meta

Meta (from the Greek μετα-, meta-, meaning "after" or "beyond") is a prefix meaning more comprehensive or transcending.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mange Kimambi: META waliisaidia Serikali ya Tanzania kufuta akaunti yangu ili kuficha maovu ya Serikali yasiwafikie Watanzania

    Itakuwa kosa kubwa sana kwa Seneti ya Marekani kujadili mauaji ya kikatili ya Oktoba 29 nchini Tanzania bila pia kuchunguza nafasi ambayo Meta ilicheza katika kuisaidia serikali ya Tanzania kuficha mauaji hayo na kueneza ukandamizaji wake nje ya mipaka ya Tanzania. Wakati serikali ya kigeni...
  2. JamiiForums Tanzania The Battle of numbers: Me (The ghost writer) vs Meta AI

    Who gonna having battle like this one😂😂...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Meta kuanzisha Huduma za Kulipia (Subscriptions) Kwenye Instagram, Facebook, na WhatsApp, Mipango ya AI Yaja

    Meta Imeweka Mkazo Zaidi Kwenye Huduma za Kulipia (Subscriptions) Siku ya Jumatano, kampuni hiyo kubwa ya mitandao ya kijamii ilitangaza kuwa inazindua rasmi huduma zake za kulipia kwa watumiaji wa kawaida duniani kote kwenye programu zake kuu za Instagram, Facebook, na WhatsApp. Pia, imeanza...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Meta yajiondoa, Over 1,100 Jobs ziko hatarini Wafanyakazi Sama Nairobi wapigwa na Shock!

    Wadau, hii ni noma! Kampuni ya Sama imetoa taarifa rasmi kwamba kuna mass redundancy inakuja kwa ofisi yao ya Nairobi . Sababu kubwa? Mteja wao mkubwa Meta ameamua ku-terminate contract yao. Kwa mujibu wa taarifa ya April 16, 2026, Sama walisema walijaribu ku-engage Meta ili kuokoa situation...
  5. JamiiForums Tanzania Kuwa makini na Meta AI

    Imeulizwa maswali machache, na haya ndiyo majibu.
  6. O

    JamiiForums Tanzania New location fees are coming from meta

    .
  7. JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya Meta AI na ChatGPT?

    Wazee wa mji naomba kwa uzoefu wenu ipi ni nzuri kati ya Meta AI na ChatGpt kwa kutafuta majibu ya mambo mbali mbali ?
  8. JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya Meta AI na ChatGPT?

    Wazee wa mji naomba kwa uzoefu wenu ipi ni nzuri kati ya Meta AI na ChatGpt kwa kutafuta majibu ya mambo mbali mbali ?
  9. JamiiForums Tanzania Tuisusie META na platforms zake. Wanashirikiana na Samia kuminya demokrasia

    Ndugu Watanzania, Wakenya, Waganda na Waafrika wenzangu Kitendo cha kampuni ya META kushirikiana na serikali ya Samia kuminya uhuru wa maoni na kuzuia umma na dunia kufahamu matukio ya mauaji ya kutisha kuanzia Oktoba 29 na kuendelea, ni ukiukwaji mkubwa wa uhuru wa maoni na haki ya kupata...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania imeiponza META kwa kukubali kufungia akaunti za wanaharakati. Elon Musk kaanza kuwasagia kunguni

    Kuna mambo yanaweza kuonekana madogo ila sasa yanaanza kuwafanya wengine kujutia huko walipo na makampuni yao. Ila jambo la Tanzania sio dogo yani duniani sasa linajulikana kuwa nchi iliyojaa mkono wa chuma na mauwaji. Mnakumbuka META ilishawahi kufunga account ya Trump na wengine wengi kisha...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kutishia kuwafungia META ni kujitisha

    Larry Madowo ameendelea kujichukulia point muhimu kwa sakata linaloendelea Tanzania. Hivi karibuni amewahoji META sababu za kufungia akaunti za Mange, Maria Sarungi na SATIVA ambapo wamesema wasingezifungia TCRA iliwaambia wangewazuia kuoperate Tanzania. Ushajiuliza kuzuia META ku-oparate...
  12. JamiiForums Tanzania Meta watoa ufafanuzi wa maamuzi ya kufuta na kuzuia akaunti za watanzania

    Tanzania threatened to block Facebook, Instagram and WhatsApp in the country if Meta refused to block accounts of 3 activists.
  13. JamiiForums Tanzania So Samia gorvement is blackmailing meta?

    Tanzania threatened to block Facebook, Instagram and WhatsApp in the whole country if Meta refused to block accounts of 3 activists. Meta banned two of them and restricted the third
  14. JamiiForums Tanzania Kama Meta inaweza kusikiliza Serikali ya Tanzania, hawa wafuasi siku wakipata mtandao wa kijamii mwengine wamekwisha

    Kufungia account za wanaosema ukweli na wanaharakati kwenye mitandao ya kijamii kupitia Meta kunaonesha kujipoteza. Mi navyo wafahamu warusi na nchi nyengine ambazo social media zao zijaweza kuwa watu wengi na hii ndio itakuwa njia yao sahihi kutembelea kitonga. Kama wanaharakati wakipata...
  15. JamiiForums Tanzania META ina Wanasheria wakubwa sana duniani, haifanyi maamuzi kwa kukurupuka, kuuliza kwanini imefunga account ni sawa na kujidhalilisha

    META ina Wanasheria wakubwa sana duniani, haifanyi maamuzi kwa kukurupuka, kuuliza kwanini imefunga account ni sawa na kujidhalilisha Kabla ya kufunga account za watumiaji inahakikisha ina vielelezo vya kimataifa vya Kisheria ambavyo itatoa Mahakamani endapo kama vitahitajika Wanasheria wa...
  16. JamiiForums Tanzania META wamekata kiu ya wazalendo wengi wa Tanzania. Pongezi kwao.

    Ninaandika nikiwa na furaha iliyopitiliza. Mimi na wazalendo wengine tumefurahishwa mno na kitendo cha META kufungia accounts zote za wanaharakati uchwara wanaochochea machafuko nchini. Mark Zuckerberg na kampuni yake wamefanya kitu sahihi katika wakati sahihi. Mange na Maria ni maadui wa hili...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 TCRA yazuia maudhui ya Mange Kimambi kuonekana Tanzania. Waamuru Meta kufuta post zake!

    Mafisadi yamejipanga Kwa njia zote. Leo wameamuru meta ambao ni wamiliki wa Instagram kushusha post zote za kuhusu ufisadi wa serikali Kwamba serikali haitaki kuona post za watoto wa fisadi Seleman Momba ambaye ndo mkurugenzi wa usalama wa Taifa wakichezea mamilion ya USD nyumbani huku wananchi...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Fanya settings hizi kulinda accounts yako ya Meta

    HATARI TATU ZA KISIRI KWENYE META UNAZOPASWA KUZIZIMA MARA MOJA! Katika ulimwengu wa kidigitali, kila ‘like’ unayobonyeza, kila kitu unachoangalia, na kila chapisho unachotazama—kinafuatiliwa. Meta (Instagram, Facebook, na bidhaa zake nyingine) hutumia taarifa zako kukut bombard na matangazo...
  19. JamiiForums Tanzania Nauza Kiwanja Goba Njia Panda Tegeta A meta 130 toka Skymark Supermarket

    Wakuu nauza kiwanja changu mwenyewe hakina Dalali. Bei mil 200 Ukubwa 1405M² Barabara zinapitika muda wote, kipo kabla ya kanisa la Methodist Barabara ya lami ya Goba Mbezi Luis ipo 130M toka kilipo kiwanja Kina Hati ya miaka 99 imeshaisha 4 tu Maji na umeme vipo jirani Serious buyer PM only
  20. JamiiForums Tanzania Marekani: Meta Yaweza Kulazimika Kuuza Instagram na WhatsApp

    Kampuni ya teknolojia ya Meta, inayomilikiwa na bilionea Mark Zuckerberg, huenda ikalazimika kuuza Instagram na WhatsApp kufuatia kesi ya ukiritimba (antitrust) inayosikilizwa nchini Marekani. Meta, ambayo pia inamiliki Facebook, ilinunua Instagram mwaka 2012 na WhatsApp mwaka 2014. Serikali ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…