I hope mko vizuri
Na mnaendelea na majukumu
Leo tupike samaki wa nazi(fish curry)
Mahitaji
Samaki waliokaangwa
Karoti,hoho,kitunguu maji 1,tangawizi,kitunguu swaumu punje chache,nyanya moja,mafuta ya kupikia,chumvi
Nazi mimi nimetumia halis unaweza tumia hata ya pakt pamoja na curry powder...