mengi

Mengi is a common masculine Turkish given name. It means "eternal", "without a beginning", "having no beginning". It is an Oghuz accented version of Mengü which is also a Turkish given name. Compared to Mengü, Mengi has an additional meaning: "happy".

View More On Wikipedia.org
  1. Nina maswali mengi juu ya mashetani aliokuwa akipandisha mama yangu mzazi

    Hello wapendwa, kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza apo juu. kipindi nilivyokuwa mdogo miaka 7 niliona kwa macho yangu bi mkubwa akipandisha mashetani na kuongea lugha ambayo nilishindwa kuielewa (kiarabu) alieweza kuongea nae alikuwa mama mkubwa na yeye lazima apandishe mashetani ndio waweze...
  2. Appartments design 2bedrooms ,lounge kitchen 2verandah . Plot of 600sqm 4units call us for design and construction services

    SISI TUNAHUSIKA NA DESIGN + UJENZI OFISI ZETU ZIPO SINZA DAR ES SALAAM CALL/WHATSAP +255624004650
  3. Video: Sakata la Elie Mpanzu lachukua sura Mpya. Ayaibua mengi mazito

    Hili limechafua hali ya hewa
  4. SIKU YA KESHO TUFUNGE KUIOMBEA SIMBA IFUNGWE MAGOLI MENGI MOROCO

    HABARINI ZA UZIMA WANA UBAYA UMWELA KESHO TUTAKUW NA MFUNGO MAALUM KUANZIA ASBH MIN MASAA SABA MAX 12 UNAWEZA LENGO KUU BERKANE ASHINDE KWA MAGOLI MENGI KULE.MOROCO TTUIMBEEEE MAGOLI YA BERKANE YAWE MENGI WAKIRUDI WAFUNGWE KWA MKAPA MAGOLI MENGI YA KUTOSHA BERKANE AWE BINGWAAA OMBI MAALUM...
  5. Kwanini Mungu alimpenda sana Daudi ,japokuwa alikuwa na machafu mengi?

    DAUDI ALIKUWA NA MADHAIFU MAKUBWA Daudi hakuwa mkamilifu. Alifanya makosa mazito kama: Kuzini na mke wa Uria (Bathsheba) Kumuua Uria kwa njama ili kuficha kosa lake (2 Samweli 11:1–27) Haya yalikuwa makosa ya kimaadili na kisheria mbele za Mungu. LAKINI DAUDI ALIPENDA KWELI NA HAKUWA...
  6. Bw, Mnyika kama kiongozi uliyesaidia transitional, how do you survive?, maswali ni mengi sana!

    Wenye akili zetu tumekaa tu kimya tunakuangalia, #Pole sana bw. FAM.
  7. Unataka Kuku wanaotaga Mayai mengi? Hawa ndio 5 bora wanaokuachia mpaka 318 Mayai kwa mwaka!

    Hello Wafugaji wenzangu 👋🏽, Nimeona kuna watu wengi wanaanzisha ufugaji wa kuku, hasa kwa lengo la kupata mayai ya kutosha kwa matumizi au biashara, lakini ndani ya miezi michache wanakata tamaa. Nimeona hii mara kwa mara, na mara nyingi chanzo kikubwa ni kununua kuku bila utafiti sahihi...
  8. Wananchi wana maarifa mengi kuliko mamlaka?

    Je ni kweli kwamba wenye akili wako mtaani na wengine ndio wako kwenye mamlaka walioaminiwa na kukasimiwa madaraka makubwa ya maamuzi? Je ni kweli na pengine ni sahihi kusema kwamba wana maono kimo cha mbilikimo? Kwa wenzetu walionyooka kama rula ukituhumiwa tuu.. Cha kwanza ni kuachia kiti na...
  9. Kwa nini Historia ya Tanzania kabla ya uhuru ina masimulizi mengi tofauti kwa jambo moja?

    Tanzania mambo ya miaka 1800's na 1900's unaweza kupewa historia moja ina versions(masimulizi) mawili au matatu tofauti kabisa! Kwa nini imekuwa hivi ikiwa inasemekana watu wengi wa pwani tayari walikuwa wanajua kuandika na kusoma enzi hizi? Ukienda Marekani Chuo kikuu cha Havard...
  10. R

    Elimu ya chuo imekaa kipigaji sana, masomo mengi unayosoma hayana msaada kazini.

    Nikiangalia Transcript yangu iliyojaa lundo la masomo niliyosoma nikilinganisha na kazi nayofanya, naona masomo mengi yalikuwa hayana umuhimu wowote ule. Ni masomo machache sana utayoyatumia practically kazini. masomo mengi ilibidi yawe kwenye kozi nyingine ila yamerundikwa ilimradi tu, masomo...
  11. Waliotaka kuniona, maswali yasiwe mengi

    Na niweke wazi, nimeoa na hakuna nafas ya kuongeza mke mwengine.
  12. Wenzangu hali si hali nimekwama

    Yaani napitia sana matatizo mengi ikiwemo afya yaani humu kwasababu hata hatujuani . Mtu anafungukaga tu. Ila haya matatizo sijui nayatatuaje nimechoka nimezunguka miji yote sipati tiba . Yaani hadi nimechokaaa. Nikitu nakifahamu ila kutolewa niwe huru imeshindikana . Humu ukisaiduwa napo ni...
  13. K

    Aibu hii imenikumbusha mengi!

    Habari Ndugu na jamaa, nashukuru Mungu, Muumba mbingu na Ardhi kwa Uhai huu. Tunaishi katika Dunia yenye mambo mengi ya kufurahisha, kuhuzunisha na ndio Maisha! Umri Kumbe umesonga! Kuna Kasi hana, nilikuwa nakafukuzia huku mtaani, kazuri kameumbika kwa kweli, Mimi ninavyokaona. Nikawa nakapa...
  14. Utavumilia mengi kwa mwanamke ila mwanamke mwenye kisirani kikali lazima uombe pooh tu.

    Utaonya Utaita vikao Utapiga Haitasaidia chochote, Ni aina fulani ya watu ambao hata kama yeye ndio amekuudhi eti anataka wewe ndio umuombe msamaha au umchangamkie. Hawa wadada wenye visirani hata kama amekuudhi kupitiliza na umeshikwa na hasira umempiga kakofi unashangaa anakuambia "we niue...
  15. Je, unajua? Ubatizo wa maji mengi ni ishara ya mtu kufa na kufufuka na Yesu Kristo

    Ubatizo wa maji mengi ni ishara yenye maana sana kiroho. Mtu anapozamishwa ndani ya maji mengi, wakati wa kubatizwa, anaonyesha kuwa utu wake wa kale uliojaa dhambi, umekufa na kuzikwa pamoja na Kristo. Na anapotoka majini, ni ishara ya kufufuka pamoja na Yesu na kuanza maisha mapya ya...
  16. Safari za usiku zina raha yake ila mashaka yake mengi

    Safari za usiku nazi-enjoy zaidi kama mimi ndiye naendesha. Lakini nikisafiri kwa basi, wasiwasi huanza pale ninapoona abiria wote wamelala—mpaka konda naye kalala! Yaani mtu ambaye angepaswa kuwa macho, ampige stori dereva ili apate kampani, naye kajizima. Halafu basi iwe barabara nzuri...
  17. Ndoa za watu maarufu zina mengi

    Alikuwa hanipi tendo mpaka nimlipe 400k wakati ni mke Wangu" Manara.. Hii si Mara ya Kwanza Manara kudai kulipia tendo la ndoa kwa mkewe hata kwa yule aliepita alidai hivyo
  18. Hivi kwanini masikini ndio wanaoota ndoto za ajabu na makorokoro mengi?

    Sijawah kusikia tajiri kasema ameota amerudi kwa bibi kula kisamvu kilichonganywa na togwa😂😂 Wala haujarogwa, ni akili yako ina reflect tabu zako za maisha yako asilia😂😂
  19. Ugonjwa wa kuku kujaa mafuta mengi mwilini hadi kipelekea kufa

    Ninapoishi kumezuka huu ugonjwa wa kuku kujaa mafuta mengi mwilini hadi kushindwa kula na kufa kabisa. Kama akichinjwa kabla hajafa akipikwa hutoa mafuta mengi wastani wa mils 100 na kuendelea. Mwenye kujua tiba yake nahitaji kujulishwa tafadhali.
  20. Nilimuoa mwaka 2003 ndoa hii ina mambo mengi sana

    Habari za usiku. nina mke yapata miaka mingi imepota. Ana 40 na mimi nina 55 Sijawahi kumfumania Sijawahi kumuona kero Ushauri wenu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…