Ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa katika viunga vya Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam wakati Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akifikishwa mahakamani hapo.
Yaliyojiri Mahakamani;
Kesi ya Lissu: Mahakama kujadili ombi Jamhuri kuongeza ushahidi wa...
Kesi ya Mchongo ambayo ulioanza labda ilionekana ina mashiko, lakini jinsi inavyo endelea, inaonyesha jeshi letu la polisi ni watu wasio jua kupambanua taarifa na matukio, pia Offisi ya mwendesha Mashtaka, kama ilivyo kwa jeshi la Polisi na
Mahakama zetu kutumika vibaya, na pia Kwa sababu hao...
1. Samia hakutoa amri kuamuru mauaji ya raia na wananchi- Hii itasemwa ili kujaribu kumsafisha Samia kwenye jumuiya ya Kimataifa na kujaribu kumuepusha na kikombe cha ICC.
2. Wakuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama hawakutoa amri za kuamuru kuuwawa kwa Wananchi- Hili litasemwa ili kuwaepusha...
Aliwaingiza vijana wengi kwenye mkenge wa mafanikio kupitia matarajio hewa
Alitukana kukejeli na kudhihaki watu wasiofanikiwa na wanaojitafuta
Huyu tuliwahi kusema ni mojawapo ya zile project kuelekea uchaguzi mkuu 2025
Uchaguzi wa kiini macho ulipopita naona umepita naye! Zile fujo zake...
Aliwaingiza vijana wengi kwenye mkenge wa mafanikio kupitia matarajio hewa
Alitukana kukejeli na kudhihaki watu wasiofanikiwa na wanaojitafuta
Huyu tuliwahi kusema ni mojawapo ya zile project kuelekea uchaguzi mkuu 2025
Uchaguzi wa kiini macho ulipopita naona umepita naye! Zile fujo zake...
My people,
Habar iliyopo duniani sasa hivi ni kukamatwa kwa Maduro wa huko Venezuela, hapa nakuletea habar za kikachero kutoka Caracas.
Pentagon,Marekani
Mpango mzima ulianza mwaka mmoja uliopita pale ambapo Marekani ilikuwa inatafuta washirika wa kuwasaidia kufanikisha hii operation...
Kinachoendelea ulimwenguni kwa sasa ni kukamatwa kwa Maduro! Ila ukitumia jicho la tatu kwa kufuata mtiririko ufuatao utagundua ni mchongo ili kuipa hadhi Marekani pamoja na Trump!
Hii ni jana:
Maduro says Venezuela open to US talks on drug trafficking...
Boxing Day inaadhimishwa tarehe 26 Desemba ikihusishwa na desturi ya kugawa zawadi au msaada kwa watu wa hali ya chini
Boxing Day au ikifahamika zaidi kama Siku ya Zawadi ni muda wa kufurahia na kufungua zawadi za Sikukuu ulizopewa
Mdau, una chochote cha kufungua? Ulipewa au ulitoa zawadi kwa...
Mtawala wa mabavu anajielewa kweli yani picha linaanza anatoa majibu ya tumeyake aliyozindua.kuwa vijana waliandamana wamelipwa mara nywinywi na nyonyo za sijui siju nani.
Wakuu
Hizi teuzi za bi mkubwa sijaona cha maana yan ni kama anagawa peremende za shukran kwa waliofanikisha kukalia kiti
watanzania tuna matakwa mengi mno anakuja kutuletea eti wizara ya mahusiano,mahusiano gani sasa kama kuna hyo wizara ina maana wizara ya gwajima haitoshi au imezidiwa?
wizara...
Wakuu,
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki moja kwa moja katika mauaji ya halaiki ya Watanganyika zaidi ya 2,000, yaliyotekelezwa kupitia vyombo vya ulinzi na usalama, pamoja na askari wa kukodi (mercenaries) waliotoka Uganda na Zanzibar, katika kipindi cha uchaguzi mkuu...
Yaani nawaona wakiwa na wakati mgumu wa kuitumikia jamii yao, sababu watu waliyo wengi wamewakataa
Yaani Tanzania inaenda kuingia kwenye Siasa ngumu kabisa za uhasama kuliko zile za Somalia za kipindi kile.
Hawa Viongozi hawataweza kujumuika tena na jamii maana watajikuta mda wowote maisha yao...
Hivi karibuni Takukuru wamekuwa wakitoa onyo au maonyo Kwa wagombea wasitoe Rushwa , pamoja na ahadi zinazoelekea kuwa ni Rushwa. Hivyo kuharibu uchaguzi na kupitia nchi hasara kubwa, na kuwanyima wananchi nafasi ya kufanya uchaguzi wa haki, na demokrasia.
Lakini kuna matokeo yanayoonyesha Kwa...
Wakuu kuna ile hofu inanitawala akilini mwangu kuhusu hali ya kipato stahimilivu (income sustainability).
Hivi nikipoteza kazi leo, mchongo, serious accident even death mke wako or mumewako, watoto ama wazazi wako unahisi utawaacha katika mazingira gani?
Je, watapata milo mitatu,watoto...
Tundu Lissu nakushauri ugomee hiyo kesi ya mchongo yenye mashahidi wa mchongo. Fanya yafuatayo:
1. Kataa usijitetee, hata kama watakupeleka kizimbani kaa kimya.
2. Waelekeze mawakili wako wasikutetetee hiyo kesi.
3. Waache mawakili wa serikali na Jaji waamue wanachotaka.
Fanya mambo haya matatu...
Watoto wana omba kujiunga na vyuo vikuu wanalalamika.
Taarifa za Nida hazipatikani yapata wiki sasa bila taarifa!
Je; Kwanini haipatikani? Je kuna watu wanatengeneza mazingira ya kupiga pesa? Je kuna tenda inalazimishwa kwa mtindo huu au ni nini?
Tunaomba ufafanuzi?
Sioni sababu ya kuwasalimia kinafki wakati maisha yamekuwa magumu sana.
Hakuna haki wala hakuna uhuru wa kukosoa wala wakujieleza.
Hivi kwani angepungukiwa na nini kama angetuachia katiba mpya,wakati hakuwa na deni lolote akiwa kama ndiye top kwa kukaimu nafasi ambayo hana deni nayo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.