Wakizungumza leo, Agosti 21 baada ya kuripoti kituoni hapo, Mdude amesisitiza kuwa hawatarajii kurudi tena kituoni hapo hadi jeshi hilo litakapokamilisha upelelezi na kesi yao kwenda mahamakani akieleza kuwa wataendelea na shughuli zao ndani na nje ya Mkoa.
“Tumeambiwa kurudi tena Polisi Agosti...
Hii ndio taarifa inayopatikana mitandaoni usiku huu na hatua hii ni kutokana na washitakiwa hao kuendelea kushikiliwa bila kufikishwa mahakamani jambo ambalo ni kinyume na sheria.
---
Mawakili wa Wilbroad Slaa, Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamefungua (Habeas Corpus) kuwashtaki AG, IGP...
Kwenye hotuba yake ya kwanza akiapishwa Rais Samia mnamo 19/03/2021 alitamka kuwa magazeti yafunguliwe, wananchi waikosoe Serikali kwa mujibu wa sheria. Akasisitiza na kesi za kubambikizwa zifutwe. Akakemea Kodi za DHULUMA zikusanywazo na TRA, na kuikemea TAKUKURU na Polisi kwa kuwanyanyasa watu...
Ndugu Watanzania,
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wakili msomi Boniface Kanjunjule Mwabukusi amekamatwa na Jeshi la Polisi kule Mikumi, Morogoro akiwa pamoja na Katibu wa Kanda wa CHADEMA, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali.
Inadaiwa kuwa walikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam. Kwa...
Leo, Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya inatarajiwa kutoa Uamuzi/Hukumu yake juu ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na wanaharakati wanaohoji uhalali wa Mkataba wa Ukodishwaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai kupitia kampuni ya DP World.
Kuanzia Makao Makuu ya CCM Dodoma na Ofisi zake zote...
Yuleyule aliyefanya figisu hadi kumfutia Leseni mwanadada Fatuma Karume, Mwanasheria mkuu wa Serikali bwana Feleshi amempeleka Wakili msomi ndugu Mwabukusi kwenye Kamati ya maadili ya Mawakili.
Katika malalamiko yake Mwanasheria wa Serikali anasema eti:
1. Mwabukuzi ni mchochezi.
2. Mwabukusi...
bandari
ccm
hatima
haya
huru
katiba
kutokana
mafisadi
mdudenyagali
mkataba
mkataba wa bandari
mwanasheria
mwanasheria mkuu
rais samia
tume
tume huru
uwakili
Julai 17, 2023 RCO Mbeya aliandika barua yenye wito wa kumtaka Mdude Nyagali kutoa vifaa vyake vya kieletroniki kwa ajili ya uchunguzi.
YAH: WITO WA KUKABIDHI VIELELEZO SIMU NA VIFAA VYA KIELETRONIKI JALADA: MBR/IR/285 /2023
KOSA: JALADA LA UCHUNGUZI
(Imetolewa chini ya K/F 10 (2) na 10...
Fuatilia yatakayojiri kwenye mkutano na waandishi wa habari ambapo Dkt. Salaa, Askofu Mwamakula pamoja na Mawakili Mwabukusi na Madeleka watakuwa wazungumzaji wakuu, leo Julai 12, 2023 saa 4:00 asubuhi.
Ni kuhusu suala la DP World.
===
===
MKUTANO UMEANZA
Askofu Mwamakula anazungumza...
askofu mwamakula
conference
dr slaa
mdudemdudenyagali
mjadala dp world
mkutano
muhimu
nukuu
nyagali
press conference
slaa
waandishi
waandishi wa habari
Mdude_Nyagali
Kwanza nakupa pole mno kwa mambo yaliyokukuta. Umepitia mateso makubwa sana kwa sababu ya Imani yako ya kisiasa nakwa sababu ya uzungunguzaji wako na hoja zako.
Tangu ulivyotoka jela nimekusikiliza sana, kuanzia Clubhouse na kwingine kote ulipofanya mahojiano. Kwa kweli...
Mnasema ndani ya siku 7 mmewafikia 93% ya watu wote halafu mnaongeza Siku 7 kwa 7% zilizobakia? Mnapenda uongo lakini uongo unashindwa kuwapa ushirikiano. Mmeiba bilion 600+ mmewadhulumu makarani posho zoezi likasimama sasa mmeongeza Siku 7 ili kuficha aibu. Shame on vibaka nyie.
Wameshatafuna...
Labda wengi wenu hamkumbuki jinsi Steve Biko wa Afrika Kusini alivyouwawa na Jeshi katili la Afrika Kusini. Kwa kifupi basi, ni kwamba baada ya kupigwa sana kwa ajili ya harakati zake za Black Consciousness Movement , akiwa na majeraha, Steve Biko alifungwa pingu na kuwekwa katika Land Rover na...
..Haiwezekani mhanga atoe ushahidi kama huu wa Mdude halafu hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi ya waliohusika kumtesa.
..Ninashangaa kwanini Tume ya Haki za Binadamu, Chama cha wanasheria wa Tanganyika, na asasi nyingine za haki za binadamu, ziko kimya kuhusu suala hili.
..Msikilizeni Mdude...
Kama ungependa kufahamu namna awamu ya 5 ilivyosigina HAKI ZA BINADAMU nchini Tanzania, basi hutakiwi kukosa nakala ya kitabu kilichotungwa na Mhanga namba 5 wa Utawala ule aitwaye Mdude Nyagali, ndani ya kitabu hicho mmefunuliwa kila unyama na uchafu wote uliofanywa katika kusigina katiba ya...
Kwamba kilichojiri Mwanza hakipendezi, ni suala la wazi kwa mtu yeyote anayetaka kuona Tanzania yenye amani na mshikamano.
Hata hivyo, matukio kama haya yanaibua tafakuri ambazo baadhi ya wenzetu wanaweza wasizipende.
Majuzi tulimsikia Mdude akimtahadharisha Mama Samia kuwa "wembe uliotumika...
Wahenga walisema “Muungwana akivuliwa nguo huchutama” na “asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu.“
Tarehe 01 Julai 2021 Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA) akiwa katika kongamano la kudai katiba mpya alitoa matamshi yasiyokuwa na staha yenye kuleta ukakasi na kichefuchefu kwa kila anayeyasikia...
Habari zenu ndugu zangu,
Wakuu wenzangu, wakati Rais Samia anaingia madarakani wengi tulimshauri aache kufanya maamuzi kwa kufuata mashinikizo ya watu ndani ya mitandao ya kijamii. Kama ilivyo kawaida ya ushauri ni mshauriwa kufuata au kuacha kufuata anachoshauriwa.
Raisi akaamua kupuuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.