Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniphace Mwabukusi, amevitaka vyombo vya dola kuhakikisha kuwa mwanaharakati Mdude Nyagali anapatikana akiwa hai, huku akilaani vikali kauli ya kutolewa zawadi ya Shilingi milioni tano kwa atakayesaidia kupatikana kwake akiwa hai au mfu...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dk Juma Homera amesema tayari amelielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada za kuwatafuta wahusika waliomshambulia kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mdude Nyagali, huku akiahidi Sh5 milioni kwa atakayesaidia kumpata kada huyo alipo akiwa hai au amekufa...
Yaliyotokea wiki hii...Mdude alivamiwa na polisi akiwa amelala na mkewe, akapigwa sana bila kosa na kuchukuliwa kupelekwa kusikojulikana. Kwa maelezo ya mkewe, Waliomchukua ni polisi na kutokomea naye, walimpiga kichwani na kitu kizito na akapoteza damu nyingi. Uwezekano wa kupona ni mdogo sana...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimeingia ndani ya mochwari (Friji la kuhifadhia maiti za binadamu) ili kujaribu kuutambua mwili wa Mwanachama wao aliyesemekana kutekwa na kupigwa na Polisi wa Mbeya kwa Maelekezo kutoka Juu.
Soma Pia: Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu...
Jeshi la Polisi linafuatilia kwa karibu tuhuma zilizotolewa na mwananchi mmoja ambaye jina lake linaendelea kufuatiliwa akiwatuhumu askari wawili kupitia mitandao ya kijamii kuwa walimfuata kumtaka afanye nao kazi ya kijajusi pamoja na kumuahidi kumpatia fedha.
Kufuatia taarifa hiyo, Jeshi la...
Wakuu habari za muda huu!.
Kichwa Cha habari kimehusika!.
Vipi kijana mchakarikaji na mpambania uhuru wa kisiasa Mdude Nyagali vipi Amepatikana? Au bado polisi wanahangaika kutafuta kitu wanachokijua?
Maana nilisikia ndo waliomchukua kwake Kwa kipigo kikubwa! Hii haijakaa sawa, kumkamata mtu...
Baada ya Mdude kutekwa na kuumizwa vibaya (Haifahamiki kama yuko hai au kafa), baadhi ya Taarifa zimeanza kuvujishwa na Wazalendo. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya anadaiwa kuagiza utekaji huo
Pia soma > Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
Taarifa za Mdude_Nyagali mwana JamiiForum mwenzetu kushambuliwa zimelishtua taifa hasa ukichukulia kwamba Mdude ni mwana demokrasia mahiri na mkosoaji wa serikali kwa uwazi ambae alipaswa kuchukuliwa kama mtoto inquisitive na sio mtoto poyoyo otherwise serikali yetu inayopendwa mno na wananchi...
Uharakati wa Bongo ni sawa na kuchungulia kaburi.
Nitumie nafasi hii kutoa pole kwa Wanaharakati wote. Pole kwa Marafiki zake Mwabukusi na Dr. Slaa na Wanachama wote wa JamiiForums wasiokubaliana na Sela za CCM. Matamanio ya kila Mtu ilikuwa kumuona Mdude_Nyagali akishuhudia CCM ikiondolewa...
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya huku akihema na kujaa wasiwasi mwingi hali iliyopoteza kujiamini kwake, Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo amekanusha Jeshi lake kumkamata Mdude Nyagali na kumshikilia popote Mkoani humo
Kamanda huyo amewaomba wote wenye Taarifa zitakazowezesha...
Mke wa Mdude_Nyagali akilia kwa uchungu muda baada ya Polisi kufika nyumbani kwa Mdude kufanya Uchunguzi. Mtoto aliyebeba ndo mtoto wao.
Polisi wanataka kumtenganisha huyu Dada na mmewe lakini pia wanataka mtoto akue bila malezi ya Baba.
"Kwanini Polisi mko hivi, kwanini Polisi mna roho mbaya...
RCO-Mbeya na polisi wamefika nyumbani kwa Mdude_Nyagali kuchukua sampuli ya damu iliyomwagika na kufanya uchunguzi. Moyo wangu umejaa hofu. Sioni mwisho mzuri katika habari hii. Hali ilivyo hadi hapo watasema wao hawahusiki kumvamia na kumteka Mdude. Hii habari inaumiza sana.
Pia soma...
Mwanachama wa JF na mdau mkubwa wa mitandao, Mdude_Nyagali amechukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi usiku huu.
Walikuwa na silaha, wamevunja mlango.
Mdude amepigwa sana, alikuwa amelala nyumbani kwake Mbeya.
Watu hao wamevamia wakiwa na silaha, wakabomoa mlango, wakampiga sana...
Mpigania Uhuru wa Tanzania, Mdude Nyagali amekutana na kufanya Mazungumzo na Mwanasiasa wa Kenya Martha Karua.
Taarifa kamili hii hapa
Nimefurahi kukutana na Matha Karua, kiongozi wa People's Liberation Party (PLP). Matha Karua ni kama Winnie Mandela wa Kenya kwa sababu kipaumbele chake ni...
Mwaharakati wa Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mdude Nyagali amemwambia Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kama asingekuea mpigania haki basi asingeweza kumuunga mkono.
Mdude ameyasema hayo Februari 16, aliposhiriki ibada ya misa maalum ya kumuombea Lissu iliyofanyika kijijini kwao Mahambe...
Kwamba tume ya uchaguzi Tanzania @TumeUchaguziTZ imepoteza sifa za kusimamia uchaguzi huru na haki kutokana na mapungufu ya kikatiba yanayompa mamlaka Rais kuteua viongozi na watendaji wa tume hiyo. Kumbuka kwamba Rais anayeteua viongozi na watendaji wa tume pia ni kiongozi wa chama mojawapo...
Hii ni mpya kabisa, haijawahi tokea, inakuwaje kesi iendeshwe bila mtuhumiwa kuwepo? Only in my country!
---
Wakili Peter Madeleka anayemwakilisha Dk. Wilbord Slaa kwenye kesi Na.993 ya mwaka 2025 ya kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao wa X ameiomba mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...
Wakuu,
"Kwahiyo ukisoma Biblia yote na imeandikwa kabisa, hakuna nabii mkubwa kuliko Mussa lakini Mungu alimpumzisha akampa Joshua akamalizie kazi, kwahiyo hata sasa tunaye Freeman Mbowe amefanya kazi kubwa sana, ni kama Mussa amewatoa wana wa Israel sasa tuko jangwani, tunataka kutoka hapa...
"Leo naota jua tangu wamenikamata, hawa watu wananitesa sana." Kauli ya Mdude Mpaluka Nyagali baada ya kuachiwa kwa dhamana.
"Walinigonga (kumpiga) mpaka wenyewe wakasema tumemzidishia dozi, wakaanza kuambiana 'atakata moto'." Mdude Mpaluka Nyagali
PIA SOMA
- LGE2024 - Polisi wasema kuna...
Mdude Nyagali maeachiwa kwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Songwe hii leo Disemba 06, 2024 baada ya kukaa Mahabusu kwa siku 15 katika vituo vya Polisi vya Ileje Songwe, Inyala Mbeya, Kituo cha Polisi Kati Dar Es Salaam na Vwawa Songwe.
Mdude Nyagali alikamatwa na Jeshi la Polisi Novemba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.