Habari mm nko ushirombo_ Geita, nahitaji tufanye biashara na mtu ambaye anafanya biashara ya hzi samaki, huwa natembea minadan. Akiwepo kahama, ama maaumbwe
Uwepo wa informal sector na watumiaji wachache wa bank ni changamoto na tatizo kubwa sana Tanzania., Nikiwa Rais wa Tanzania ntafanya mambo yafuatayo kuondoa informal sector, kuongeza formal sector na kuongeza watumiaji wa bank
SIFA ZA HAO WAFANYAKAZI
Lazima mishahara yao iwe inapitia bank...
Wakuu,
Jana Juni 23, 2025 hukumu ya kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini ilitolewa, ambapo askari wawili kati ya saba walioshtakiwa walihukumiwa kunyongwa huku watano wakiachiwa huru. Kati ya hawa waliohukumiwa kunyongwa ni bwana Gilbert Kalanje ambaye alikuwa Mkuu wa Upelelezi wilayani...
Wicknell Chivhayo: Mfanyabiashara Anayejenga Afrika Kupitia Ukarimu
Mfanyabiashara maarufu kutoka Zimbabwe, Sir Wicknell Chivhayo, ameweka historia kama mmoja wa wafadhili wakubwa zaidi Afrika, akitoa misaada ya thamani ya zaidi ya dola milioni 60. Misaada hiyo inajumuisha fedha taslimu...
Leave her kama ulivyomkuta, ukichokonoa nyaya zitazidi volti utapigwa shoti
mwanamke ukimuoa mwache aishi kama ulivyomkuta usiingie mtego wa huruma au kwasababu una vijihela na connections umpeleke chuoni kuongeza elimu, kumfungulia duka kubwa, kumuingiza kwenye siasa, n.k. hatakuwa tena...
Tajiri mwenye asili ya India, mwenye umri wa miaka 53 na mpenzi maarufu wa mchezo wa polo, ambaye pia alikuwa karibu sana na Prince William, amefariki dunia kwa kusikitisha wakati wa mechi ya polo huko Windsor mnamo Juni 12.
Mashuhuda wanasema alilalamika ghafla akisema, “Nimekimeza kitu,” na...
Ni unyama na ukatili wa kutisha! Asubuhi ya leo Alhamisi, Juni 12, 2025, maeneo ya Bonyokwa wilayani Ilala jijini Dar, wanandoa ambao majina yao hayakupatikana mara moja, wamekutwa wamekufa kwa kuchinjwa kikatili na kitu chenye ncha kali!
Kwa mujibu wa vyanzo, tukio hilo limetokea usiku wa...
Kama wewe ni mfanyabiashara una biashara yako unataka iwe inaonekana kwenye Google map yaaani mtu ata aki request a Afike hadi dukani kwako yaani duka linaonekana kwenye raman Ya dunia kama unataka iyo nicheki 0743 257 669 nikusaidie
Tunamsaidiaje huyu mfanyabiashara?
Ni tweet kutoka kwa Vanessa Temba inayozungumzia ugumu wa maisha ya ujasiriamali/biashara. Anaeleza kwa njia ya uhalisia na hisia kuwa:
->Unaamka asubuhi hujui kama utaweza kuuza chochote.
->Hujui kama utapata pesa ya kurejesha madeni.
->Kuna wasiwasi na...
MWEKEZAJI wa sekta ya usafirishaji jijini Arusha ,Patrick Mulokozi amelalamikia Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kwa kushindwa kumpa ushirikiano kuweza kupata mali zake ambazo ni mabasi mawili aina ya Costa aliyokuwa amekodisha kwa kampuni ya usafirishaji ya Impala shato inayofanya biashara ya...
Familia ya Marehemu Ediga Mwaniwe wa Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi kwa siku sita imekataa kwenda kuchukua mwili wa ndugu yao kwa ajili maziko uliohifadhiwa katika hospital ya Manispaa hiyo kwa lengo la kushinikiza Jeshi la Polisi Mkoani humo kutenda haki ya kumkamata mfanyabiashara wa madini...
MFANYABIASHARA Maarufu anayemiliki vituo vya mafuta jijini Arusha, Maganga Lago anatuhumiwa kumfanyia ukatili wa kutisha mfanyakazi wake wa ndani aliyetajwa kwa jina Moja la Teleza raia wa nchi Jirani kwa kumpiga na kisha kumchoma na pasi ya moto akimtaka kimapenzi.
Tukio hilo ambalo...
Recently nimepokea taarifa mbaya kutoka kwa jirani wa mfanyabiashara mmoja!ambaye amevamiwa usiku na watu wenye silaha,wakamcharanga mapanga,wakampora hela na kutokomea kusikojulikana!..huyo jamaa anamiliki maduka Kama sita ya huduma za kifedha,anapofunga maduka yake huwa anakusanya mpunga wote...
Licha ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Divisheni ya Biashara, kuamuru kufutwa kwa hisa asilimia 18 zilizokabidhiwa kwa Daudi Ibrahim Lumala kinyume na utaratibu, pamoja na kufutwa kwa nafasi yake kama Mkurugenzi wa Kampuni ya Sunset Tarangire Limited, Lumala bado ameendelea kuwepo ndani...
Kwa mfanya biashara personality yako ni muhimu sana kabla hata ya bidhaa unayopeleka sokoni.
Hapa namaanisha ,muonekano wako, matumizi sahihi ya lugha za kibiashara, mahusiano mazuri na watu ,mavaz yako n.k
Mfano jana usiku jamaa yangu mmoja katika pitapita zake, alijikuta amenunua mikate 27...
Kwa nini mfanyabiashara yeyote anayeanza kujitafuta anatakiwa kusajili jina la biashara?
Kuna biashara nyingi mitaani zinafanya vizuri – zina wateja, zina jina zuri lakini hazijasajiliwa.
Watu wanadhani kusajili jina ni kwa matajiri au makampuni makubwa.
Hii siyo kweli.
👇1
Kusajili jina...
Katika safari ya kujitafuta kupitia biashara, kuna hatua ambazo huweza kukuinua haraka au kukugharimu muda, jina, na hata fedha zako. Moja ya hatua za msingi kabisa ambazo kila mjasiriamali anayejitambua anapaswa kuchukua ni kusajili jina la biashara.
Hii si tu kwa ajili ya kufuata sheria...
Tafsiri ya kitabu The Merchant of Venice.
1939.
SHYLOCK (SHAILOKI) NA ANTONIO
SHYLOCK, Myahudi, alikaa Venice (mji mmoja wa Uitalia). Alikuwa mkopeshaji fedha wa namna mbaya kabisa. Yaani yeye hungoja hadi mchuuzi awe katika hali ya dhiki kubwa ya kuhitaji fedha; ndipo Shylock humkopesha fedha...
Mfanyabiashara wa Tanzania anayechukulia biashara yake kwa umakini anapaswa kuwa na mambo yafuatayo:
TIN Number (Taxpayer Identification Number) – Hii ni namba ya utambulisho wa mlipakodi kutoka TRA, inayomwezesha mfanyabiashara kulipa kodi rasmi.
Leseni ya Biashara – Hutolewa na halmashauri...