raisi ATAKAE tawala Tanzania kwa Muda mfupi Dr Samia or Magufuli?shekhe Yahaya njooo duniani!

    Magufuli alitawala miaka HAIJAWAI tokea Tanzania Mama Samia Suluhu hassani anaenda Mwaka WA 5 Sasa je Shekhe Yahaya alimtambilia nani kuwa raisi wa Muda mfupi? Je akilazimisha amzidi Magufuli Nini kitajili? Mbinguni kunani?
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Ushauri mfupi na muhimu kwa CCM na Samia

    Nawashauri CCM na Samia kusitisha uchaguzi, kupendekeza iundwe serikali ya mpito ikiongozwa na jaji Warioba, kuwaomba radhi watanzania na kutubia ili mambo yaishe. Mmeshindwa, mmekataliwa na mmeona wenyewe. Shukrani kama mtasikiliza na kuzingatia ushauri huu mfupi na muhimu katika wakati huu...
  14. JamiiForums Tanzania Winston sigara wamewezaje kukamata soko la bongo ndani ya muda mfupi namna hii?

    Hii kampuni Haina hata miaka SITA sokoni lakini imefanikiwa kuwapoteza wakongwe kama kina sport na embassy na kina safari chap kwa haraka..sawa inawezekana bei ikawa rafiki kwa wengi lakini hata marafiki zangu maboss TU wame switch kutoka sport OG mpaka Winston.
  15. JamiiForums Tanzania Ebu jaribu kukomenti uchambuzi mfupi mfupi kulingana na hii picha

    Mimi nitaanza: "Rafiki wa kweli ni Nafsi yako"
  16. U

    JamiiForums Tanzania Je, ni sababu zipi zilizosababisha kampeni ya No Reforms No Election kupungua nguvu na kupoteza mvuto ndani ya kipindi cha muda mfupi ?

    Wajuzi wa sayansi ya siasa karibuni
  17. U

    JamiiForums Tanzania Sabato imeanza baada ya jua kuzama Leo, ni siku maalumu iliyobarikiwa na Mungu kuliko siku nyingine, Niwaombe mjiweke safi kuipokea na kuiheshimu

    Ni siku bora kuliko siku nyingine ikiwamo siku ya Jumapili na ni kwa mujibu wa maandiko Exodus 20 hivyo usije na ubishi wako. Happy Sabbath all
  18. M

    JamiiForums Tanzania TBS hamuoni mabati ya rangi yanavyopauka ndani ya muda mfupi? Standard hamna?

    Unanunua bati lililopakwa rangi lakini ndani ya muda mfupi lishapauka vibaya. Sisi wananchi hatuwezi kutambua kwa kuona mabati ya rangi original.Wala bei sio kigezo cha kujua kwamba haya mabati ya rangi ni original au fake. Kampuni zote zikitengeneza mabati ya rangi zinatakiwa zifuate standard...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Leo nimeweza kumwona mmasai mfupi

    Aisee katika pita pita zangu Leo nimemwona mmasai mbili kimo,nahisi hata wale wenye ulamavu wa ngozi wapo pia
  20. JamiiForums Tanzania Nauza Wazo la Kampeni Litakalokufanya Upendwe na Jimbo Lako Ndani ya Muda Mfupi!

    Najua wagombea wengi wa ubunge kwa sasa wanahaha kutafuta mbinu mpya za kuvutia wananchi na kupata upendo wa kweli katika majimbo yao. Usihangaike tena nina wazo la kipekee, la kisasa na la haraka litakalokuweka mbele ya wote! Unatafuta njia ya kugusa mioyo ya watu na kuwa gumzo kwenye jimbo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…