Sababu za kijana HECHE amekuwa mfano wa kiongozi bora vijana kumpita Mwigulu.
Kwasababu haonekani fake kama jamaa yetu Mwigulu ambaye ameweka dharau kwa watanzania wa kawaida, fake uzalendo kwa kuvaa bendera na kuwa kati ya mafisadi papa kwa kupata 10% ya miradi hasa ya treni kutoka kwa...
Naona kuna baadhi ya mawaziri wakiingia kama wana mambo yao vile wakiondoka yameisha?
Mfano waziri fulani alikuja na vazi la taifa , mwingine singeli mwingine contents creators, ........
DAR - Watu wa Kilimanjaro, Pemba, Njombe, Kigoma, Mara, Mwanza, n.k.
MWANZA - Watu wa Simiyu na Mara.
ARUSHA - watu wa Kilimanjaro wamedominate sana
Mbeya - Watu wa Njombe
Dodoma na Tanga sijajua
Wakuu kwema
unaweza kufanya taratibu gani kuanzisha mradi wa kuuza maji katka jamii mfano ukauza island ila ukafunga kabisa na mifumo yote na mita utaratibu ukoje mpk ukamilishe kila ktu na faida yake inakuwa vipi msaada wakuu
Hawa jamaa sijui uwa wanafikiria nini katika muundo wa simu zao .
Simu ina camera moja nyuma ila designer anaweka marings matatu ili waonekane kama iPhone macho matatu, na wateja wasiojua wananunua wakidhani ina camera tatu kweli.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote leo Januari 8, 2026 katika ukumbi wa Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, amesema Tanzania tuna Rais wa mfano anayejali na kuwahurumia watu...
Kuwe ni Bongo movie, Hollywood, Disney, Pddy music na n.k
Hakuna sehemu itawaacha salama wengi labda wakubali masharti ambayo wamudu kuendelea na umaarufu.
Kuna television inaitwa Nickelodeon na ndio channel ya watoto wanayopenda sana ambayo iliibua vipaji vya waigizaji watoto wengi.
Ila...
Kurundika wasomi wote wasome Dar kuna changia mazingira ya ushawishi wa vijana ambao wanatoka mikoani kutoshawishika na mikoa mingine.
Hongera UDSM kufanya campus yenu kuwa mkoa wa kagera ili kuvutia wanaotoka mikoa ya kanda zaiwa na nchi jirani kusoma.
Kuweka campus kubwa kuna saidia...
Tanzania kuna mahali kuna shida na hizi shida sio kwao kwa watawala tuliopo nao.
Ukusanyaji wa pesa ungekuwa na mpangilio mzuri hakuna mtu angeshindwa kuchangia ila mfumo uliopo sio mzuri.
Fikiria kama serikali ingeweza kuweka bima ya mwezi 2000 hata chokorohaa na wasio jiweza wangelipa maana...
Zipo nchi nyingi zilizopata chanzo kidogo mfano ufaransa ilishawai kupindiliwa kwa mkate tu.
Tuje tunisia hapa kulifikia shida zote zao mpaka kunuka shida huku watawala wakila keki ya nchi.
Ilitokea kijana mmoja baada kumaliza chuo kwa tabu na kukosa ajira ikabidi kujiajili mwenyewe kuuza...
Uhusiano wa China na Afrika umeweka mfano mzuri wa kuigwa wa ushirikiano wa Kusini na Kusini, na kuchukua nafasi muhimu sana katika kuendeleza mfumo wa usawa na jumuishi zaidi wa usimamizi wa dunia.
Rais na mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Sera ya Afrika yenye makao yake makuu jijini Nairobi...
Hawa wanaotetea serikali hii ukichunguza sana utafahamu nini kipo nyuma ya pazia.
angalia hapa
Angalia hapa unajua kampeni ya kuleta wasanii na yeye kujifanya kama marehemu ruge.
Mimi nawaambia kila siku ukiona utajiri wa mtu gafla ujue nyuma ni mali za watu hizo angalia hapa mwenye mali.
Unapozungumzia sijui angalieni sudan nacho mwambia na yeye akaangalie Wasafi ze story book kwa nini sudani ilifikia pale.
Mlipofikisha hapa mbona unaruka kama CD imechubuka.
ujataja haya mambo:
• Uchaguzi feki,
• Utekaji,ufisadi,uhuru wa haki.
Kama yupo au anayemfahamu mwambieni The story...
Unajua hata kwenye kupima mizani kuna mambo hayaaingii akilini.
Machawa na Wajinga wanaotumwa na Samia kujaribu kutuliza upepo wanaleta propaganda mfu eti Wanaonewa na CNN
Wanasahau jambo lililosemwa na CNN kitaalam zaidi lilishasemwa na vyombo vinavyoaminika vya kimataifa vya habari wakiwemo...
Wanabodi,
Huyu ndiyo RC BORA kuliko wote kwa sasa hapa Tanzania, huyu Mheshimiwa angalau aliweza kukutana na wananchi wake pale Makambako - Mkoa wa NJOMBE na kuwapa neno la faraja wale wote waliopatwa na matatizo yaliyojitokeza MKOANI kwake na akalia machozi na wananchi wake.
Nawasilisha haya...
Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na uchaguzi mkuu 2019/20, 2024 na huu unaotarajiwa 2025 uko wazi:
Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na wapalestina Gaza huko, unajulikana:
Papa Francis: Awacharukia "war mongers" wa mashariki ya kati wasiotaka amani
Tofauti ya wazi kabisa baina yao...
dhidi
gaza
haki
kanisa
kanisa katoliki
katoliki
kilokole
kuelekea
kuelekea uchaguzi mkuu
madhehebu
mfano
mkuu
nchini
uchaguzi
uchaguzi mkuu
wapalestina
Siongezi neno:
"Mwanamke aliyetarajiwa kufungua njia kwa wanawake wengine kuwa viongozi Afrika, kwa mshangao mkubwa, amegeuka kuwa dikteta hatari, na kuweka kiwango kipya cha udikteta, kiasi cha kumfanya M7 kuonekana ni mtakatifu"
"A woman who was expected to open new frontiers for women...
Mara nyingi tumekuwa tukiweka mifano ya USA kama ndio Target, lakini kwa wakati husika inabidi tupatumie kama what not to became; na upuuzi unaofanyika sasa unaweza kupelekea ionekane kama ni the norm, hivyo hata kama tumepotea sasa hivi kama target ni Current USA basi huenda ndio tutadumbukia...
Nikiwa nimeishi nchini China kwa miaka mingi sana tangu mwaka 2008, na kushuhudia nchi hii ambayo sasa ni ya pili kwa uchumi mkubwa duniani inavyobadilika hatua kwa hatua, chini ya muongozo wa chama tawala cha Kikomunisti cha China yaani CPC, na kwa ushirikiano mkubwa wa vyama vingine vidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.