media

  1. JamiiForums Tanzania Jinsi Social Media Inavyochangia Tech Culture Tanzania

    Yo, wadau wa tech! Social media imekuwa kama nguvu kubwa kwa ukuaji wa tech ecosystem hapa Tanzania, na leo tunaangalia jinsi platforms kama JamiiForums, X, Instagram, LinkedIn, WhatsApp, YouTube, na TikTok zinavyobring tech enthusiasts pamoja, kushare knowledge, na kushare events za tech. From...
  2. JamiiForums Tanzania Bila promo ZeroBrainer endelea kuiheshimisha Tanzania

    Siku chache nilileta blames kuhusu Zero Brainer kutopewa nafasi kwenye michuano ya CHAN, ili tumpe nguvu na promo kulitangaza taifa. Kipindi naanza kumfatilia sikujua kama ni Mbongo, nilijua ni shabiki tu wa Tanzania. Baadaye nikashangaa alipodai ni Mbongo. Teuzi tunazitoa kwa kujuana na si...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Vijana 19 wauawa Nepal kwenye maandamano baada ya Serikali kufungia mitandao

    Takribani watu 19 wamepoteza maisha na kadhaa kujeruhiwa nchini Nepal baada ya maandamano dhidi ya ufisadi wa kisiasa na baada ya serikali kuchukua hatua ya kufungia mitandao ya kijamii amabapo maandamano hayo yaligeuka kuwa machafuko kati ya waandamanaji na vyombo vya usalama. Maelfu ya vijana...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Waandamanaji Nepal wachoma ofisi za Media iliyokuwa inaunga mkono Serikali

    Ni wakati wa nchi na ulimwengu kwa vyombo vya habari kusimama kidogo na kutafakari wajibu wao katika kuripoti kwa uwazi na uwajibikaji. =================================== Waandamanaji walichoma moto jengo la chombo kikuu cha habari "Godi Media House" nchini Nepal lililopo Kathmandu...
  5. JamiiForums Tanzania Mamlaka acheni kufungia uhuru wa habari

    Suppression of free opinion (media, control, including restriction of social media)... Ni uonevu wa hali ya juu kwa wananchi ambao ni haki yetu kupata habari lakini mamlaka kwa makusudi na kwa maslahi yao binafsi kufungia na kutoheshimu wananchi wake. Mnapofungia vyombo vya habari na majukwaa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Suggestions for Media Performance Optimization on JamiiForums (Mapendekezo ya uboreshwaji wa jamiiforums)

    Suggestions for Media Performance Optimization on JamiiForums Salamu Habari Wakuu, Nilikuwa nimeona vitu kadhaa ambavyo ningependa vifanyiwe maboresho ya haraka hapa JamiiForums ili kuboresha mtandao huu, hasa katika sehemu ya media (videos na picha) na kuhakikisha ufanisi wa matumizi ya data...
  7. JamiiForums Tanzania Tabia ya watangazaji wa Clouds Media kuwasimanga watu wanaotafuta maisha wakiwa wanaishi kwa shemeji

    Clouds Media wameharibu siku yangu mapema sana leo majira ya saa 0600Hrs nikiwa nimelala nawaza nikapige mishe wapi za kuniingizia chochote maana kwa leo nimeamka sina ramani yoyote, sasa nikiwa nasikiliza radio iliyokua imewashwa sebuleni kwa sauti ambayo kila aliechumbani anaweza kuiskia ndo...
  8. JamiiForums Tanzania Ila Mikia wana run media watakavyo. Hizi mbinu sijui wanazitoa wapi?

    Angalia nyuzi. Ni Jersey za Simba hivi , jersey za Simba vile. Yanga tumezindua lakini nyuzi nyingi ni abt Simba. Why? Kwa nini? Nasi Yanga ndo tumekazana kuzi promote jersey za Simba. Mara zimevuja, mara zimefanyaje sijui.... Katika forum nyuzi 10 za sportz 7 ni kuhusu Simba. Iwe kwa mabaya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Media za Bongo mnaandikaje utetezi wa INEC na NIDA wakati hamkutuhabarisha kilichosemwa na Balozi Polepole?

    Wasaaalamu Kama kichwa cha habari kinavyojieleza inakuwaje media za kibongo zinatupa habari za NIDA na INEC wakati hazikutuhabarisha habari zilizosemwa na Mheshim8wa Balozi mstaafu Humphrey Polepole??? Hii imenifanya nikumbuke Former President H E Benjamin Mkapa (rip)alivyowahi kusema hakuna...
  10. M

    JamiiForums Tanzania People who are on social media

    People on social media won’t tell you their parents cover their rent. They won’t tell you an old man is funding their lifestyle in exchange for sex. They won’t tell you their “business success” started with inherited money. Moreover They won’t admit that relatives in government...
  11. JamiiForums Tanzania Mbona habari ya Polepole ya kuiba kura haipewei airtime? Ina maana media zote zimeshikiliwa na CCM?

    Kuanzia , JF na mitandao mingine yote habari ya Polepole ya CCM kuiba kura kwanini media hawataki kuiweka ili wananchi waipate .
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna taarifa kuwa mfadhili mkuu wa kigogo2014 kwasasa kigogo media katika mtabdao wa x zamani tweeter ni yule mwandamizi wa kundi lile la mtandao.

    Hao watu wamejipanga siku nyingi kuandaa media mbalimbali endapo tu wanapoguswa maslahi yao hushambulia watu kwa kuwapa kashifa mbalimbali. Kwa sasa media hii iliyopo huko x zamani tweeter kazi yake kubwa ni kusifia serikali na yeyote anayeonekana yupo kinyume na serikali hushambuliwa kwa matusi...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali mpeni ulinzi wa kutosha Nassoro Katuga, sahivi amekimbia hadi social media zake

    Bwana mdogo huyu mzaliwa wa Kahama mjini, alikuwa na kiburi, jeuri,majivuno mahakamani, amekuwa akisoma mahairisho ya kesi kwa dharau mkubwa Ili amkomoe Lissu. Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Watanzania wamejua familia yake,mke wake na watoto wake wa kike, Hadi kwao kabisa...
  14. JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, hiki kirusi kweli kama media zinavoripoti?

    JE NI KWELI HIKI NI KIRUSI CHA UKIMWI? KAMA BAADHI MEDIA ZINAPOST INSTAGRAM ZIKISEMA HIKI NI KIRUSI CHA UKIMWI KIKIWA KIMEKUZWA KWENYE ELECTRONIC MICROSCOPE BY ANOLD MEDIA
  15. JamiiForums Tanzania Je unahitaji msimamizi wa Mitandao ya kijamii (social media manager)

    Je unahitaji msimamizi wa Mitandao ya kijamii (social media manager) Nitakuwa naweka maudhui ya picha na video pia nitakuwa najibu maswali ya wateja, n.k. Nina ujuzi wa IT (Information Technology), graphics design na masoko ya mtandaoni Mawasiliano: 0756704145 Napatikana Mkoa wa Dar es...
  16. JamiiForums Tanzania Gaza Atrocities and Independent Media Finally Awaken Americans

    The tide in the US is slowly turning against politicians who support the atrocities in Gaza. Could any of this have been possible without the thriving independent media platforms and the internet? https://youtube.com/shorts/0xl8AvsKN40?si=MVvEiRezxymkG5-z
  17. JamiiForums Tanzania Hivi unakuzaje akaunti za Social media na kuwa na followers wengi

    Habari za muda huu Mjumbe 😂 Mimi ninaulizo hili nahitaji kufahamu Mbinu zote za kukuza akaunti za Social media haswa (Instagram na TikTok) Mbinu zote (Halali na zisizo halali) lengo ni kujifunza tu kwa vitendo zaidi wajumbe uwanja ni wenu karibuni kwa maoni....
  18. JamiiForums Tanzania Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii (social media manager) na kazi za IT

    Nasimamia akaunti za mitandao ya kijamii (social media manager) na kazi za IT kwa ujumla. Gharama za kusimamia akaunti zote ni 400,000 Tsh kwa mwezi mmoja. Napatikana Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi. Mawasiliano: 0756704145
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi kuinstall vlc media kwenye hisense smart tv

    wakuu heshima yenu,naomba msaada wa kueleweshwa ni namna gani naweza kuinstall vlc media player katika hisense ambayo ni smart tv? kwa maana haina playstore hivyo siwezi kudownload adroid based programs! Natanguliza shukrani.
  20. JamiiForums Tanzania Je unahitaji msimamizi wa Mitandao ya kijamii (social media manager)

    Je unahitaji msimamizi wa Mitandao ya kijamii (social media manager) ambapo nitakuwa naweka maudhui ya picha na video mtandaoni, kujibu maswali ya wateja na mambo mengine. Gharama yake ni 150,000 Tsh kwa mwezi mmoja. Napatikana: Dar es salaam. Mawasiliano: 0756704145
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…