"Akatupa vile vipande vya fedha hekaluni, akaondoka; akaenda akajinyonga."
(Mathayo 27:5)
Ni mstari mfupi, lakini wenye kishindo cha kimya kinachopasua nafsi.
Yuda hakusaliti kwa ujinga,alisaliti kwa kumeza ahadi ya muda na kupuuza kilio cha ndani.
Na leo, kivuli chake kinatembea katikati yetu...