mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tapeli anapigia Watumishi wa Umma na kuwaambia Taarifa zao Binafsi, anazitoa wapi? Mfumo wa ESS upo salama kweli?

    Mimi ni Mtumishi wa Umma, ninahofu na usalama wa Taarifa zangu binafsi na za Utumishi kutumiwa na watu wasio sahihi. Jumamne ya tarehe 3/12/2024 mtu mmoja mwenye namba 0768***684 ambaye baadaye nilibaini ni tapeli alijitambulisha kwamba ni Afisa Utumishi Mkoa wa Mwanza, alikuwa akiwapigia...
  2. JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu uwe wa kikanda kutokana na fursa za kiuchumi wa eneo husika

    Niende moja kwa moja kwenye mada kutokana na uwepo wa degree nyingi mtaani bora kuwe na mfumo mpya wa elimu kutokana na kanda husika kutoka primary hadi high level. Kwa mfano watu wa Mwanza wawe na silabasi yao inahusu uvuvi na uchumi wa blue toka shule ya msingi kama usafirishaji wa majini...
  3. JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu jiongezeni kwenye mfumo wenu wa lipa namba.

    Ruhusuni mfumo ambao pesa ikiingia kwenye simu ya lipa namba itoe notification kwa simu nyengine pia. Mfano nina lipa namba moja ila watoa huduma watatu nahitaji hao watoa huduma watatu wapate ujumbe kwa simu zao iwapo mteja atalipa namba kwa mmoja wapo bila wao kuhakiki kwa kuangalia message...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini mfumo wa ukataji tiketi za SGR unasumbua mara kwa mara, who is behind this?

    Moja kwa moja kwenye mada Tangu tuanze kusafiri kwa treni za SGR kumekuwepo na changamoto za hapa na pale. Changamoto huwa zipo lakini tunatarajia kuwe na ufumbuzi na kutokujirudia rudia kwa changamoto ya namna ile ile. Kwenye mfumo wa ukataji tiketi kumekuwa na changamoto ya kudumu, mfumo sio...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania tupo kwenye mfumo wa chama kimoja ulioshirikisha vyama vingi

    Ni uongo kusema ya kwamba Tanzania inafuata mfumo wa vyama vingi. Ni kwamba serikali ya Mwinyi ya mwaka 1992 iliruhusu uwepo wa vyama vingi ndani ya mfumo wa chama kimoja. Na hili ndio tatizo, vyama vingi vipo ila mfumo ni wa chama kimoja. Ili mfumo uitwe wa vyama vingi inatakiwa yafuatayo...
  6. JamiiForums Tanzania Jipatie Tovuti na Mfumo wa Accounting kwa Gharama Nafuu kabisa

    Habari za wakti huu; Je Biashara yako inahitaji TOVUTI? Je Biashara yako inahitaji mfumo wa Utunzaji wa kumbukumbu na uhasibu? Je Biashara ya inahitaji mfumo wa kutoa risiti za EFD? Je Biashara inahitaji kitu au huduma yoyote ya kiteknolojia? Kama Jibu ni Ndio Wasiliana nasi kwa simu au...
  7. JamiiForums Tanzania Changamoto hii kwenye mfumo wa ess katika suala la e-loan

    Habari zenu wakuu! Hope mnaendelea poa na majukumu. Niende moja kwa moja kwenye lengo husika.,,, Katika harakati za kuomba mkopo via Ess napata changamoto, yaan mfumo unaniandikia phone no is invalid wakati taarifa zote ziko sawa ingawa bado sijajua shida nini. Naomba kama kuna...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania kuimarisha ufanisi wa mfumo wa kodi ili kukuza uwekezaji nchini

    Tanzania imechukua hatua stahiki za kuimarisha ufanisi wa mfumo wake wa kodi, ili kukuza uwekezaji na biashara na mataifa mbalimbali duniani. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahamoud Thabit Kombo, amesema hayo tarehe 13 Novemba, 2024 jijini Dar es Salaam...
  9. JamiiForums Tanzania Mfumo wa ukataji tiketi wa SGR upo vizuri sana Mkurugenzi Kadogosa apewe maua yake

    Nimetumia SGR mara sita.niwe muwazi Mkurugenzi TRC Kadogosa kwenye swala la mfumo wa SGR umesimama vema kabisa Developers wa mfumo wa wa SGR online ticket apewe maua yake amefanya kazi nzuri sana naamini hawezi kuwa mbongo pia natamani nijue wameipata kwa bei gani(Thamani anayejua atudokeze)...
  10. JamiiForums Tanzania Mfumo mpya wa usaili PSRS kada ya Tutorial Assiatant

    Habari zenu wadau, naomba kuuliza kama kuna mtu amefanya usaili wa kuandika hivi karibuni PSRS kada ya Tutorial Assiatant kwa huu mfumo mpya, je usaili unafanyika kwa computer kama wengine? mfano watumishi wa afya kama tulivyoona hivi karibu au kada Tutorial Assistant imebaki kama zamani, asante.
  11. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nchi imerudi mfumo wa Chama kimoja, Magufuli kaacha utamaduni mbaya kwenye siasa, itachukua miaka 20 kumpata kiongozi kama Kikwete

    Kipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k. Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye kuleta siasa huru lakini alijitahidi Kwa mara ya kwanza wagombea wapinzani walijaa bungeni matumizi...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Hakuna ubaguzi wa rangi wala mfumo dume, Democrats wameshindwa kihalali kwasababu wameiharibu mno marekani na wangeharibu zaidi wangeshinda

    Kilichopigiwa kura zaidi ni sera ya kuilinda Marekani, Sera za Democrats zimeiharibu sana Marekani, Haya ni baadhi ya mambo waliyofanya Bidden na Haris kwenye awamu yao, Trump kashinda kwasababu kaapa anaenda kuyafuta na kuyarekebisha. Mfumuko wa bei na maisha kuwa juu, vyuma vimekaza...
  13. JamiiForums Tanzania PPRA: Inapotokea kuna changamoto ya Mtandao katika Mfumo wa NeST huwa tunasogeza mbele muda wa Tenda

    Baada ya Mwachama wa JamiiForums.coma kulalamikia changamoto ya Huduma ya Mtandao katika Mfumo wa NeST, ufafanuzi umetolewa na mamlaka inayohusika Kusoma hoja ya Mdau kwa zaidi bofya hapa ~ PPRA Mtandao wa Manunuzi (NEST) una changamoto sana Afisa Uhusiano wa Umma wa PPRA, Joseph Muhozi...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan: Maoni na Mpendekezo kuhusu Mfumo wa Tanzania Mining Cadastre Portal

    Utangulizi Ninajisikia huzuni kila wakati ninapofikiria jinsi mabadiliko yanayofanywa katika mfumo, muundo, na ufanyaji kazi wa Tanzania Mining Cadastre Portal yanavyowakilisha changamoto kubwa kwa wachimbaji wadogo. Inasikitisha kuona kwamba mabadiliko haya yanafanyika bila kuwashirikisha...
  15. JamiiForums Tanzania Napendekeza mfumo wa umeme ushughulikiwe na TANESCO pekee

    Sijui heading ipo sawa au laa ila ninachokusudia ni zile process za kuvutia umeme majumbani. Huwa sipendi kubahatisha nikauliza mtu wa TANESCO kuhusu umeme nikaambiwa cha kwanza piga wiring ndipo ujaze fomu. Nimejaza fomu online napiga simu TANESCO huduma kwa wateja nijue hatua inayofuata...
  16. JamiiForums Tanzania Mfumo wa USA Dollar ulivyoanza kutumika Duniani, na Kupelekea Dunia Kuchezeshwa DECI (Ponzi Scheme)

    Utangulizi: Baada ya vita vya Pili vya dunia mataifa mengi ya Ulaya yalikuwa katika hali mbaya ya Uchumi, Wawakilishi wengi wa Mataifa haya ya Ulaya na dunia (Jumla Mataifa 44) walikutana Bretton Woods, mwaka 1944 kuangalia ni jinsi gani wanaweza kuwa na Uchumi bora na wa Uhakika, Mataifa haya...
  17. JamiiForums Tanzania KERO Changamoto za Mifumo ya Kidijitali Katika Hospitali

    Habarini wadau. Ninachangamoto ya kiafya kidogo nipo hospitali. Sasa nimefika hapa nakuta mambo yamebadirika serikali imeamua kutumia mifumo katika tiba Sasa changamoto iliyopo ni tatizo la mfumo kujaza data za ugonjwa ni changamoto. Hadi nesi mmoja analalamika anasema kama ndio hivyo...
  18. JamiiForums Tanzania Mfumo wa masaa Afrika Mashariki

    Sijui kama ilishawahi kujadiliwa humu lakini nimekuwa najiuliza sana na kukosa majibu, kwanini mfumo wa masaa wa Afrika Mashariki upo tofauti na sehemu zingine duniani? Sehemu zote siku inaanza saa 6 (0000) usiku lakini kwetu inaanza saa 1 (0700) asubuhi. Kuna sababu ya hii tofauti mahali? Na...
  19. JamiiForums Tanzania Nauza mfumo wa gesi kwenye bajaj kwa bei kitonga 200k

    Habari wakuu, nauza mfumo wa gas kwenye bajaj bei ni laki mbili.. Ila bado una deni la laki Saba na hamsini utaenda kumalizia mkopo wako. Mazungumzo yapo Wahi sasa
  20. JamiiForums Tanzania Ni Mfumo upi masbariki ya kati imetimiza malengo

    Kwa kuanza, niwafahamishe maana ya mifumo ya ulinzi .. hii ni dhana nzima inayohusu kulinda watu, wapiganaji na mali zao kwa ujumla dhidi ya pande korofi, mifumo yote ya ulinzi ina lengo la 1. kuweka raia na wapiganaji salama, hili ndilo lengo la kwanza kwa Taifa lolote timamu utu ni jambo la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…