Ndugu zangu Watanzania,
Mimi huwa sipendi unafiki wala kumfariji mtu wala kuzunguka zunguka.Mimi huwa nasema ukweli hata kama ni Mchungu kwako.
Binafsi nimefarijika sana na Hatua ambazo Jeshi la Polisi limechukua za kuendelea Kumshikilia Mdude Nyagali kwa ajili ya kumhoji tuhuma mbalimbali juu...
Leo Jumatatu Desemba 2, 2024 Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya imetupilia mbali maombi ya mawakili wa upande wa utetezi yaliyotolewa na mawakili Boniface Mwabukusi na Philip Mwakilima kwa madai kuwa kiapo kinzani hakijathibitisha kujeruhiwa na kushikiliwa kinyume cha sheria kwa...
Leo, ilikuwa siku ya kusomwa uamuzi wa kesi ya Habeas Corpus inayomhusu Mdude Mpaluka Nyagali dhidi ya RCO Songwe na wenzake wawili.
Hata hivyo, kutokana na kuingiliana kwa usikilizwaji wa kesi nyingine ya mauaji, maandalizi ya hukumu ya shauri hili hayajakamilika.
Soma zaidi: Mdude amburuza...
Tangu mwanzo wanasiasa hawa walikuwa wakiongea maneno ya hovyo, kwenye mikutano ya TCD, mikutano ya kutoa maoni ya dira ya Taifa, mikutano yoyote yenye mikusanyiko ya watu, walikuwa wakitoa kauli za kibabe sana.
Mfano Boni Yai anawaambia wana chadema msinipigie simu nataka mtu akinipigia simu...
Wakuu
Kesi ya Mdude Mpaluka Nyagali dhidi ya RPC wa Songwe imeahirishwa. Kesi hiyo, ambayo ilikuwa ikitarajiwa kusikilizwa leo tarehe 26 Novemba 2024, sasa imepangwa kusikilizwa tarehe 28 Novemba 2024 mbele ya Jaji Pomo katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Mbeya.
Soma, Pia: Mdude...
Mwanaharakati na Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amefungua shauri chini ya hati ya dharura katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Mbeya, akipinga kushikiliwa kwa Mdude Nyagali na Jeshi la Polisi.
Pia, Soma: Makosa Matatu ya Mdude Nyagali: Kujeruhi, Matusi na Kuvuruga Uchaguzi, Wakili...
Imeelezwa kuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mdude Nyagali Mdude anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Songwe anatuhumiwa kutenda makosa matatu (3) ikiwemo kujeruhi, kutoa lugha ya matusi na kuvuruga ratiba ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2024
Hayo yameelezwa na...
Siasa ni Sayansi
Hatimaye Mdude Nyagali kaingia kwenye 18 za Chama Dola
Wakati Viongozi Wote wa Chadema wakiachiliwa yeye ameendelea Kushikiliwa
Uingiapo Siasani uwe na Maarifa ya kutosha 😀
Ndugu zangu Watanzania,
Ikiwa tutaacha Taifa likajenga utamaduni wa watu wakatumia mitandao ya kijamii kuchafua viongozi wetu,kuwapaka matope, kuwadhalilisha, kuwatukana matusi bila kuchukuliwa hatua wala kukamatwa ili watoe ushahidi tutakuwa tunariharibu Taifa letu.tutakuwa tunaharibu maadili...
Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar.
Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.
Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!
Mdude huwa akishapiga misokoto yake, akijiangalia kwenye kioo huwa anajiona amefikia ukubwa wa tembo au ana meno makali kama ya simba.
Nilitarajia nimuone pale Mbeya ofisi ya RPC akilianzisha. Taarifa zilizopo ni kwamba anachati akiwa uvunguni mwa kitanda chake.
Huyu ni simba wa kuchongwa kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Nawaombeni Watanzania wenzangu na Wazalendo wa Taifa letu kujitokeza hadharani kulaani na kukemea vikali sana kauli Chafu za Mdude Nyagali kwa Rais wetu. Mtu huyu hatupaswi kumkalia kimya pasipo kutoa kauli na kumkemea pamoja na kumuonya vikali sana kuacha mara moja...
Ndugu zangu Watanzania,
Moyo wangu unaumia sana,unasononeka sana ,una uchungu sana ,una vuja machozi ya hasira kuona,kutizama,kusoma Mdude Nyagali akitumia lugha chafu kumdhalilisha Rais wetu.Kwanini jeshi la polisi Mnamuacha na kumtizama Mtu huyu akiendelea kumdhalilisha Rais wetu kiasi hiki...
---
Mdude Nyagali ambaye ni Mwanaharaati wa CHADEMA ameonekana kukerwa na kitendo cha Ahmed Ally Meneja mawasiliano wa Simba kuwataka wananchi kuipigia kura CCM. Kupitia ukurasa wake Rasmi wa X Mdude anmeandika haya:
Kazi ndogo hii, tunaiamdikia barua FIFA na CAF na kuweka ushahidi wa video na...
Kwenye ukurasa wake wa Mtandao wa X, anadai Tulia anapanga mipango ya kumuua. Huyu Mdude anapenda ku trend kwa mambo ya kizushi.
---
Kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) Mdude Nyagali anaandika haya:
"Nimepata taarifa za siri kutoka kwa msamalia mwema kwamba Tulia amefadhili kikundi cha...
Kwa kuwa tunatumia jukwaaa ili kushauriana na kushauri, kutoa maoni na mapendekezo na hata kutoa onyo na karipio basi acha Leo nitoe ushauri kwa CHADEMA jambo ambalo ni nadra kweli kulifanya.
Kwa kuwa nilitumia jukwaaa hili kumshauri ndugu yangu Abdul Nondo ambaye ni Mwenyekiti wa Ngome ya...
1. Msajili wa Vyama vya siasa wala Rais au serikali yake hawana Mamlaka ya kuamua au kutupangia kuhusu Katiba tunayo itaka. Hicho kigenge walichokiunda hakina Mamlaka hayo kikatiba na kikanuni. Hivyo Kinachofanyika ni Ukora na ni Ultra vires Act kabisa. Ni muendelezo wa uvunjaji wa katiba na...
Asalam,
Mods, nipeni nafasi kidogo na mada zangu. Kwa kawaida zina utofauti sana na nyingine pamoja na changamoto ya uandishi, kueleweka na mapambano hapa jukwaani.
1. Changamoto ya uandishi inatokana ulemavu wa mkono wangu wa kushoto ambao ndio naandikia.
2. Mahala ninapishi network yake iko...
1. 𝗞𝘂𝗸𝗮𝗺𝗮𝘁𝘄𝗮
Mnamo usiku wa manane tarehe 12 august 2023 siku ya ijumaa usiku tukiwa safarini tulikamatwa na askari polisi maeneo ya mikumi check point karibu na mizani. Askari hao walituambia wamepata maagizo kutoka juu ya kutushikilia Mimi pamoja na wezangu Emmanuel Godfrey Masonga pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.