Moja kwa moja.
Sio kwamba namchukia kufikia levo hiyo hapana , ila ninakaugonjwa Cha kupenda kuwakomesha Wazembe , Wajinga , Wahalifu , Wapumbavu na wengine mfano wao.
Pamoja na Mgerasi Busu la Kenge Maghayo The Mongolian Savage kuwa kwenye kifungoni kirefu yeye na genge lake ila bado...