mfano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Niliwahi kutoa wazo kama hili kwenye mkutano wa kijiji, watu wakaishi kucheka. Sasa natoa mfano!

    Habari za wakati huu expert mwenzangu[emoji4] siku moja nitauliza ni kwanini tunaitwa "experts" isije kuwa ni maexperts wa kuandika nyuzi[emoji23][emoji119] ..mnaokaa karibu na bahari, maziwa na mito, jamani mungu awape macho, hiyo ni fursa. ninaishi sehemu ambayo upatikanaji wa maji ni...
  2. K

    Rais Samia: CCM inatakiwa kuwa mfano wa kuigwa na vyama vingine

    "Ikumbukwe kuwa CCM inatakiwa kuwa mfano wa kuigwa na vyama vingine hivyo, katiba sheria na kanuni lazima zifatwe.”-Rais Dkt. Samia Suluhu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amezungumza hayo wakati akifungua mkutano wa kumi wa CCM uliofanyika leo mkoani Dodoma. Katika...
  3. Uchafu wa uchaguzi uliotajwa kufanyika CCM, huu ndio mfano mmoja wapo (video)

    Hiki ndiyo kilichokuwa kikitokea kwenye uchaguzi wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Simiyu ambao ulifanyika Alhamis ya wiki iliyopita, Novemba 17, 2022 Huu anayeonekana ‘staa wa muvi’ ni Diwani wa Viti Maalum Wilaya ya Maswa, Witness Philipo (Mama Dwese) akionekana kuweka...
  4. R

    Kwa Mfano Ndege iliyoanguka ingekuwa ni Ndege ya Adui kutoka Taifa jirani ingechukua Muda gani kukabiriana nayo?

    Wakuu nimejaribu kuwaza kiusalama zaidi. Mungu si athmani hii iliyoanguka na kuchukua muda mrefu kuokolewa kama ingekuwa ni ndege ya kivita kutoka kwa maadui wetu jirani. Kwa mfano lakini. Ingechukua muda gani kukabiriana na adui huyo? How fast is our rapid response teams for any aspect of...
  5. Kutokwa na damu ya hedhi kidogo au mfano wa matone

    Kiasi na muda wa kutokwa na damu ya hedhi kwa ufanisi wa homoni ya ''estrogen'' kunaweza kutofautiana sana, kulingana na muda na kiasi cha homoni ya 'Estrogen'' kilichopokelewa na tabaka la ndani la mji wa uzazi (endometrium). Sababu kuu ya mwanamke kutokwa na damu ya hedhi kidogo au mfano wa...
  6. B

    Lililokuwa taifa la kupigiwa Mfano halipo tena

    Tanzania ya enzi za Nyerere ikiheshimika kila pembe ya dunia haipo tena. Tanzania hiyo ilikuwa na misimamo yake iliyojulikana na isiyotetereka. Uhuru wa Tanzania hiyo haukuwa na maana yoyote bila Afrika yote kuwa huru. Uhuru wa Tanzania hiyo haukuwa na maana yoyote kama kulikuwa na ukiukwaji...
  7. M

    Mambo ya Walawi 18:22: Usilale na mwanaume mfano wa kulala na mwanamke; ni machukizo

    Katika sura yote ya 18 ya kitabu cha mambo ya Walawi kwenye Biblia, Mungu amekataza mambo machafu yahusianayo na ngono ikiwemo kuoana na ndugu wa karibu, ikiwemo pia kulala na wanyama. Uzi huu ni kumbushio maalumu juu ya unajisi utokanao na ushoga. Uchafu wa mambo hayo HUINAJISI NCHI, hata nchi...
  8. Huu ni mfano wa kuigwa. Raia wema wasalimisha silaha haramu huko Ruvuma

    Kamanda wa Polisi Mkoa Ruvuma ACP MARCO CHILYA akionesha baadhi ya silaha zilizosalimishwa na raia wema baada ya Notisi ya msamaha wa usalimishaji wa silaha kwa hiari zinazomilikiwa kinyume cha sheria.
  9. J

    Kumbe mahakama ya ICC inasaidia sana Africa kuwa na amani, mfano huu hapa

    Mahakama ya ICC inasaidia sana kutunza amani Afrika Raila Odinga, mgombea urais katika uchaguzi wa Kenya uliopita amekiri aliogopa kushtakiwa ICC ndio maana hakuleta vurugu awamu hii ICC imekuwa ikilaumiwa kuwa inawaonea viongozi wa Afrika kwani ndio wamekuwa wakishtakiwa huko tu, japo hili...
  10. Mkurugenzi PSSSF kikaangoni kwa kujikopesha fedha ya kujinunulia gari

    Mkurugenzi wa Ununuzi na Ugavi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bw. Ernest Khisombi Septemba 12, 2022amefikishwa mbele ya Baraza la Maadili kwa tuhuma za kujipatia mkopo wa gari binafsi wenye thamani ya Shilingi 196,570,931.00 kinyume na Sheria ya Maadili ya Viongozi wa...
  11. T

    SoC02 Tufanyeje kupata Jiji la mfano kimazingira, Bajeti isiwe sababu

    Utangulizi Muonekano wa mji au jiji una nafasi kubwa sana katika furaha ya mtu, kuanzia kiakili mpaka kiuchumi. Sasa,ni muda sahihi, kuwa na mji ambao tutakutana na hewa safi, muonekano safi, bustani nzuri, miti bora ya barabarani na kivuli chake katikati ya mji. Si wakati wa kukutana mara kwa...
  12. Katiba Mpya: Rais akifanya kosa la jinai ofisini ashitakiwe, Trump ni mfano mzuri

    Leo Trump anachunguzwa na Serikali ya Marekani kwa wizi wa siri nzito za serikali. Siri hizo Trump anazifahamu kwa vile alihusika nazo, lakini kitendo cha kuziiba(kwa maana ya kuondoka na nyaraka za serikali kijinai) , Trump inawezekan akashitakiwa mahakamani. Nchi yetu Tanzania vivyo. Katika...
  13. Naibu waziri wa maji, Mhandisi Marryprisca Mahundi ni Kiongozi shupavu mfano wa kuigwa

    Wanajamiiforum habari, Kama kuna viongozi wenye karama ya uongozi duniani ni pamoja Mwanamama Mhandisi Marryprisca Mahundi, Kwanza amejishusha, anafanya kazi bila kuchoka pamoja na Jografia ya nchi yetu lakini bado hachoki kupambanua taifa lake Tanzania. Zaidi Ni kiongozi anayependa kusikiliza...
  14. K

    Kenya ni mfano wa kuigwa kwenye Demokrasia

    Kenya imekuwa mfano mzuri wa kuigwa kwasababu kila uchaguzi wanafanya vizuri zaidi. Ukweli ni kwamba pamoja na matatizo yao wanapiga hatua mbele kwenye demokrasia wakati nchi jirani karibu zote ziko palepale. Juzi walisema mimi ni Mwigulu kwasababu ya kumtetea Mama Samia kwenye tozo. Leo...
  15. F

    Bondia Mwakinyo ni Mfano halisi wa Watanzania walio wengi katika nyanja mbalimbali!

    Muda mfupi uliopita nimetoka kuangalia pambano la ngumi kati ya Bondia Mwakinyo na Smith,pambano ambalo limeniudhi na hata kunitoa machozi! Kama kawaida Mwakinyo ameonyesha tabia halisi ya Watanzania walio wengi! Watu wasiokuwa na confidence,malengo wala ndoto kubwa (big dreams)! Watu...
  16. Waliompenda Rais Samia toka zamani wengi wao walikuwa wanaitwa Sukuma Gang, wafuasi wa mwendazake walitaka asifike alikofika leo

    Rais Samia tuliokupenda tulikuambia ukweli kuwa njia uliyoanza nayo haikuwa sahihi ulianza kabisa kwa kutoboa matundu ya kukusanyia pesa ili hali ukijua kuwa kuwalegezea matajiri lazima masikini ateseke. Mimi nilitumia principle ya physics inaitwa principle of conservation of energy which...
  17. Simba Queens ni mfano wa kuigwa namna taasisi imara inavyoendeshwa kwenye mpira!

    Simba queens imekuwa timu ya kwanza ya wanawake kutoka Tanzania kwenda kushiriki ligi ya mabingwa Africa. Hapo unaona uwekezaji mkubwa unaofanywa na mo dewji ukisimamiwa na mwanamama babra Gonzalez ambaye ni moto wa kuotea mbali kwenye usimamizi wa taasisi ya mpira. Simba kwa sasa sio level...
  18. Serikali inathamini wananchi wake, mfano ni Wanamsomera

    Miaka ya 1970 wananchi walihama kutoka sehemu moja hadi nyingine ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za kijamii. Sasa wananchi wanatoka Ngorongoro kwenda Msomera kwenye huduma bora za kijamii zilizowekwa na Serikali ya Awamu ya 6. Wanapohamia Msomera wanaenda kuwa maisha bora na kupata...
  19. J

    Tundu Lissu atoa elimu ya Uraia kuhusu Usalama wa Taifa na Mamlaka yao Kisheria. Viongozi na wasomi wengine waige mfano huo wa kuelimisha jamii.

    ..kwa kweli elimu anayoitoa ni ya kupigiwa mfano. ..Ni vizuri wananchi wengi zaidi wakaelewa haki zao.
  20. F

    Wasomi wetu mbona hamfungi Ndoa za umri mdogo kama zamani mfano Rais wa Kenya Ruto na Mkewe Recho?

    Habari wadau. Nimeona kwenye tv. Historia ya mshindi wa urais Kenya. MR RUTO. Alimaliza degree yake ya sayansi ya mimea katika chuo kikuu cha Nairobi mwaka 1991 na alifunga ndoa na mchumba wake baada tu ya kumaliza chuo. Alifunga ndoa huku yeye Ruto akiwa na umri miaka 23 na mkewe Recho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…